Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hu
Kuna vitu hata Ordinary kocha anajua afanye nini.. Inashangaza kwanini timu imeingia uwanjani bila kuwa na Thomas Partey au Jorginho

Bro utagombana na watu humu ukimsema Kai Havertz... Maana kuna watu humu wanakuambia anawasumbua sana mabeki
Hilo suala ndio sitaki kusikia 😂, usumbufu gani huo, yaani akawe msumbufu kuliko jesus, jesus mzuri akiwa na mali na hata bila mali.
Arteta akubali tu hapa kwa kai alipigwa. Na leo watuache tusiomkubali kai tutambe, wao huwa wanatamba saana anapobahatisha, unaweza kusema kai ndio bora duniani.. mie nakwambia yule kai kwenye timu yangu ya mtaani ya malegend(maveteran) hapati namba mchezaji hana skills, hana mnyumbuliko yupo yupo tu anacheza mpira basic mnoo, na kwa nafasi yake inahitajika zaidi ya hayo mtizame odegaard, jitu linakimbia kama lina gunzi matakoni.

Game ilimuhitaji partey ye akatoa odegaard serious, kisha likai likabaki ndani, sawa akataka atumie mipira ya juu je ana ubora huo.

Mie niko pale pale kai ni big NO hata kama akifunga goli 100 kwa msimu, anahitaji kujiupgrade.

Mbona declan rice hatumsemi, kuna mtu nilibishana nae saana yeye rice mie partey, ni kweli kwagu bado partey ni bora lakini kazi ya rice si ya kubezwa, nimekubali mziki, sio kwa huyu ngongoti kai
 
There is always NEXT TIME...
Next year

😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣😅😅😅😅😃😃😃😃😃😃😃😃😃😁😁😁😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 

Attachments

  • 20240414_205639.jpg
    20240414_205639.jpg
    1.9 MB · Views: 2
Back
Top Bottom