Kubwajinga
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,194
- 297
Mmeshaambiwa kuwa Bunge halina madaraka juu ya serikali zaidi ya kushauri; msimamo huo haujakanushwa na Mwanasheria Mkuu wala Rais, hivyo unasimama. Sasa kwanini mfikirie kuwa Bunge linaweza kuwa na nguvu ya kuamua nani awe waziri na nani asiwe?
Our constitution sucks. The executive branch, in particular the president, is too powerful for a country to be deemed democratic.