Anne Kilango ataka mawaziri wachaguliwe na wananchi

Mmeshaambiwa kuwa Bunge halina madaraka juu ya serikali zaidi ya kushauri; msimamo huo haujakanushwa na Mwanasheria Mkuu wala Rais, hivyo unasimama. Sasa kwanini mfikirie kuwa Bunge linaweza kuwa na nguvu ya kuamua nani awe waziri na nani asiwe?

Our constitution sucks. The executive branch, in particular the president, is too powerful for a country to be deemed democratic.
 
Tanzania courageous MP leads the way

Written by Magutu, B. | 01 May 09

Popular member of Parliament (MP) Anne Kilango Malecela received the honour of the Tanzania Woman of Courage Award 2009, bestowed by the United States Embassy in Tanzania. The annual award recognised Malecela’s courage and leadership in struggles to improve the lives of Tanzanians when she challenged party leadership to confront the question of corruption, despite the threat this posed to her personal safety.

- Bwa ! haa! ha! kumbe Sate Dept, ya US watoaji wa zawadi kwa Mheshimiwa Mbunge Super K, nao wana chongo na makengeza inachekesha sana kutoka kwa Great Thinker Bwa! ha! yale yale tutabdili rangi mpaka mwisho wa dunia lakini sumu ni zile zile, taifa liko pale pale linahangaika tu na wanojiita wasomi uchwara wa PhD za online! hata kujibu hii ni kupoteza muda buree!

es!

Yes, she is higher than most but this copy-paste post doesnt address the thread

Democracy is very expensive to most of us... especially when we are too blind to see it!!!!
 
Mkuu FMES,

Kila unacholeta hapa kinazidi kuonyesha jinsi gani mama Kilango anavyo penda kujionyesha kuwa ni mpiganaji na sasa element ya ufujaji wa mali ya umma inaanza kuonekana ndani yake. Ripoti ni ya kamati lakini;
  1. Sijui ni nani anawaambia hawa waandishi waseme kuwa Kilango ndiye kafanya yaliyofanyika na sio kamati. I hope ni kosa la waandishi, maana waandishi wa bongo siku hizi wanaandika anayotaka mtoa bakhshish na sio habari ilivyo. Kumbuka Lowassa ndio ulikuwa mchezo wake huu.
  2. Kwa nini kamati inakutania Diamond Jubilee wakati kuna ofisi za bunge. Yale yale yaBOT ya kutokuangalia tunatumiaje mali za uma. Huu ni ufujaji.
  3. Inakuwaje hii kamati mambo yake yote yanaandikwa kuwa ni mama Kilango kafanya, kasema, katimua mtu n.k.? Wengine hawana michango? Yuko wapi mwenyekiti wa kamati maana Mama Kilango ni VP? It look suspicious for the Chair not to be around and the media to then start praising the VP for decissions made by the commitee?
Jamani, hivi ina maana wabunge wengine hawaonekani na waandishi wa habari maana kila kukicha ni Kilango, Kilango, Kilango.........what is going on?

Ms. Kilango anaonyesha wazi kuwa anavitumia vyombo vya habari kuwashawishi watu kuwa ni mpiganaji wakati maamuzi yake ni ya utata na maoni yake ni shallow.

Ukiangalia sana utaona kuwa Mama Kilango Malecela hana tofauti sana na Lowassa except Lowassa alikaa darasani na kupata degree yake.

They both try to use the media to shape our minds.

Let's go back to the subject yetu ya mawaziri kuchaguliwa maana tukiandelea kuongelea utata wa mama Malecela, we might end up praising Ms. Simba.

