Kubwajinga
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,194
- 297
- Mkuu wewe umeenda shule kama unavyodai, sasa anza na kumsema mbunge anayefaa sana ndio umlinganishe na Mama Super K hivi bunge la Tanzania mbunge ni Mama Kilango peke yake ndio maana ninasema unachekesha sana,
- Kama ni ushauri alioutoa ni ushauri tu ambao hata na wewe unaweza kuutoa, lakini haina maana wako ni better kuliko wake unless uwe umefanyiwa kazi somewhere na ikathibitishwa kwa scientific facts kwamba ndio umelisaidia lile taifa kusogea mbele kimaendeleo, sasa ningekuomba again uweke ushauri wako wa namna ya kutafuta mawaziri halafu uonyeshe scientific facts kwamba umewahi kuisaidia taifa gani duniani kusonga mbele,
- Halafu unaongea pumba sana hivi ni mwanasiasa gani wa dunia ya leo asiyetumia media kujiweka sawa na wananchi? Unasema Mwalimu alikuwa ananyamaza kimyaaa tu halafu anakubalika na wananchi? Hivi shule uliyosoma na kupata hiyo PhD ni wapi mkuu?
- Yaaani nasikia shida sana hata kulumbana na wewe maana ni waste of time, huna hoja period, watu walioenda shule wanapotaka kuonyesha mbunge mmoja hafai wanatumia mbunge mwingine anayeafaa kuonyesha hoja yao, sasa wewe kila kukicha hapa ni kushupalia huyu mama, sasa tuonyeshe wabunge wengine wanaofaa na waliayoyafanya hapa tuyaone, mkuu hiyo shule waliyokupa PhD wamekuibia waambie wakurudishie hela zako!
es!
FMES,
Tatizo lako ni hili la kuwa na mahusiano ya karibu kama sio ya kindugu na hawa wanasiasa mchwara. Tuachane na kuwatetea kwa vile tunafaida katika teteze zetu bali tuangalie wanayofanya na kunena kama yana nia ya kweli ya kuisaidia nchi.
Kama unakumbuka tulishabishana sana nilipokuambia kuwa kijana waziri Masha ni fisadi lakini ukamtetea sana na sijui kama leo hii unaweza kuendelea kufanya hivyo.
Wapo watanzania wachache tunaowafahamu viongozi wetu wanapojaribu kudanganya au kuuburuza umma kwa kutumia vyombo vya habari kwa maslahi yao binafsi. Hatuna budi kuwaumbua maana hatuwezi kuondoa the likes of Lowassa na kufikiria the Malecelas are different.
We need to get rid of these pretenders if we are to have a real change.
My psychoanalysis tell me that Mama Malecela Kilango was only interested in getting media attention and at the same time inject herself indirectly in the side of the Warioba, Salim, Nnauye etc. She is just a populist and unfortunately academically challenged. We need to stop this behaviour.
She might be less harmful than say RA, but she is not what she want to be seen, mpiganaji wa walalahoi.