Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,327
- 4,779
hidhi ni dhambi........
Tena kubwa sana! Mapenzi yenu ya mambo ya kidunia (Siasa)
kufikia kumkufuru Mungu !
Huku ni kumkejeli Muumba !
Wasira hajajiumba yeye !
Kumfananisha binadamu na hayawani , si dhihaka kwa kiumbe husika, (Wasira) ni dhihaka, kejeli na matusi kwa muumbaji .
Hakuna aliyejaza form kwa Muumba akapeleka pre'map ya design gani azaliwe nayo! Jf Members mliohusika kufanya kejeli hii ya kumfananisha binadamu na Nyani , nini kinawadanganya? Mnatoa wapi kiburi cha kufikia hapo mlipopafikia? Mkiwa mpo accurate kwamba nyie ndiyo wenye maumbile bora ?
Imenisikitisha sana habari hii .