Asilimia 40 ya wanaume wanatunza watoto sio wao

wanawake wanagegedwa sana nje...mie najionea bora ukamatie uwagegede na kusepa...mwanamke mtu mbaya sana.[/QUOTE]
Usijumuishe hivyo maana ukisema hivyo inaoneka na ww hamini kama ni mtoto wa huyo baba yako
 
Akili yangu inaumia juu ya hatua zinazochukuliwa kupambana na ukimmwi.. Sidhani kama mafanikio yatappatikana. Nyie wanawake vipi?
 
Huyo naona anataka kuvunja ndoa za watu inawezekana hata yeye tukimpima sio mtoto wa Mwinyi kitanda siku zote hakizai haramu tuachane na hilo tujadili mambo ya maana kuna hawa Tembo wetu wanaomalizwa na hawa magamba a.k.a madentisti maana hawa tembo wakiisha wanaweza kuhamia kwenye meno ya binadamu si unaona walichukua ya Ulimboka watakuwa wamekwenda kuangalia kama na ya binadamu yana soko kama ya tembo na wakikuta yana soko jamani meno yangu sijui nitayaficha wapi maana hawa magamba siwaamini kabisa
 
Wazir wa afya Dr.Hussein Mwiny akiwa ametembelea baadhi ya maabara ambazo serekal mpango mkakati ni kuziboresha imebainika 60% ya wanaume walipima DNA imebainika watoto wanaolea sio wa kwao..
NB.Wakuu hiz ndio ndoa zetu za kibongo,polen sana mlioa..
Source:itv taarifa ya habari
Mpaka inapofikia wakati mwanamke na mwanaume wanaamua kwenda kupima DNA ya mtoto ujue tayari kuwa mwanaume ameshahisi kitu. Hivyo sio jambo la ajabu asilimia kubwa ya majibu inapokuwa hivyo. Ni kama daktari wa hospital ya Mwananyamala aseme asilimia 70 hata 80 ya wagonjwa wanaokuja kwangu wakiwa na homa, kutapika, viungo na kichwa kuuma wana malaria. Halafu kwanini unashangaa sana hiyo asilimia 60 wakati hawajasema ni asilimia ya watu wangapi? Wanaweza wakawa walipima watu 100 na watu 60 wakawa na hayo majibu. Halafu unaposema ''hizi ndoa zetu'' una maana gani. Kwani watu wanaokwenda kupima DNA ni watu wa ndoa tu? Gazeti la Mwananchi mwaka jana waliingia mkenge huo huo unaotaka kutuingiza.
 
Hii ni hatar sana kwenye jamii,kwa wanaume wasio waaminif na wanawake pia,kutokuheshim na kutambua kwel ya ndoa,.nashindwa elewa mapenz ni starehe au kuna kusidio maalum
 
Mpaka inapofikia wakati mwanamke na mwanaume wanaamua kwenda kupima DNA ya mtoto ujue tayari kuwa mwanaume ameshahisi kitu. Hivyo sio jambo la ajabu asilimia kubwa ya majibu inapokuwa hivyo. Ni kama daktari wa hospital ya Mwananyamala aseme asilimia 70 hata 80 ya wagonjwa wanaokuja kwangu wakiwa na homa, kutapika, viungo na kichwa kuuma wana malaria. Halafu kwanini unashangaa sana hiyo asilimia 60 wakati hawajasema ni asilimia ya watu wangapi? Wanaweza wakawa walipima watu 100 na watu 60 wakawa na hayo majibu. Halafu unaposema ''hizi ndoa zetu'' una maana gani. Kwani watu wanaokwenda kupima DNA ni watu wa ndoa tu? Gazeti la Mwananchi mwaka jana waliingia mkenge huo huo unaotaka kutuingiza.
percentage ya wa2 wanaougua maleria ni takwim tosha katika kujua ugonjwa unasumbua kwa kias gan katika jamii,waliokuwa na mashaka wakaamua pima DNA ni kipimo tosha cha jins gan jamii zilizo kwenye ndoa na hata nje wasivyowaaminif iyo mos,pil ndoa ni muunganiko wa wa2 2 tu hakuna mkataba wa watu 3,mtoto nje ya hapo ni fedhea sana ndan ya ndo tofaut na nje kwa hakukuwa na maafikiano lazima awe mtoto wako kwan umemuoa..
 
Not necessarily. Kama mwanamke kamegwa na wanaume wawili kwa siku moja...kesho yake akamegwa tena na mtu mwingine...baada ya siku mbili tena akamegwa na njemba tofauti.....hapo atajuaje yupi kati ya hao ndiyo baba kijacho?

Sasa mkuu Nyani Ngabu ukiwa na mwanamke design hii ni mke au changu? Ninaamini mwanamke ukimpa dose ya kutosha hata siku tatu anaweza kukaa bila ile kitu sasa huyu wa kama kuku ni balaa!! Wa hivi utakuta hajakutana na mashine kali labda vile vibamia vya kusugulia tu!!! Akikutana na mashine gun au li Ak47 linalofanya kazi vizuri, thubutu!!
 
Kuwa na uhusiano wa mapenzi na mwanamke siyo lazima awe mkeo. Anaweza hata akawa fcuk buddy tu lakini akapata mimba. Na kama ni promiscuous ndipo hapo hata yeye itamuwia vigumu kujua who is the daddy.
 
Back
Top Bottom