Arumeru Mashariki, CHADEMA kunyakua jimbo?

hawezi kuhama akihama atayumba sana na tutamsahau atabaki tu kwenye kumbukumbu kuwa aliwahi kuwa spika, waziri etc

Mzee Sitta anaipenda sana ccm na ndiyo maana anaikosoa waziwazi ili ijirekebishe na msije kusema mbona hakusema lakini mseme alisema tukapuuza. We unadhani hakusema kwenye vikao vya ndani? Ila walimpuuza, akaona awaambie wana ccm walioko nje ya system lakini ndiyo hivyo na ninyi uwezo wenu. Mtia huruma sijui mumelishwa nini.
 
Acha kutunga maneno na kuyaleta home of great thinkers......huna source wala nn............unaleta unafki hapa sio lazima utume thread kama huna idea soma za wengine usiichafue jf!!!!
 
Ningependa mshindi awe aliyestahili, na binafsi i like CHADEMA ishinde ingawa i respect SIYOI a lot, ila hizi nuksi za huyu baba sizipendi

He should either leave CCM or shut up

Namfahamu Sio kwa undani kidogo, ni kijana mtulivu na mwenye vision, tatizo lililomkumba ni kujiingiza mapema ktk vita hii. Nadhani angetumia busara kidogo tu, angeamua kulitoa jina lake kwa ajili ya maandalizi ya baadae kama anapenda Siasa. Sioi, nitafutie nikupe ushauri, nina uhakika utanisikiliza. Kwa hili umeteleza kidogo. Jaribu kuangalia mbali kidogo, bado u kijana na kama Mungu akikuweka duniani bado una mambo mengi ya kufanya.
 
Vipi nec jamani mbona kimya hawamtangazi tuu huyo mwakilishi tumjue,maana wanaishia shutma tuuu!!!!
 
Habari wana JF! Kutokana na hali mbaya ya rushwa na fitina zinazoendelea ndani ya CCM na pia ktk mchakato wa kumpata mwakilishi wa CCM arumeru ambao umemalizika na kusababisha mgawanyiko mkubwa ndani ya chama hicho, pia na matumizi ya mbinu za kuwagawa wananchi kwa ukabila huko arumeru, Mhe sitta ametabiri ushindi wa chadema kwa kusema ni chama ambacho kinatumia demokrasia ya kweli hata ktk mchakato wa kura za maoni pia amesema kitendo cha kumchagua mzalendo Nassari huo ni uthibitisho tosha kuwa chadema itashinda arumeru.

Haya maneno ameyasema katika kikao kipi?
 
Itabidi fundi seremala arudi VETA kusoma tena, ka mende ataangusha kabati
 
sidhani kama taarifa hizi ni za kweli na zinatoka kwa Sitta mwenyewe kwasababu ninachojua Mzee Sitta yupo Marekani siku ya nne sasa na taarifa hizo amezitoa kwa nani? kwa waandishi wa habari au kwa msemaji wake. otherwise this is misconception
 
Kasema akiwa wapi na kwanini alisema hayo? Yaani ni vyema ukasema uliipataje hii kauli ya Sitta,maana tusisje tukawa tunataka kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa.
 
Hivi hamjui mpinga kristo akija kutawala duniani namba 666 ndio itatumika ?
 
ili habari ieleweke kwa wanajamii lazima ikizi viwango! originality, relevant, specific and isiwe backed na majungu.
 
sita mbona haeleweki nani ambaye sio mzalendo.kama sioi sio mzalendo si aweke pingamizi tu.Huyu dingi inaonekana anakata tawi mti aliokali kama haitaki ccm si ahame rasmi au anataka huruma ya watanzania mbona mwenzie mpendazoe yuko nje ya ccm.mzee sita ukita ueleweke hama ccm hueleweki au ndio baniani mbaya .....,..
Asihame akae hukohuko aenedelee kuanika maovu ya Magamba wakitaka wamfukuze!
 
sita mbona haeleweki nani ambaye sio mzalendo.kama sioi sio mzalendo si aweke pingamizi tu.Huyu dingi inaonekana anakata tawi mti aliokali kama haitaki ccm si ahame rasmi au anataka huruma ya watanzania mbona mwenzie mpendazoe yuko nje ya ccm.mzee sita ukita ueleweke hama ccm hueleweki au ndio baniani mbaya .....,..

Kiatu chake Mwakyembe
 
Mzee Sitta anaipenda sana ccm na ndiyo maana anaikosoa waziwazi ili ijirekebishe na msije kusema mbona hakusema lakini mseme alisema tukapuuza. We unadhani hakusema kwenye vikao vya ndani? Ila walimpuuza, akaona awaambie wana ccm walioko nje ya system lakini ndiyo hivyo na ninyi uwezo wenu. Mtia huruma sijui mumelishwa nini.

Mwambie Mzee Sitta amuulize Kolimba popote alipo. CCM huwa hawakosolewi wakati uko nao. nadhani analikumbuka hili.
Asije akatuachia wosia wake wa madeni wakati nchi yenyewe imefilisika
 
Sitta, siku hizi kachukuwa mikoba ya Sheikh Yahya?

huyu si alitabiri atakaye mpinga baba yako kwenye uchaguzi 2010 atakufa ..hahaaa matokeo yake kaanza kufa yeye....hivi hii familia yenu mbona mnapenda sna mauchawi nyinyi ...
 
Back
Top Bottom