Arusha: Mkuu wa Mkoa awatoa hofu wananchi juu ya mgomo wa daladala/pikipiki

Lema msanii sana anacheza na akili za watu wa Arusha anawapeleka kama pimbi! Hata akisema watembee uchi watafanya tu! Lema kuna siku atatembea uchi kupinga uonevu wa polisi kwa CDM na watu wa Arusha watampa support kwa kutembea uchi! Atakunya barabarani kulaani uonevu wa Polisi na machizi wake watakula mavi yake kumuunga mkono! Lema angesoma hata kuwa na Certificate tu angewageuza watu wa Arusha kama anavyotaka!
 
Umetumwa eeenh!
 
Acha kutumika vibaya wewe,kwani unalipwa bei gani kiasi unauza utu wako!?Simama ktk haki acha kutetea mvuke

ingekuwa ni Prof isingekuwa tatizo, ila chokoraa kufanya au kusababisha hayo! si ki2 ndogo hii kwa mtazamo sahihi au makengeza wowote ule.
 
Lema msanii sana anacheza na akili za watu wa Arusha anawapeleka kama pimbi! Hata akisema watembee uchi watafanya tu! Lema kuna siku atatembea uchi kupinga uonevu wa polisi kwa CDM na watu wa Arusha watampa support kwa kutembea uchi! Atakunya barabarani kulaani uonevu wa Polisi na machizi wake watakula mavi yake kumuunga mkono! Lema angesoma hata kuwa na Certificate tu angewageuza watu wa Arusha kama anavyotaka!

haya bwana wapambanaji ndo wanaitwa wasannii ila wezi wa uchumi wetu ni herooes big up kaka
 
mbona kama kinyonga wewe kule unajifanya unaiponda magamba hapa unaitetea magamba kuwa na msimamo wewe?

Mkuu simple siwaamini magamba kama ambavyo siwaamini magwanda

Unajua ni kwanini "they are both evils with different standard"
 
Lema msanii sana anacheza na akili za watu wa Arusha anawapeleka kama pimbi! Hata akisema watembee uchi watafanya tu! Lema kuna siku atatembea uchi kupinga uonevu wa polisi kwa CDM na watu wa Arusha watampa support kwa kutembea uchi! Atakunya barabarani kulaani uonevu wa Polisi na machizi wake watakula mavi yake kumuunga mkono! Lema angesoma hata kuwa na Certificate tu angewageuza watu wa Arusha kama anavyotaka!
Kapurwa anareason tofauti sana na mtu aliyejikomboa kifikra, siasa za maji ya chooni kamwe hazina nafasi pale umma unapoizidi nguvu ya dola.
 
Lema msanii sana anacheza na akili za watu wa Arusha anawapeleka kama pimbi! Hata akisema watembee uchi watafanya tu! Lema kuna siku atatembea uchi kupinga uonevu wa polisi kwa CDM na watu wa Arusha watampa support kwa kutembea uchi! Atakunya barabarani kulaani uonevu wa Polisi na machizi wake watakula mavi yake kumuunga mkono! Lema angesoma hata kuwa na Certificate tu angewageuza watu wa Arusha kama anavyotaka!

Lema anaweza kuwa anacheza na akili za watu, lakini ccm wamekuwa wanacheza na maisha ya watanzania. Angalia polisi Arusha, Nyamongo. Kuhusu elimu ya Lema hao wasomi wa 'vyeti' wamefanya nini cha maana? Mikataba ya madini? umeme wa uhakika? PhD kila kukicha lakini hata vyandarua vya mbu mnapewa na wanaume wengine. Si vyote ving'aavyo ni dhahabu. Tunahitaji Lema wengi zaidi na sio haya makanyaboya yanayoandikiwa speech!
 
CDM imejaa machizi.
Sishangai wafanyayo.
OTIS.

Wewe peleke ushetani wako! Hiyo id yako, signature yako na avatar yako zina maana wewe ni "devil worshiper" fumbo mfumbie mjinga werevu tunajua!
 
Mkuu na wewe kweli uwa unaongea pumba kama hizi?

Mkuu wa mkoa kwani yeye ndio atatembea mkoa mzima mpaka kuujua? Wapo wasaidizi wake tena wazawa wa Arusha ndio watafanya kazi kuakikisha usafiri utakuwepo kwa wakazi wa Arusha.

