Asilimia 40 ya wanaume wanatunza watoto sio wao

sio wote wajameni... dont generalize... ...

Wengi wenu mlivyo wewe umemegwa nje huko kidume kikakuvimbisha utamwambia mmeo kuwa na mimba ya mwanaume mwingine? Tunabambikiwa sana tena mno
 
kuna rubani hii ni true story akiwa na mkewe
akaana kutukanana mkewe akachoka matusi
yake akamwasha kwanza mtooto nani si wako
baba akasema wala aisumbui unajua aliemzalisha mdogo wako
leo hii tunaongea anatunza mke na mdogo mtu
pale kinondoni.......very sad baad ya yale maneno
wakaendelea kutafuta mtoto wa tatu na mkewe wapiiiii
mama mwenyewe akaomba mzee akazae na mdogo mtu so ni majuzi
tu hana miezi 5 amempa mdogo mtu kitu cha pili...so far na kuhitimisha watoto
4...hii midomo yetu wakati mwingine inatuponza jamani....
 
Naona mama aliamua kufanya maamuzi ya kibusara sio mbaya damu inabaki mle mle ndani ya ukoo.
 
Maisha ndiyo haya haya tuvumiliane kwani kitanda hakizai haramu. Kuna wakati watu huhitaji misaada kama hii hasa inapotokea kwamba hukujaliwa uwezo wa kufanya production hivyo akitokea mwizi hapo anakuwa ameokoa jahazi lisizame!!
 
Wengi wenu mlivyo wewe umemegwa nje huko kidume kikakuvimbisha utamwambia mmeo kuwa na mimba ya mwanaume mwingine? Tunabambikiwa sana tena mno
hamna chakemegwa nje hapa bwana... lakini just for argument purpose... first at the beginning I will try to cover up but how would I live in a lie for the whole life?@#@$!... wait that's a fucked up Shit man ....
 
Naona mama aliamua kufanya maamuzi ya kibusara sio mbaya damu inabaki mle mle ndani ya ukoo.

ni kweli mi nasema afadhali jambazi awepo ndani ya familia kuliko
kwenda kunletea mtoto wa maisha plus
qwi qwi qwi hapo akieleweki
 
hamna chakemegwa nje hapa bwana... lakini just for argument purpose... first at the beginning I will try to cover up but how would I live in a lie for the whole life?@#@$!... wait that's a fucked up Shit man .... I dont wanna put myself in that situation....

Suppose you got it what you gonna do?
 
jamani nyie wamama embu tuwaonee huruma hii midume ..unakuta dume linahangaika mpaka saa saba ya usku jamani linarudi hoi hata unyumba hana hamu nao kisa kupata hela ya chakula cha mtoto...jamani si kutafuta laana .....???embu tuwape haki yao hata kama utamegwa nje poa lakini mtoto mpe wake halisi jamani....akuna kitu kibaya kama hicho wachaga ukihisiwa wanakwambia tunachinja ngombe/ama mbuzi
wallahi nakwambia ata uwe santiago kama ulimbambikizia...utamrudisha kwenye hold 4 tanzania
 
Someni Bible na Quran takatifu, busara na hekima vinapatikana mle.
Heri nusu shari kuliko shari kamili.
 
#30
Today, 03:17 PM
Mama Mia
Mama Mia has no status.
Banned

I she banned already?
 
Capt. Didy siogopi was just checking...:)

Kaizer I wish they could tell us what she has done lolllll:)
 
Wangekuwa wana ban na threads zao kabisa kupunguza usumbufu.......wazo tu kwa mod

ukiwa ban thread ziwe ban nazo
 
Capt. Didy siogopi was just checking...:)

Kaizer I wish they could tell us what she has done lolllll:)

Ama kuna mtu kaguswa nini kwenye asilimia 40 akaomba msaada kwa mod
 
Back
Top Bottom