Wanaume tunapigwa sana kwenye watoto, tunalea watoto ambao sio wetu.

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,491
40,515
Wiki iliyopita nilienda kiwanja fulani angalau kupata moja baridi kidogo, ili kuondoa misongo ya mawazo katika utafutaji.

Baada ya kupata huduma, nikasema sasa ni muda muafaka wa kwenda kupumzisha mwili, kwa sababu muda ulikuwa umeenda kama kwenye saa tisa kasoro hivi usiku.

Ile natoka tu, kwa sababu nlikuwa napitia njia ya kaunta, nikashangaa navutwa mkono na mdada mmoja; kumwangalia vizuri kumbe ni mchepuko wangu wa zamani.

Akanizuia, akasema kaa hapa kwanza unywe bia mbili tatu; ikabidi nimwambie nakunywa mbili tu, nimechoka naenda zangu kulala. Bahati nzuri akawa amenielewa.

Mbaya zaidi ana tumbo kubwa (mjamzito) ina kama miezi mitano hivi; akaniambia, ''ili tumbo ni la kwako, imebidi nimbebeshe mme wangu ili kulinda ndoa, kaa ukijua nina mtoto wako, nilipojaribu kuitoa, ilikataa kutoka''.

Nikamjibu, ''ondoa shaka hatukatai watoto, muhimu ni uzima tu'', tukapiga cheers tukaendeleza ulabu. Baada ya pale akawa anasisitiza, tuende tukapashe, ila kutokana na nilikuwa na ahadi kwingine, ikabidi nitafute kisingizio.

Cha kujifunza, wanaume tunapigwa sana kwenye watoto​
 
Si ulisema ulikua unaenda kupumzika? Ilikuwaje ukakubali kirahisi kuongeza bia?

Ww ndio unapangwa ili uhudumie mimba kwa hali na Mali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom