Arumeru Mashariki, CHADEMA kunyakua jimbo?

tunasubiri mshindi wetu nassari atangazwe ifikapo aprili.
na wakichakachua itakula kwao wamuulize mzee wa kiraracha pale jamaa wakimkosa mtu panga ni kukata migomba na miti kwa kwenda kia. Mi naona mchi hii bila kutokea machafuko hatuta heshimia. Maana ili ukombozi wa kweli upatikane ni lazima mmoja afe kwaajili ya wengine hii ni formula hata nchi zilizopata mapinduzi zimepitia huko hata kama nyie ni wasomi wazuri wa vitabu vitakatifu mtajua nazungumzia nini. Na hii ndio dawa pekee ya kuleta heshima katika taifa hili . Na kama hutaki we mwoga
 
Mkuu kama una CV ya huyu Siyoi utuwekee hapa plz

Huyu dogo hana Cv ya maana sana. Ni mwanasheria ameajiliwa crdb kma mwanasheria wao, na hata alibebwa wakati baba yake mzee sumari alikuwa mwenyekiti wa board crdb. Mke wake nae mtoto wa Lowasa anafanya kazi Bot. Nadhani hata huyu Mkewe kabebwa na mzee kukaa hapo Bot.
Mnajua mzee sumari alikuwa msomi tena mwenye Cpa na mtaalamu wa uchumi. Nasikia jamaa alikuwa sio mpenzi wa siasa, Lowasa ndo alimwingiza kwenye siasa hata kampeni za 2010 pale arumeru amefanya Lowasa kwa pesa yake Sumari alikuwa hoi. Sasa mnaona mzee kaondoka Lowasa kamwambia dogo aje kuchukua huyu mtoto hana vigezo vya kugombea anabebwa tu na huyo baba mkwe. (EL).
 
Hii habari imekosa misingi ya kiuandishi wa habari kozi haina source ya kuaminika bora niite hekaya za abunuasi

Hacha ukungu macho kama pwagu, hivi hujaona source? Au umekalili source ni lazima iwe gazeti ama Radio? Mwanaasha at work.
 
[1] Ngongo atabiri ushindi wa CDM.

[2] Ngongo atabiri mvua za masika zitanyesha mwezi huu.

[3] Ngongo atabiri Kenya watajenga bandari kubwa Lamu.

[4] Ngongo atabiri Lowassa ataongoza kampeni za CCM Arumeru.
 
Huyu dogo hana Cv ya maana sana. Ni mwanasheria ameajiliwa crdb kma mwanasheria wao, na hata alibebwa wakati baba yake mzee sumari alikuwa mwenyekiti wa board crdb. Mke wake nae mtoto wa Lowasa anafanya kazi Bot. Nadhani hata huyu Mkewe kabebwa na mzee kukaa hapo Bot.
Mnajua mzee sumari alikuwa msomi tena mwenye Cpa na mtaalamu wa uchumi. Nasikia jamaa alikuwa sio mpenzi wa siasa, Lowasa ndo alimwingiza kwenye siasa hata kampeni za 2010 pale arumeru amefanya Lowasa kwa pesa yake Sumari alikuwa hoi. Sasa mnaona mzee kaondoka Lowasa kamwambia dogo aje kuchukua huyu mtoto hana vigezo vya kugombea anabebwa tu na huyo baba mkwe. (EL).

Kumbe ni mkwe wa Lowasa? Ndio maana.....!!
 
Sita kathibitisha,ni mjumbe wa halmashauri kuu,KWA IYO CCM WAMEKUBALI KUKIACHIA KITI
 
Ningependa mshindi awe aliyestahili, na binafsi i like CHADEMA ishinde ingawa i respect SIYOI a lot, ila hizi nuksi za huyu baba sizipendi

He should either leave CCM or shut up

Sasa hapo mkuu litakuwa jimbo la ukoo huo huo? Hakuna wengine wenye uwezo?
 
Huyu dogo hana Cv ya maana sana. Ni mwanasheria ameajiliwa crdb kma mwanasheria wao, na hata alibebwa wakati baba yake mzee sumari alikuwa mwenyekiti wa board crdb. Mke wake nae mtoto wa Lowasa anafanya kazi Bot. Nadhani hata huyu Mkewe kabebwa na mzee kukaa hapo Bot.
Mnajua mzee sumari alikuwa msomi tena mwenye Cpa na mtaalamu wa uchumi. Nasikia jamaa alikuwa sio mpenzi wa siasa, Lowasa ndo alimwingiza kwenye siasa hata kampeni za 2010 pale arumeru amefanya Lowasa kwa pesa yake Sumari alikuwa hoi. Sasa mnaona mzee kaondoka Lowasa kamwambia dogo aje kuchukua huyu mtoto hana vigezo vya kugombea anabebwa tu na huyo baba mkwe. (EL).

Kumbe kumbe Sioi ameoa na ni mkwe wa Lowasa, naona hapo hawaja kata poverty cycle kabisa
 
sita mbona haeleweki nani ambaye sio mzalendo.kama sioi sio mzalendo si aweke pingamizi tu.Huyu dingi inaonekana anakata tawi mti aliokali kama haitaki ccm si ahame rasmi au anataka huruma ya watanzania mbona mwenzie mpendazoe yuko nje ya ccm.mzee sita ukita ueleweke hama ccm hueleweki au ndio baniani mbaya .....,..

hawezi kuhama akihama atayumba sana na tutamsahau atabaki tu kwenye kumbukumbu kuwa aliwahi kuwa spika, waziri etc
 
Back
Top Bottom