Arumeru mashariki: Halima Mdee apiga below the belt

akihutubia katika kijiji cha njori kata ya poli alimfananisha mzee wasira na sokwe mtu that is wrong in my opinion ?
Pia kuhusu swala la kuoa aliwataka ccm kwanza wakamuulize spika wa bunge(64) ameolewa na nani? Kabla ya
kumuuliza joshua nasari(26) kwanini hajaoa?
duuh kumbe spika wa bunge naye ni chipsi kuku!? Au ni buffet!!!!?????
 
Ni kweliii...wasira ni vivid example that we human beings originated from a spice of chimpanzee...kitu ya homohabillis kama history haijanipitia mbali...he is a so called old version of civilized human beings..very close to human nature...

jamaa yangu alituchekesha one day alisema eti wasira alikuwa kalala kwenye v8 lake anapita serengeti mbugani kwenda kwao bunda from a-town...alivyofika katikati ya mbuga akapiga usingizi kwa juu katupia kofia yake ya green n yellow ile wanatoka geti la mbugani si gari inakaguliwa..mlinzi wa mbuga akawa anamuuliza dereva wa wassira vipo wapi vibali vya kuvuna rasilimali za taifa aka sokwe mtu...sasa dereva akawa kama anataka kucheka ila jamaa yupo serious ndio akaamua kutumia ile picha ilee ya mwananchi mzee akiwa kalala akitafakari na kumwambia jamaa kuwa hii sio natural resource ni mkuu akitafakari kama hapa....

ndioooo halima hujakosea watu kibaooo tuu kitaaa tunamfananisha na sokwe-mtu.
...ohi ohi ohi ohi ohi...kwi kwi kwi kwi kwi kwi...ahaaa ahaaa ahaaa ahaaa ahaaaaaaaaa...no komedi or no nmekosea nilikuwa ninamaana no comment...umeniogea siku za kuishi mkuu!...
 
Akihutubia katika kijiji cha njori kata ya Poli alimfananisha mzee wasira na sokwe mtu that is wrong in my opinion ?
pia kuhusu swala la kuoa aliwataka CCM kwanza wakamuulize Spika wa Bunge(64) ameolewa na nani? kabla ya
kumuuliza joshua nasari(26) kwanini hajaoa?

Halima Mdee yeye mwenyewe ameolewa na nani? yeye mbona ana sifa yakuwa jamvi la wageni watu hawasemi ? yeye mbona uchafu aliokuwa anaufanya kwenye gari Bilcanas watu hatuusemi? . Habari ndio yeye amemwaga ugali sie tunamwaga mboga
 
Useme basi bi.Mkubwa! here is where we dare to talk openly..ndio maana tunathubutu kusema wassira kafanana na sokwe!
 
Wapi picha tufananishe.
Tyson2.jpg Wassira.jpg
 
Halima Mdee yeye mwenyewe ameolewa na nani? yeye mbona ana sifa yakuwa jamvi la wageni watu hawasemi ? yeye mbona uchafu aliokuwa anaufanya kwenye gari Bilcanas watu hatuusemi? . Habari ndio yeye amemwaga ugali sie tunamwaga mboga

Yeye ni kijana acha ale maisha!
 
Halima Mdee yeye mwenyewe ameolewa na nani? yeye mbona ana sifa yakuwa jamvi la wageni watu hawasemi ? yeye mbona uchafu aliokuwa anaufanya kwenye gari Bilcanas watu hatuusemi? . Habari ndio yeye amemwaga ugali sie tunamwaga mboga

Hivi wewe umeolewa lakini?usije ukawa unawasema wenzio tu.
 
Kwani halima mdee na sokwe wana tofauti gani? na huyo mama aliyemtaja kwani anatoka Arumeru?
 
Sio spika pekee yake. Anikeni maovu yao kwana tunasikia wamezalishana kwa wingi
 
me sidhani kama halima amepiga below the belt,...nadhani amepiga between the legs..
kalenga palepale kwenye 'nuts'...mr wassira aka mr chimpanzee/gorilla asipanick sana ila achukulie hili kama changamoto ya kukishughulisha kichwa chake kilichoanza kuchoka next time atakapokuwa anatoa porojo zake jukwaani...!
 
Back
Top Bottom