Asilimia 40 ya wanaume wanatunza watoto sio wao

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,139
asilimia kubwa ya wanaume wanatunza watoto ambao si wao
na hii imefanyika utafiti karibia mikoa kumi ...watoto wengi wamekutwa
wanalelewa na baba ambae kwa namna moja amesakiziwa mtoto bila kujua
wadada wengi wamekuwa na tabia ya kuchukua mimba nje hasa pale wanapoolewa wanachukulia kama advantage na hasa wanapokumbana na mijianaume ya "NDIO"" hawa wamekuwa wakilea watoto wa wanaume wenzao pasipo kujua..hili ni angalizo tu kwako we baba kama unaona mtoto anakuwa hana dalili zako..anza kurekebisha maisha yako mapema wahi
DNA.......NDOA nyingi zinatumika kama searching ingine baada ya hapo wanajiamulia wazae na nani;...hii ni kosa kubwa sana matokeo yake watoto wanageuka ma bwaabwaa kwa laana za mababa zao.....kama upo unampenda mumeo mlinde kwa kumpa mtoto wake...achana na kuleta laana nyumbani kwkako .....
nawatakia ndoa njema zenye mafanikio na kuleta watoto halisi wa kwenye ndoa na si nje ya ndoa
 
..NDOA nyingi zinatumika kama searching ingine baada ya hapo wanajiamulia wazae na nani;...hii ni kosa kubwa sana matokeo yake watoto wanageuka ma bwaabwaa kwa laana za mababa zao.....kama upo unampenda mumeo mlinde kwa kumpa mtoto wake...achana na kuleta laana nyumbani kwkako .....
 
pape familia nyingi wanalea watoto sio wao
hasa ukijifanya unazaa watoto wengi unashindwa kuwahudumia
la hasa wa 3 na 4 lazima wakusaidie best na kutunza unatunza kama
kawaida
 
asilimia kubwa ya wanaume wanatunza watoto ambao si wao
na hii imefanyika utafiti karibia mikoa kumi ...watoto wengi wamekutwa
wanalelewa na baba ambae kwa namna moja amesakiziwa mtoto bila kujua
wadada wengi wamekuwa na tabia ya kuchukua mimba nje hasa pale wanapoolewa wanachukulia kama advantage na hasa wanapokumbana na mijianaume ya "NDIO"" hawa wamekuwa wakilea watoto wa wanaume wenzao pasipo kujua..hili ni angalizo tu kwako we baba kama unaona mtoto anakuwa hana dalili zako..anza kurekebisha maisha yako mapema wahi
DNA.......NDOA nyingi zinatumika kama searching ingine baada ya hapo wanajiamulia wazae na nani;...hii ni kosa kubwa sana matokeo yake watoto wanageuka ma bwaabwaa kwa laana za mababa zao.....kama upo unampenda mumeo mlinde kwa kumpa mtoto wake...achana na kuleta laana nyumbani kwkako .....
nawatakia ndoa njema zenye mafanikio na kuleta watoto halisi wa kwenye ndoa na si nje ya ndoa

how did u come up with that number? 40% una dalili gani apo Mama Mia...

hata hao wanaume pia wanakua unfaithful lakini ndo watoto wanazaliwa kwingine...
 
Some truth!...percentage inaweza isiwe sawa, lakini kuna ukweli dhahiri!
 
Hii kweli na mm niliwahi bambikiziwa niliilea mimba ile mpaka akazaa duh kumwangalia mtoto yule yupo tofauti na mm baba ake kuangalia sura ya mama mmmh hawaendani na mtoto kufikiria kwenye ukoo wetu labda kuna mtu atakuwa kafanana nae nikaona sipati jibu nikamwambia mama kumbuka dume lenye sura ya hiki kiumbe umpeleke nishukuru tu kwa nilivyo kusaidia mpaka ukajifungua mm nikachapa raba.
 
Ni kweli no name hii ilifanywa kwa upande wa wanawake to their mens
 
nikamwambia mama kumbuka dume lenye sura ya hiki kiumbe umpeleke nishukuru tu kwa nilivyo kusaidia mpaka ukajifungua mm nikachapa raba.

