Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,932
- 32,341
Nnatoa taarifa kamili ni kuwa hakuna Daladala inayofanya kazi tena muda huu9:37am,njia zote hakuna usafiri.Nimepita maeneo ya chini ya mti pamewekwa Mawe makubwa sana barabarani.Hali ya usalama ni shwari kidogo Ila usafiri kwa sasa ni empty.Polisi ndio wengi barabarani.
Kumbe sio mgomo tena ni wahuni wachache wanataka kuchafua mji, kwa nini waweke mawe barabarani ina maana kuna watu wanataka kupitisha magari yao wahuni ndio hawataki