Arsenal (The Gunners) | Special Thread

GK5MZLBXYAAhfwb.jpeg
 
Furaha yangu ni kuona Arsenyani wanatolewa UCL mapema. Kwenye EPL sina wasiwasi, next game wanakutana na mzee wa Good Ebening, bado wana London Derby: Chelsea & Spurs, hapo lazima wataacha points. Siku watakayokuja Old Trafford ndiyo tunamaliza kabisa matumaini yao msimu huu. 🤣

TROPHYLESS, AGAIN!!!
Nilijua tu Arsenal kuna mechi watabananishwa, bado London Derby na Old Trafford kumalizia ndoto za ubingwa.

TROPHYLESS, AGAIN!!!
 
Kosa lilikuwa kuanza bila kiungo mtuliza timu. Jorginho mzima partey mzima unaanzaje na kiungo kile... ainabidi akubali mmoja wao kati ya jesus au kai aanzie bench
Kuna vitu hata Ordinary kocha anajua afanye nini.. Inashangaza kwanini timu imeingia uwanjani bila kuwa na Thomas Partey au Jorginho
Huwezi kuw unasaka matokeo una kai ndani, mchango wake kwenye kusaka magoli na kutengeneza ni mdogo mnoooo..

Leo kipindi cha kwanza angefunga walau 1.

Kwanza kuna cross ilipigwa yaani ule mpira ni kimo chake, hatimae akaruka kama chura.

Kuna mpira yeye ndio alikuwa mbele, hatimae beki akamkuta na kumzuia.

Mipira mingine mpaka naisahau.

Kacheza LCM lakini ni yupo yupo tu kama mfanyakazi hewa , ye ni kuzuia mpira na kupasia kamaliza,

Ngoja nikatizame updates za wayahudi na wa Persians.
Bro utagombana na watu humu ukimsema Kai Havertz... Maana kuna watu humu wanakuambia anawasumbua sana mabeki
 
kuna jamaa humu anaitwa Henry tangu mechi za awali alikuwa anasema ni heri akae Liverpool hapo juu kuliko kumzidi city point moja

sijui umelewa.... pep ukimzidi point moja achania mbali akae hapo juu kabisa jihesabie kasha kuacha kimahesabu
 
Hamiis 77 ni pure Manchester united fans its sad wakina mkorea castr henry computer arsenal wote wanashindwa kuliona yule sio pure arsenal fan kama wakina computer arsenal

kwa sasa yupo uko anachekea chooni akirudi hapa anakuja na statistics za jinsi kai alivo kuwa akisaidia LCM kum overload aston villa then viremba wake wanaona hopes za ubingwa kupitia yeye
 
Back
Top Bottom