Arumeru mashariki: Halima Mdee apiga below the belt

Mbona hii picha katokea handsome hivi? Ni ya photopoint?
Hon_%20Stephen%20Masato%20Wasira.png
 
duuuu...ila halima mdee noooomaaaaaa...wsira na sokweeeeee mmmmh...spika naeeee....teh teh teh teh..
 
Kwani we mtoa mada unaonaje?we huoni wanafanana kweli,kusoma ushindwe hata picha jamani
 
Hivi vichwa vya habari jamani "HALIMA MDEE APIGA BELOW BELT" mi nkajua kashusha suruale si unajua kiswanglish tena, na niliposikia mna uhusiano na kile chama cha DAVID nikajua ohooooo.
 
Wamelikoroga magamba wacha wayanywe,vijana walikuwa kimya wao wakaanza matusiw wazee wazima,mara huyu si mwana ukoo wa Nyerere,mara pesa za kanisa,mara Nasari hajaoa,sasa ona kumbe spika hamna kitu
 
Hii ya kumfananisha Wasira na Sokwe mtu sidhani kama Halima anaweza kuisema!ya Makinda hiyo haina mjadala!c.c.m wanashndwa jielewa wanapambana na chama ambacho majority ni vijana ila wastaarabu,lakini si kuwa hawawezi kujibu kejeli za c.c.m

Haina shida! yawezekana kama hajafanana na sokwe kwa sura basi moyo wake ndio umefanana na sokwe. Kinachotusumbua kwa Wassira yaani sura yake ni ya hovyo halafu sijui ikawaje akaendana na maneno yake ya hovyo!

 
Hii thread ni moja ya mazingira hatarishi ya kutandikwa kitu cha ban ngoja nihame.
 
wassira.jpg

chipanzee.jpg


kwa mbaali unaweza kuona ka comparison between the two! kama mtoto wa bamkubwa na bamdogo hivi.
tofauti ni kwamba moja kavalishwa suti

Wamefanana midomo na macho. Sina uhakika kuhusu tabia!
 
Akihutubia katika kijiji cha njori kata ya Poli alimfananisha mzee wasira na sokwe mtu that is wrong in my opinion ?
pia kuhusu swala la kuoa aliwataka CCM kwanza wakamuulize Spika wa Bunge(64) ameolewa na nani? kabla ya
kumuuliza joshua nasari(26) kwanini hajaoa?

Usilipe maovu kwa maovu imenenwa.
 
Back
Top Bottom