Arumeru Mashariki, CHADEMA kunyakua jimbo?

AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,492
5,040
Habari wana JF! Kutokana na hali mbaya ya rushwa na fitina zinazoendelea ndani ya CCM na pia ktk mchakato wa kumpata mwakilishi wa CCM arumeru ambao umemalizika na kusababisha mgawanyiko mkubwa ndani ya chama hicho, pia na matumizi ya mbinu za kuwagawa wananchi kwa ukabila huko arumeru, Mhe sitta ametabiri ushindi wa chadema kwa kusema ni chama ambacho kinatumia demokrasia ya kweli hata ktk mchakato wa kura za maoni pia amesema kitendo cha kumchagua mzalendo Nassari huo ni uthibitisho tosha kuwa chadema itashinda arumeru.
 
Ningependa mshindi awe aliyestahili, na binafsi i like CHADEMA ishinde ingawa i respect SIYOI a lot, ila hizi nuksi za huyu baba sizipendi

He should either leave CCM or shut up
 
Hata hivyo baada ya hii nngwe sidhani kama ataendelea kubaki ccm
 
sita mbona haeleweki nani ambaye sio mzalendo.kama sioi sio mzalendo si aweke pingamizi tu.Huyu dingi inaonekana anakata tawi mti aliokali kama haitaki ccm si ahame rasmi au anataka huruma ya watanzania mbona mwenzie mpendazoe yuko nje ya ccm.mzee sita ukita ueleweke hama ccm hueleweki au ndio baniani mbaya .....,..
 
Ningependa mshindi awe aliyestahili, na binafsi i like CHADEMA ishinde ingawa i respect SIYOI a lot, ila hizi nuksi za huyu baba sizipendi

He should either leave CCM or shut up

Mkuu kama una CV ya huyu Siyoi utuwekee hapa plz
 
Habari wana JF! Kutokana na hali mbaya ya rushwa na fitina zinazoendelea ndani ya CCM na pia ktk mchakato wa kumpata mwakilishi wa CCM arumeru ambao umemalizika na kusababisha mgawanyiko mkubwa ndani ya chama hicho, pia na matumizi ya mbinu za kuwagawa wananchi kwa ukabila huko arumeru, Mhe sitta ametabiri ushindi wa chadema kwa kusema ni chama ambacho kinatumia demokrasia ya kweli hata ktk mchakato wa kura za maoni pia amesema kitendo cha kumchagua mzalendo Nassari huo ni uthibitisho tosha kuwa chadema itashinda arumeru.

uongo mtupu, tupe source
 
Huyu mzee na mwenzie Mwakyembe hawaeleweki kama ni wa moto au bAridi!...What i conclude is that they are not confident!
 
Habari wana JF! Kutokana na hali mbaya ya rushwa na fitina zinazoendelea ndani ya CCM na pia ktk mchakato wa kumpata mwakilishi wa CCM arumeru ambao umemalizika na kusababisha mgawanyiko mkubwa ndani ya chama hicho, pia na matumizi ya mbinu za kuwagawa wananchi kwa ukabila huko arumeru, Mhe sitta ametabiri ushindi wa chadema kwa kusema ni chama ambacho kinatumia demokrasia ya kweli hata ktk mchakato wa kura za maoni pia amesema kitendo cha kumchagua mzalendo Nassari huo ni uthibitisho tosha kuwa chadema itashinda arumeru.

Hahaha very funny!

Kwakuwa kambi yao imebwagwa ndio wanalia lia.
 
Hii habari imekosa misingi ya kiuandishi wa habari kozi haina source ya kuaminika bora niite hekaya za abunuasi
 
Back
Top Bottom