bora umenipako kamoyo!usiogope pape
uwe na amani
Very sory to her, I shared with her on this so I don't know what went wrong with her. We are all under the rule of law of the ground so just for reference we can go for updates on ban list.#30
Today, 03:17 PM
Mama Mia
Mama Mia has no status.
Banned
I she banned already?
siri yote kuhusu mtoto anajua mama.....
habari hii nimeipata through ITV news na data zimetoka kwa mkemia mkuu wa serikali.
Mya take: wanaume jihadharini kwenye ndoa zenu hizo. Udanganyifu ni mwingi japo sample iliyopimwa DNA labda ni highly selected kwa maana ya pengine tayari kulikuwepo na mashaka iliyohitaji uhakiki wa DNA: all in all tuwe makini
siri yote kuhusu mtoto anajua mama.....
Wazir wa afya Dr.Hussein Mwiny akiwa ametembelea baadhi ya maabara ambazo serekal mpango mkakati ni kuziboresha imebainika 60% ya wanaume walipima DNA imebainika watoto wanaolea sio wa kwao..
NB.Wakuu hiz ndio ndoa zetu za kibongo,polen sana mlioa..
Source:itv taarifa ya habari
Ila habari ndiyo hizo kwa wanaume!!! Mama ndiye mwenye kujua baba wa mtoto!!
Inaonyesha jinsi gani wanawake wasivyo waaminifu katika ndoa
Hapo umenena sahihi, ushauri uliotelewa na mleta maada wa kusema ;wanaume jihadharini kwenye ndoa zenu hizo" ungekuwa wa maantiki endapo takwimu hizi zingechukuliwa kwenye ndoa ambazo hazina wasiwasi wowoteWanaokwenda pale kupima tayari wana wasiwasi kwa hiyo kiwango cha majibuhayo ni sahihi. Ingekuwa idadi ni chini ya hapo, ingeonyesha kuwa usahihi wa majibu hayo unatia mashaka.