Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,894
CCM have pressed so hard na watanzania sasa baada ya kukata tamaamuda mwingi wana resort kwenye kitu kizito .CCM imeyatengeneza haya wakidhani jeshi ni jibu .Busara zitumike vyeo visitumike vibaya .Lakini kama kesho wenye magari yao wameamua kwenda gereji kurekebisha magari yao yeye Mkuu wa Mkoa anaweza kuwazuia .Serikali corrupt haina hata magari ya state kwa usafirishaji leo mnawezaje kuwalazimisha wenye magari ya kufanya watakavyo ? Kuna haja kubwa ya kuangalia ukweli huu .Vitisho na kutumia polisi si jibu kwa kwel . I am so sad Nchi yangu imefisadiwa kiasi hiki .