Arumeru mashariki: Halima Mdee apiga below the belt

Halima Mdee yeye mwenyewe ameolewa na nani? yeye mbona ana sifa yakuwa jamvi la wageni watu hawasemi ? yeye mbona uchafu aliokuwa anaufanya kwenye gari Bilcanas watu hatuusemi? . Habari ndio yeye amemwaga ugali sie tunamwaga mboga

mboga uliyomwaga iko wapi? ya kumuua Kolimba au Karume? labda unasema kumuua baba wa taifa ndo kumwaga mboga.
 
Duuuuh kweli huyu mzee anathibitishia wazungu historia ya mwafrika alikuwa sokwe-mtu. Evolution age
 
Kwani Wassira, Dr. Remmy(rip) na Massoud Massoud nani zaidi? Imagine wakitabasamu alafu sokwe ndie muamuzi!!!
 
wassira.jpg

chipanzee.jpg

kwa mbaali unaweza kuona ka comparison between the two! kama mtoto wa bamkubwa na bamdogo hivi.
tofauti ni kwamba moja kavalishwa suti

Nadhani Halima ametumia maneno ya aibu ingawa yana ukweli fulani. Unajua mtu anaweza kuwa na sura mbaya lakini unamsitiri. Ukimwambia unafanana na gari la jeshi kweli hayo ni matusi hata kama ni kweli. Sasa dada Halima umesema ukweli uliovua nguo!!!!
 
Halima Mdee yeye mwenyewe ameolewa na nani? yeye mbona ana sifa yakuwa jamvi la wageni watu hawasemi ? yeye mbona uchafu aliokuwa anaufanya kwenye gari Bilcanas watu hatuusemi? . Habari ndio yeye amemwaga ugali sie tunamwaga mboga

ok tuma salamu.
 
sitta_mdee.jpg

Ama kweli nyani haoni kundule, hivi huyu nae kafanana na nini?
 
Halima Mdee yeye mwenyewe ameolewa na nani? yeye mbona ana sifa yakuwa jamvi la wageni watu hawasemi ? yeye mbona uchafu aliokuwa anaufanya kwenye gari Bilcanas watu hatuusemi? . Habari ndio yeye amemwaga ugali sie tunamwaga mboga
Kwe kwe kwe kwe!

Umri wa Halima bado sana, ataolewa siku na muda wowote! Haya huyo bibi yenu mwenye 64 hajaolewa wataka kusemaje?...

Kwe kwe kwe kwe!

Hamna hata mboga ya kumwaga nyie, acha kujishaua mwanaume mzima!
 
Hata aliyempa huo uwaziri uhusiano hakufikiri ...alitakiwa achaguwe mtu mwenye mvuto lakini hilo zee limekaa vibaya na mdomoni litatoa maneno yenye harufu mbaya aggggggh do natamani nimuone mke wake ...nasubiri bunge lijalo si huwa wanatambulisha mpaka wajukuu ...tukumbushane
 
wassira ameamua kunya sebureni sasa anapakwa kinyesi chake

for the context of piple,that was not good. Binafsi sijaipenda hata kama utetezi wake utakuwa waafrika wote tunafanana na sokwe. Kuna vya kuongea na vingine unakaushi. Kuhusu spika nampa VEMA KUBWA!
 
for the context of piple,that was not good. Binafsi sijaipenda hata kama utetezi wake utakuwa waafrika wote tunafanana na sokwe. Kuna vya kuongea na vingine unakaushi. Kuhusu spika nampa VEMA KUBWA!
Mbona wenyewe hawachagui vya kuongea? Watu wazima wameishiwa sera wanafanya siasa za maji taka!... Wacha wapate kinachowastahili...
 
Nadhani Halima ametumia maneno ya aibu ingawa yana ukweli fulani. Unajua mtu anaweza kuwa na sura mbaya lakini unamsitiri. Ukimwambia unafanana na gari la jeshi kweli hayo ni matusi hata kama ni kweli. Sasa dada Halima umesema ukweli uliovua nguo!!!

Nimebadili msimamo, nilikuwa sijajua ni mchezo gani unachezwa kama ni kung fu basi huwezi kusema ni below the belt. Inaweza tu kumaanisha jamaa kashindwa self defense.
 
Mh! Pamoja na mimi kuwa sura ya yesu kristo a.k.a MUNGU sidhan kama ni sahihi kwa kumwa-abuse binadam (tyson) kwa namna aliyotumia halima kimobitel.Vijembe vyake vingelengwa kwenye kauli na matendo ya tyson kama alivyomtupia madam spika
 
Akihutubia katika kijiji cha njori kata ya Poli alimfananisha mzee wasira na sokwe mtu that is wrong in my opinion ?
pia kuhusu swala la kuoa aliwataka CCM kwanza wakamuulize Spika wa Bunge(64) ameolewa na nani? kabla ya
kumuuliza joshua nasari(26) kwanini hajaoa?

Kumbe Halima ni "cute" a.k.a baby face!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom