Maishani mwangu hamna watu ninaowadharau zaidi ya wanaume wenzangu wasiohudumia watoto wao

Teslarati

JF-Expert Member
Nov 21, 2019
1,735
6,796
Kwanza huwezi kuwa hauhudumii mtoto wako na ukajiita mwanaume, wewe ni mvulana bado.

Yaani kama hujafikia level ya kuwa responsible kwa outcomes za matendo yako ikiwemo kidinya papuchi wewe huna sifa za kuwa mwanaume kamwe.

Hapa siongelei wanaume wanaojua kwamba wamesingiziwa watoto lkn wale ambao hawahudumii watoto kwa sababu za kukomoana na mama mtoto basi ujue wewe ni mwanaume, no mvulana mpuuzi sana.

Mimi na kupenda kuchakata kote nahudumia kama ikitokea nimezalisha.

Kuna sehem fln huwa naenda kula sasa walikua na kabinti kapya, binti ana heshima balaa. Nilimpenda ila sio kwa mapenzi, nikawa namuachia tips tu kama akinihudumia siku hio.

Leo kaniletea msosi ofisini ndo nikajua kumbe ana mtoto, kumuuliza ikabidi anipe story nzima. Kuna mpuuzi alimrubuni, masikin binti akiwa CBE jamaa likaweka mimba, binti akataka kutoa ila akaogopa afya yake. Mtoto kafanana na huyo jamaa lkn jamaa lilivyo lipuuzi halitaki kuhudumia.

Hawa mabinti akili zao ni ndg, lkn tusitumie hio kuwaumiza viumbe wasio na hatia.

Wewe fala kama upo humu bora uanze kuhudumia mapema sababu wiki ijayo utaitwa ustawi wa jamii, na hapa nipo namtafuta boss wako sababu tyr nina taarifa zako.

Binti wa watu anateseka hadi kaacha chuo anahudumia hoteli kulea mtoto wako.
 
Hahhaa
 
Mimba ni maridhiano. Lazima wote kwa pamoja mkubali kuwa Yes, tunagongana.

Ikitokea imenasa, tunafanya nini? Tuilee ama tuitoe. Na maridhiano yenu hayo yasimamiwe.

Sikubaliani kabisa na wanaume kususa watoto. Ila kuna mabinti wengi sana wanategesha mimba kwa minajili ya kupata ahueni.

Wengine wanategesha ili kupata matunzo, wengine kwa ajili ya kulazimisha ndoa na wengine utasikia "mie nataka mbegu yako tu, mimba nitalea mwenyewe".

Hata kama mwanume hajaridhia ananasa mimba kimakusudi kabisa. Usisahau kuwakemea.

Si hilo tu, hivi vibinti vinatombwa (ashakhum si matusi) na idadi kubwa ya wanaume. Leo umemlamba, kesho kanakuambia kina mimba. Si kwamba haiwezekani, lakini lazima nawe ujitafakari. Utajikuta unalea idadi kubwa ya mimba zisizo zako. Mtoto ana baba sita kwa mpigo na kadi za kliniki sita hivyo hivyo.

Mimba ni biashara.
 
Na kwa nini uzae hovyo? Mwanaume una watoto watatu kila mmoja na mama yake, unajitambua kweli? Mliokosea toeni matunzo, mnalipa tu kama ambavyo wengine wanalipa kwa dhambi zingine.
 
Hapa umelopoka kaka hujasema kwa namna mambo yalivyo... any way tufanye ww ndio mwenye akili kuliko hawa wanaume wanaozaa na wanawake tofauti
 
Sorry kama nimeropoka mkuu, ila kuzaa na wanawake watatu tofauti kwangu sio sawa. Unaweza kukosea once ila sio mara tatu.
 
Back
Top Bottom