- Mkuu wewe umeenda shule kama unavyodai, sasa anza na kumsema mbunge anayefaa sana ndio umlinganishe na Mama Super K hivi bunge la Tanzania mbunge ni Mama Kilango peke yake ndio maana ninasema unachekesha sana,

- Kama ni ushauri alioutoa ni ushauri tu ambao hata na wewe unaweza kuutoa, lakini haina maana wako ni better kuliko wake unless uwe umefanyiwa kazi somewhere na ikathibitishwa kwa scientific facts kwamba ndio umelisaidia lile taifa kusogea mbele kimaendeleo, sasa ningekuomba again uweke ushauri wako wa namna ya kutafuta mawaziri halafu uonyeshe scientific facts kwamba umewahi kuisaidia taifa gani duniani kusonga mbele,

- Halafu unaongea pumba sana hivi ni mwanasiasa gani wa dunia ya leo asiyetumia media kujiweka sawa na wananchi? Unasema Mwalimu alikuwa ananyamaza kimyaaa tu halafu anakubalika na wananchi? Hivi shule uliyosoma na kupata hiyo PhD ni wapi mkuu?

- Yaaani nasikia shida sana hata kulumbana na wewe maana ni waste of time, huna hoja period, watu walioenda shule wanapotaka kuonyesha mbunge mmoja hafai wanatumia mbunge mwingine anayeafaa kuonyesha hoja yao, sasa wewe kila kukicha hapa ni kushupalia huyu mama, sasa tuonyeshe wabunge wengine wanaofaa na waliayoyafanya hapa tuyaone, mkuu hiyo shule waliyokupa PhD wamekuibia waambie wakurudishie hela zako!

es!
 
Mawaziri wasiwe wabunge itakuwa sawa na haki

Mawaziri wawe vetted na bunge itakuwa kama wameridhiwa na wananchi kupitia bunge la wananchi

Ifike mahali all presidential appointment iwe vetted na bunge ili kupata ridhaa ya kuhudumia wananchi na siyo chama au rais.

Good point Tumain. Mfumo wa rais kuchaga mawaziri ni mzuri. Ila chakufanya ni kuteg'anisha ubunge na uwaziri. Kwamba, mawaziri wote watoke nje ya bunge. Then, wawe vetted na bunge ili kupata ridhaa ya kutumika kama mawaziri. As much as I like huyu mama [Anne Kilango], I think sasa anaanza kuzeeka vibaya. That was the dumbest suggestion I have ever heard.
 
- Endelea mkuu tupo pamoja sana. na tizama wananchi wengine walivyo na muono tofauti na wako ambayo ndio Demokrasia haswaaa!

es!

Tanzania has more than 35 million people with real names not me and you or mwafrika wa kike... if we want to help our country, we have to come; so clean when mama Kilango has messed up we ahve t be there to note it and address it!!!

Amekosea so no matter how many bunches of roses you gonna spread all over this country... you have to come good!!!

AMECHEMSHA HII HOJA AND SHE HAS TO COME CLEAN OR STAY MUTE FOR YOU TO BACK HER UP!!!

Tanaznia itaondokana na huu upupu only when we come clean and real rather than kulindana na kuleta udugu hapa!!!
 
Tanzania courageous MP leads the way

Written by Magutu, B. | 01 May 09

Popular member of Parliament (MP) Anne Kilango Malecela received the honour of the Tanzania Woman of Courage Award 2009, bestowed by the United States Embassy in Tanzania. The annual award recognised Malecela’s courage and leadership in struggles to improve the lives of Tanzanians when she challenged party leadership to confront the question of corruption, despite the threat this posed to her personal safety.

- Bwa ! haa! ha! kumbe Sate Dept, ya US watoaji wa zawadi kwa Mheshimiwa Mbunge Super K, nao wana chongo na makengeza inachekesha sana kutoka kwa Great Thinker Bwa! ha! yale yale tutabdili rangi mpaka mwisho wa dunia lakini sumu ni zile zile, taifa liko pale pale linahangaika tu na wanojiita wasomi uchwara wa PhD za online! hata kujibu hii ni kupoteza muda buree!

es!

Jadili hoja sio kuwa kama bendera ya silk!!!
 