Kama Mkuu wa Mkoa ni wakuja hiyo hoja ni dhaifu sana PJ

Huwa inanisikitisha sana ninaposoma maoni ya unaotegemea kuwa ni great thinkers kwa kuwa wamejisajili na JF, wanapotoa majibu mepesi mno bila hata chembe ya tafakuri nyepesi. Mkuu wa mkoa ni mtawala tu, na vyombo vya usafiri vya Arusha ni vya watu binafsi, hivyo hana mamlaka navyo kiasi cha kusema bila shaka yoyote eti mgomo hautakuwepo!!!??? Busara tu ndiyo inayotakiwa na siyo amri tata.
 
ujinga mtupu,, niache kuhangaikia mkate wa wanangu nikapigwe jua, hata maana ya mgomo siujui,, nendeni wenyewe............w

Dume La Mende tangu lını lıktota jasho kutafta chakula wakatı lınakula kwa jasho la wengıne!
Au umeahıdıwa kesho ndo utapewa posho ya kupost upupu wako hapa kwa Magreat Thınkerz!
Hata mtudharau vıpı ıla kwa uchache wetu tutashırıkıana zaıdı ya mchwa Mungu akıwa upande we2!
Hakıka nawaambıenı enyı kızazı cha Mandurı CCM sıku zenu znahesabıka.
 
ningekuwa mkuu wa mkoa ningewaacha wagome na nitatoa ofa rasmi kwa anayetaka kwenda jela apelekwe..

Kama ni mimi, kugoma hapana kv wataathiri wengi in favor of few opportunists and manipulative politicians!!!! Hata hivyo, wapendao kumuunga mkono Lema kwa kwenda gerezani, ningewaandkisha na kuwapeleka huko lakini gharama za misosi ni juu yao!
 
Hii inatupatia picha pana ya ombwe la uongozi ambalo kwasababu watawala wa maono linatupeleka katika umwagaji damu. Nikiona mambo kama haya huwa namkumbuka sana Lowasa. Alipojiuzulu,aliondoka na heshima kidogo ya utendaji serikalini iliyokua imebakia. Jiulize waziri mkuu anafanya nini toka vurugu za umeya,mauji ya arusha,kufukuzwa madiwani wa CDM na sasa hii ya kesho? Arusha ni mji wenye mashirika ya kimataifa,kituo kikuu cha utalii na makao makuu ya EAC. Lakini chama na serikali ya CCM imeshindwa kuwachukulia hatua ama kuwahamisha watu kama mkurugenzi wa jiji la Arusha aliyeharibu uchaguzi wa meya wa Arusha, Mary Chatanda ambaye ni chanzo cha mauaji ya waandamanaji wa Arusha na huyu OCD ambaye amekua anatoa amri bila busara yoyote,sasa tunaelekea ktk umwagaji wa damu mwingine.
 
Mkuu wa mkoa wa Arusha amewatoa hofu wananchi wa Arusha kuwa wasiwe na wasiwasi juu ya usafiri kesho kuwa utakuwepo na kutakuwa na ulinzi wa kutosha. Ameyasema hayo kupitia Tripple A Fm katika kipindi maalumu.

wakuu hata na mimi nimemuona huyo mkuu wa mkeo kwenye taarifa ya habari. hawa wanamagamba wanawasiwasi kweli na people pawa
 
Najua saizi FFU lazima watakuwa standby kuanzia 50% na kesho asubuhi kabisa watakuwa wameshatanda makutano yote ili kuzuia mikutano ya watu.

Jioni Jioni nimeona defender za ccp zikipanda town؛‎ sema labda zije zote usiku huu maana kesho nduruma inafungwa kwa mawe sijui watapitia wapi
 
wakuu hata na mimi nimemuona huyo mkuu wa mkeo kwenye taarifa ya habari. hawa wanamagamba wanawasiwasi kweli na people pawa

Yani wangetuacha mgomo uendelee,nawaambieni hata mende wa panya OCD anayetamka kwa wa2 na akili zao hafi! Lakini tusubirie na tutaona mengi Kamanda wangu!
 
Back
Top Bottom