Wanitakiani
JF-Expert Member
- Apr 18, 2008
- 641
- 135
Mwigulu tupe raha wana CCM tena kama ulivyo wabutua wale mgambo Igunga wakatoka Igunga kimya kimya na safari hii fanya vile vile!
Halahala wenye wake zenu macho juu mkae chonjo!!!
Mwigulu tupe raha wana CCM tena kama ulivyo wabutua wale mgambo Igunga wakatoka Igunga kimya kimya na safari hii fanya vile vile!
Heading ya Magazeti siku moja Baada ya Uchaguzi jimbo la Kigoma Kusini:
1.CCM yaibuka Kidedea tena Kigoma kusini
2.Chadema Kuandamana Nchi nzima kupinga Matokeo ya Uchaguzi mdogo Kigoma Kusini
3.Dr Slaa aionya NEC,asema taratibu zimekiukwa Uchaguzi mdogo Kigoma Kusini
4. CCM watumia Bilioni 3 Uchaguzi mdogo kigoma Kusini,Mbowe,Slaa wamtupia lawama Zitto wasema Mchango wake kuipigania Chadema ulikua mdogo
5.CCM haikamatiki yarudisha jimbo la Kigoma Kusini
6. Dr Slaa alalama asema Kulikua na Uchakachuaji mkubwa jimbo la Kigoma Kusini,Kamati Kuu ya CDM kukutana wiki ijayo kutangaza maandamano Nchi nzima bila kikomo!
Mlimponza aende NCCR kwa kisingizio cha demokrasia ndani ya CDM, mmefanya apoteze ubunge kwa tamaa na mbinu zenu za kijinga, bado mnaendelea kumfuata kumdanganya tena, Kafulila ndugu yangu this time changanya na zako hii Zittos' group hatari achana nayo, ni hawa hawa walimponza Machage hadi akaenguliwa uchaguzi wa m/kiti Bavicha.yaani kafulila aombe radhi CDM kwa sababu alisema ukweli? acheni kutisha watu bwana.......kusimamia haki Tanzania ni kazi sana si CCM si upinzani!
Sio lazima kafulila arudi chadema, kumbuka alivyoondoka kwa dharau na kiburi, mi napendekeza kafulila kama anaipenda chadema kweli aombe radhi cdm na cdm isimpe nafasi yoyote ya uongozi kwa sasa, impe nafasi ya kuwa mwanachama tu.
Kafulila toka amekuwa mbunge umaarufu wake jimboni umekuwa ukiporomoka kwa kasi sana kwani muda wote alikuwa akipanga mikakati yao na zitto, nimeongea na wafanyabiashara wengi tu wanao tokeo jimboni kwake na walinieleza kuwa kafulila amewabadilikia.
Pia cdm ina hazina kubwa ya watu wenye uwezo wakutosha kugombea huo ubunge na sio lazima tumtumie huyo kafulila au huyo mgombea wa mwaka jana, kwanza kwa kufanya hivyo tutakuwa tunampa kichwa zaidi na hakika hataacha tabia zake uasi, bila kupata adhabu kidogo hatojifunza.
Mwigulu tupe raha wana CCM tena kama ulivyo wabutua wale mgambo Igunga wakatoka Igunga kimya kimya na safari hii fanya vile vile!
Mwigulu na Lusinde nao majembe?
Ajabu ya kufunga mwaka hii
Mkuu ni vizuri sana mkatofautisha uongozi ndani ya chama na mbunge mwakilishi wa wananchi wa jimbo lake. Kafulila anaweza kuwa mwanachama wa CDM lakini sio lazima awe kiongozi wa chama na swala hili linatakiwa sana kutazamwa upya ndani ya vyama vyote vya Upinzani maana inaonyesha wazi vyama hivi pasipo kuwatumia viongozi wa chama kugombea majimbo basi chama hakina watu. Mbona CCM sekretaiet yake karibu yote hawana mamlaka ndani ya serikali.?...Mambo yote haya ni tamaa ya madaraka, ubinafsi na ukosefu wa akili. Niliwahi kuandika kwamba Kafulila anasumbuliwa na utoto au siasa za makundi, Zitto ni mwana CDM mwenzangu, kijana na ninampenda sana, ila amemponza Kafulila tangia akiwa CDM, Tabia za kutokufuata katiba na taratibu za chama si uungwana. Mbinu hawa jamaa wanazofanya za kulazimisha mtandao wa kisiasa kwa ndoto za kuingia Ikulu zitawagharimu wote.
Demokrasia inamruhusu Kafulila kujiunga na chama chochote cha siasa. Angalizo kama Kafulila alishindwa kuelewana na viongozi wa CDM akiwa afisa mdogo wa chama kweli kunauelewano akiwa mbunge kupitia CDM? Nakubali ajiunge na CDM ila wasimpitishe kuwa mgombea wa Ubunge kupitia CDM kwani chama kinamjua na tabia zake hawezi badilika, muda wa migogoro hakuna tena wananchi wanataka kazi. Zito wewe ulimponza kafulila sasa imekula kwake mshauri na mweleze kupanda ngazi inahitaji uvumilivu, huwezi kupiga ncha ya mkuki konzi. Chama makini kinajengwa na watu makini.
No Kafulila kugombea Ubunge kupitia CDM. Hatutaki migogoro na waroho wa madaraka.
Wasira kama kawa.Kama Igunga, hapo CCM ipeleke majembe yake yote, Mwigulu, Nape, January na Lusinde aka kibajaji, jimbo linakwenda CCM.
Unataka kugombea wewe??? Hakuna mwnye hati miliki CDM kila mtu anayepinga Ufisadi anafaa kuungwa mkono ilimuladi hatumiwi na CCMMambo yote haya ni tamaa ya madaraka, ubinafsi na ukosefu wa akili. Niliwahi kuandika kwamba Kafulila anasumbuliwa na utoto au siasa za makundi, Zitto ni mwana CDM mwenzangu, kijana na ninampenda sana, ila amemponza Kafulila tangia akiwa CDM, Tabia za kutokufuata katiba na taratibu za chama si uungwana. Mbinu hawa jamaa wanazofanya za kulazimisha mtandao wa kisiasa kwa ndoto za kuingia Ikulu zitawagharimu wote.
Demokrasia inamruhusu Kafulila kujiunga na chama chochote cha siasa. Angalizo kama Kafulila alishindwa kuelewana na viongozi wa CDM akiwa afisa mdogo wa chama kweli kunauelewano akiwa mbunge kupitia CDM? Nakubali ajiunge na CDM ila wasimpitishe kuwa mgombea wa Ubunge kupitia CDM kwani chama kinamjua na tabia zake hawezi badilika, muda wa migogoro hakuna tena wananchi wanataka kazi. Zito wewe ulimponza kafulila sasa imekula kwake mshauri na mweleze kupanda ngazi inahitaji uvumilivu, huwezi kupiga ncha ya mkuki konzi. Chama makini kinajengwa na watu makini.
No Kafulila kugombea Ubunge kupitia CDM. Hatutaki migogoro na waroho wa madaraka.
Hahahahahahaha...................Asante mkuumkuu kwanza habari ya jela, pili umeongea jambo la mbolea hapa