Good point Tumain. Mfumo wa rais kuchaga mawaziri ni mzuri. Ila chakufanya ni kuteg'anisha ubunge na uwaziri. Kwamba, mawaziri wote watoke nje ya bunge. Then, wawe vetted na bunge ili kupata ridhaa ya kutumika kama mawaziri. As much as I like huyu mama [Anne Kilango], I think sasa anaanza kuzeeka vibaya. That was the dumbest suggestion I have ever heard.

- Wawe vetted na bunge, sasa tofauti ya kuwa mbunge kuwa waziri na kukubaliwa na bunge ni nini hasa? Halafu bunge lenyewe liko wapi hili la CCM? Litamkataa waziri aliyeteuliwa na Rais?

- Halafu eti una gutts za kudai ushauri wa wengine ni dumbest idea kuliko hii yako mkuu? Eti utachagua waziri mzuri na hili bunge la sheria ya zamani ya chama kimoja inayotumika kwenye mfumo wa vyama vingi, mkuu mbona huu wako ni ushauri wa kujinga kuliko na foolish zaidi! sometimes kabla ya kuongea muwe mnalionea huruma hili taifa japo kidogo badala ya kujali ubinafsi wenu ambao hamuwezi hata kuuhalallisha hapa kwenye watu walioenda shule!

es!
 
Tanzania has more than 35 million people with real names not me and you or mwafrika wa kike... if we want to help our country, we have to come; so clean when mama Kilango has messed up we ahve t be there to note it and address it!!!

Amekosea so no matter how many bunches of roses you gonna spread all over this country... you have to come good!!!

AMECHEMSHA HII HOJA AND SHE HAS TO COME CLEAN OR STAY MUTE FOR YOU TO BACK HER UP!!!

Tanaznia itaondokana na huu upupu only when we come clean and real rather than kulindana na kuleta udugu hapa!!!

- Hapa umesema point, yaani wale wezi wote wakija clean, kama wale wa Kiwira na Meremeta, italisaidia sana taifa letu!

es!
 
- Full Stop!

es!

full stop applies to only those who never take time to understand the context but dwell on a few subjective clauses to suit their desires

Its like that the es stands alone after FM rests in the shallow grave!!!

really sad how our scholarships go to wrong individuals leaving real potentials roasting in hall 3 at the hills

Mbaraka alisema "Ni makosa ya malezi mabaya"
 
- Wawe vetted na bunge, sasa tofauti ya kuwa mbunge kuwa waziri na kukubaliwa na bunge ni nini hasa? Halafu bunge lenyewe liko wapi hili la CCM? Litamkataa waziri aliyeteuliwa na Rais?

- Halafu eti una gutts za kudai ushauri wa wengine ni dumbest idea kuliko hii yako mkuu? Eti utachagua waziri mzuri na hili bunge la sheria ya zamani ya chama kimoja inayotumika kwenye mfumo wa vyama vingi, mkuu mbona huu wako ni ushauri wa kujinga kuliko na foolish zaidi! sometimes kabla ya kuongea muwe mnalionea huruma hili taifa japo kidogo badala ya kujali ubinafsi wenu ambao hamuwezi hata kuuhalallisha hapa kwenye watu walioenda shule!

es!

Yeah, I know that really got into your foolish nerves mkuu. Tunafahamu kuwa mama Kilango ni ndugu yako so hata ukimtetea kwa nguzu zote, still ushauri aliouta utabaki kuwa wa kijinga kwenye hii decade tuliyoianza! hahaha, sorry, it is fact!
 
Kama kweli alisema hivo basi, mama Anne Kilango atakuwa amechemsha hapa. Mawaziri ni watumishi wa executive branch ya serikali, wanateuliwa na rais. Kama serikali ikiboa, wananchi wakamfukuza rais kazi, basi na mawaziri nao wanakuwa wamefukuzwa. Ukishakuwa na mawaziri waliochaguliwa itakuwa ni vigumu kuiabana serikali kwa jumla.

