tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 22,328
- 19,112
Mbona umegeuza matokeo mkuu?Arsenal 6-2 Blackburn
Mbona umegeuza matokeo mkuu?Arsenal 6-2 Blackburn
Kwenye hili Kocha bado ana cha kujifunzaSub zimetugharimu.
Eh yamekuwa hayo 😂 Mbona mlikuwa mnammwagia sifa hvyHatuna kocha hapa
Nilijua tu Arsenal kuna mechi watabananishwa, bado London Derby na Old Trafford kumalizia ndoto za ubingwa.Furaha yangu ni kuona Arsenyani wanatolewa UCL mapema. Kwenye EPL sina wasiwasi, next game wanakutana na mzee wa Good Ebening, bado wana London Derby: Chelsea & Spurs, hapo lazima wataacha points. Siku watakayokuja Old Trafford ndiyo tunamaliza kabisa matumaini yao msimu huu. 🤣
TROPHYLESS, AGAIN!!!
Kuna vitu hata Ordinary kocha anajua afanye nini.. Inashangaza kwanini timu imeingia uwanjani bila kuwa na Thomas Partey au JorginhoKosa lilikuwa kuanza bila kiungo mtuliza timu. Jorginho mzima partey mzima unaanzaje na kiungo kile... ainabidi akubali mmoja wao kati ya jesus au kai aanzie bench
Bro utagombana na watu humu ukimsema Kai Havertz... Maana kuna watu humu wanakuambia anawasumbua sana mabekiHuwezi kuw unasaka matokeo una kai ndani, mchango wake kwenye kusaka magoli na kutengeneza ni mdogo mnoooo..
Leo kipindi cha kwanza angefunga walau 1.
Kwanza kuna cross ilipigwa yaani ule mpira ni kimo chake, hatimae akaruka kama chura.
Kuna mpira yeye ndio alikuwa mbele, hatimae beki akamkuta na kumzuia.
Mipira mingine mpaka naisahau.
Kacheza LCM lakini ni yupo yupo tu kama mfanyakazi hewa , ye ni kuzuia mpira na kupasia kamaliza,
Ngoja nikatizame updates za wayahudi na wa Persians.
Tapeli yule, hua namsikilizaga naona chenga tuu yn wachambuzi wengi wa bongo ni matapeli.George ambagile aliwajaza sana vichwa🤣
Bayern hachezi leo mkuubayern mashabiki wameingia kweny pitch refa kaona amalize game
Ule msimu ulikuwa wamoto Sana kwa LiverkomweLiverpool ya moto inamfukuzia city kwa point 1 mechi 9 na akashindwa, sasa nyie mnamtingishia CITY wowowoo.