Arsenal (The Gunners) | Special Thread

kuna jamaa humu anaitwa Henry tangu mechi za awali alikuwa anasema ni heri akae Liverpool hapo juu kuliko kumzidi city point moja

sijui umelewa.... pep ukimzidi point moja achania mbali akae hapo juu kabisa jihesabie kasha kuacha kimahesabu
 
Hamiis 77 ni pure Manchester united fans its sad wakina mkorea castr henry computer arsenal wote wanashindwa kuliona yule sio pure arsenal fan kama wakina computer arsenal

kwa sasa yupo uko anachekea chooni akirudi hapa anakuja na statistics za jinsi kai alivo kuwa akisaidia LCM kum overload aston villa then viremba wake wanaona hopes za ubingwa kupitia yeye
 
Kuna hii page msimu uliopita ilipost kushangilia kua top tukapoteza next games.

Last week kapost tena.

Leo tunapoteza games
 
ila wakina flano arv wanamjua hamiss 77 ni damu yao ya united sema analeta ushindani mzuri na upinzani na ndio maana anaumia sana ubovu wa man utd na kufungwa kwake na kocha wao ni mzuri kutoa kasoro kwa kwa man utd kuliko arsenal

we jiulize ni shabiki gani anaona mazur ya timu tu na wala haoni mistakes na kipindi cha mpito kama hichi anakula kona na akisa ubingwa ndo humuoni mazima mpaka msimu ujao
 
Back
Top Bottom