Kosa letu ni hili la kuwa na mawaziri ambao ni wabunge; huu ni utaratibu wa kiingereza, ambapo waziri mkuu mwenyewe ni mbunge na anataokana na chama chenye wabunge wengi; kwao serikali kuu ni sehemu ya bunge, Sisi tunaochagua Rais akiwa si mbunge, serikali kuu yetu siyo sehemu ya bunge kwa hiyo mawaziri inabidi wasiwe wabunge.

- Hapana ni mtizamo wake sasa na wewe toa wa kwako, unless una facts scientfically ku-prove kwamba wa kwako ndio unafaa na mifano halisi, otherwise ni afadhali mbunge aneyesimama na kusema sheria flani haifai, kuliko wanaonyamaza,

- Maana akisema namna hii anafungua mjadala wa taifa na wengine wanachangia kama unavyofamnya sasa, yaani Mama Super K hapa ametoa platform kwa kila mwananci kuchangia, ndio maana ya uongozi bora siku zote unaonyesha njia wengine hufuata!

Respect.

FMEs!
 
Maneno ya mbunge mtarajiwa hayo....LOL
 
Yeah, I know that real got in your foolish nerves mkuu. Tunafahamu kuwa mama Kilango ni ndugu yako so hata ukimtetea kwa nguzu zote, still ushauri aliouta utabaki kuwa wa kijinga kwenye hii decade tuliyoianza! hahaha, sorry, it is fact!

- Mwenye akili yoyote akiuusoma huu mjadala toka mwanzo ataelewa nani ame-get to the nerves za mwingine, hivi mbona huwa unakuwa mwepesi sana kuhamaki vipi huko kwenu wewe ni mfalme nini unasujudiwa na kila mtu kwenye familia yako? Bwa! ha! ha! ha! this is fun!

- By the way, Mama Super K, is my best friend sio ndugu yangu, maana sasa hivi utasema ule msemo maarufu sana hapa JF, niuseme? Bwa! ha! ha! this is funny! Eti it is a fact, yaani facts za JF ni lazima ziwe establish na wewe tu, ukiulizwa basi ninakuwa ndugu wa Mama Super K, inacheksha sana, anyways mkuu ngoja nikalale sasa kesho kama kawaida mzigo si unajuaaaaghhhrrr!

Marshall danganya wajinga wengine. Mimi nakufahamu sana, and mama whatever Kilango ni ndugu yako. Kama unaamua kumkana leo kwasababu tu ameongea/toa dumbest suggestion, then that's another whole new thing.
 
full stop applies to only those who never take time to understand the context but dwell on a few subjective clauses to suit their desires

Its like that the es stands alone after FM rests in the shallow grave!!!

really sad how our scholarships go to wrong individuals leaving real potentials roasting in hall 3 at the hills

Mbaraka alisema "Ni makosa ya malezi mabaya"

- Es maana yake ni Emergency System, to suggest othewise ndio ushallow wenyewe huo Bwa! ha! ha!
kila ninapoweka es bila respect maana yake moja tu kwamba ni rabngi yako wewe mtu mmoja Bwa! ha! ha! toka Jumapili unahaha vipi kuna nini mkuu?

- Shule nimejisomesha mwenyewe kwa hela zangu, sikupelekwa Russia na hela za wananchi, halafu siri ya wanafunzi wengi waliokuwa wanapelekwa Russia na China zamani, ilikuwa ni kwamba hawakuwa na uwezo mkubwa wa kuelewa, kwa maneno mengine hawakupasi, maana waliopasi wote walienda Mlimani.

- Malezi bora aliyenayo, hawezi lilia kina mama wanazidi umri wa mama yake, maaana yake ni laaanakum!

- later mkuu

es!
 
- Too low kwangu kukujibu, tafuta level yako hii kwangu ni chini sana! Nitaishia kuonekana kama wewe!

es!

Na wewe una level??? pole sana, its when we fall down reeling for all that missed chances, only to raelise that we have had a joyride for years!!!!

Pale vikawe palikuwa na heshima sana mkuu... wachache kama wew ndio mnaharibu
 
Back
Top Bottom