Mmmh umenifurahisha unanukumbusha wanaume wakikuria
wao kuchapa lapa si kazi kwa matukio kama haya..akikuonea huruma
kakuachia alama ya ngeo ama ubapa wa panga ili na wewe umkumbuke ukiangalia alama yake
 
pape familia nyingi wanalea watoto sio wao
hasa ukijifanya unazaa watoto wengi unashindwa kuwahudumia
la hasa wa 3 na 4 lazima wakusaidie best na kutunza unatunza kama
kawaida
hehehehe! I hope these are mine!
 
sasa ukilea mtoto ambaye sio wako kuna ubaya gani? maana mamake ushampenda, kwahiyo wanasema UKIPENDA BOGA BASI PENDA NA MAUA YAKE. Wanaume wote nawaomba mjitahidi, plz.
 
Sasa nikishapima DNA ya mwanangu halafu nakuta si wangu akalelewe na nani? Ivi sisi kama baba zetu wangepima DNA zetu tungekuwa wapi?na je? mtoto wa mke wangu ambae kila siku usiku kucha navinjari na mama yake je si mtoto wangu? hata kama DNA si sawa na mimi? watoto wangapi halali wanataka kuwatoa roho babazao warithi mali? unajua mtoto yupi atakusaidia maishani? afteroll kitanda kinazaaga haramu?.Lakini ole wenu akina mama siwatumi mtuletee watoto wa magendo HAIFAI.wengine wana mikafara yao ya kiukoo,wewe hujui,siku yakizuka ya kuzuka utashaa
 
sasa ukilea mtoto ambaye sio wako kuna ubaya gani? maana mamake ushampenda, kwahiyo wanasema UKIPENDA BOGA BASI PENDA NA MAUA YAKE. Wanaume wote nawaomba mjitahidi, plz.

Sydney I am with you there but I dont think you got the point there, hawa mababa wamesingiziwa or they are on denial or hawajui kabisa kama hao watoto sio wao
 
Mmmh umenifurahisha unanukumbusha wanaume wakikuria
wao kuchapa lapa si kazi kwa matukio kama haya..akikuonea huruma
kakuachia alama ya ngeo ama ubapa wa panga ili na wewe umkumbuke ukiangalia alama yake

Hehehehe ni bora angeniambia tu ukweli bana baba wa huyo mtoto mm simjui kati ya wewe na jamaa mmoja hivi dereva wa lori simkumbuki na nilisha poteana nae naomba unisaidie kwa khali na mali kuliko kunidanganya anasisitiza huyo mtoto ni wako lol.
 
wanawake watu wa ajabu sana,

yaani huwa inanikera sana, juzi kati hapa imetokea mama kagomba na mumewe ugomvi ukawa mkubwa, mama akaropoka ''kwanza judith sio mtoto wako ana baba yake'' baadae wazee ukoo ukaingilia kati mama kasema ukweli kuwa huyu si baba yake, binti akamwambia mama yake ''kwa kuwa hukuwahi kuniambia hili na huyu baba ndo kanilea na kunisomesha mpaka nimemaliza form six, huyu ndo namtambua kama baba hata ukimlea huyo unaemsema sitamtambua hadi kufa kwangu''.
yule baba alisononeka sana lakini ndo hivyo analea na kusomesha.

wanawake bana! watu katili sana.
 
POA tu kingi,ila mfano anakutunzia mtoto wako wa kike halafu siku ya siku mwanao wa kiume anataka aoe,itakwendaje?
 
wanawake watu wa ajabu sana,

yaani huwa inanikera sana, juzi kati hapa imetokea mama kagomba na mumewe ugomvi ukawa mkubwa, mama akaropoka ''kwanza judith sio mtoto wako ana baba yake'' baadae wazee ukoo ukaingilia kati mama kasema ukweli kuwa huyu si baba yake, binti akamwambia mama yake ''kwa kuwa hukuwahi kuniambia hili na huyu baba ndo kanilea na kunisomesha mpaka nimemaliza form six, huyu ndo namtambua kama baba hata ukimlea huyo unaemsema sitamtambua hadi kufa kwangu''.
yule baba alisononeka sana lakini ndo hivyo analea na kusomesha.

wanawake bana! watu katili sana.
sio wote wajameni... dont generalize...

Things like these happens when there is no presence of GOD and his Bless in the marriage, when ppl stop to fear GOD, they follow their desire only...
 
Back
Top Bottom