United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 2,891
- 5,735
luverkuzens mzee bayern haipo moja tu mzeeBayern hachezi leo mkuu
luverkuzens mzee bayern haipo moja tu mzeeBayern hachezi leo mkuu
na bado kweny mechi yenu lazima muwakandeMashabiki wa Chelsea tuna furaha kuzidi mashabiki wa AssAnal
Bayern ipo moja tu mkuu, unayosema wewe inaitwa BAYER(BAYA)luverkuzens mzee bayern haipo moja tu mzee
Yn AssAnal ana TOT, Chelsea na Man U yn akipata point 5 hapo bc anachukua ubingwa 😂na bado kweny mechi yenu lazima muwakande
BAYA au siyo 😂Bayern ipo moja tu mkuu, unayosema wewe inaitwa BAYER(BAYA)
Yeah! Anachanganya huyo na wenzie wote walioanza shabikia mpira kipindi sheikh mansoor anainunua cityBAYA au siyo 😂
Hilo suala ndio sitaki kusikia 😂, usumbufu gani huo, yaani akawe msumbufu kuliko jesus, jesus mzuri akiwa na mali na hata bila mali.Kuna vitu hata Ordinary kocha anajua afanye nini.. Inashangaza kwanini timu imeingia uwanjani bila kuwa na Thomas Partey au Jorginho
Bro utagombana na watu humu ukimsema Kai Havertz... Maana kuna watu humu wanakuambia anawasumbua sana mabeki
ok sawa nimechanganyaBayern ipo moja tu mkuu, unayosema wewe inaitwa BAYER(BAYA)