Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Mufindi Kusini: Wajumbe wamchangia Fomu ya Urais mwaka 2025 Rais Samia Suluhu Hassan

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,899
944

MKUTANO MKUU WA CCM JIMBO LA MUFINDI KUSINI

UWASILISHAJI WA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI (CCM) 2020 - 2023

GBfihgXWkAAxl4n.jpg
Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini na Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Mwakiposa Kihenzile tarehe 16 Disemba, 2023 Amewasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi (CCM) mbele ya mgeni rasmi ambaye alikuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Idara ya Oganaizesheni Ndugu Issa Gavu.

Mbunge wa Mufindi Kusini ambeye pia ni Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amekabidhi kontena lenye shehene yenye vifaa mbalimbali vya Hospitali ya Wilaya ya Mufindi vyenye thamani ya Tsh. bilioni 1.8 December 16,2023, vifaa hivyo ni misaada aliyoitafuta yeye mwenyewe kutoka nje ya Nchi.

Mhe. Kihenzile amegawa pia baiskeli kwa Watu wenye mahitaji maalumu katika Jimbo la Mufindi kusini na mitungi ya gesi kwa vikundi vya Mama lishe, mashine ya uzalishaji wa vifaranga zenye thamani ya Tsh. milioni 10, mashine ya kufyetulia matofali yenye thamani ya milioni 15 na amekabidhi pia vyerehani 10 vya kushonea kwa vikundi vya Wanawake pamoja na pikipiki 16 kwa kila Katibu Kata wa Chama Cha Mapinduzi katika Jimbo la Mufindi Kusini.

WhatsApp Image 2023-12-16 at 5.05.22 PM (1).jpeg

Vifaa hivyo vimekabidhiwa kwa Wahusika na Mgeni rasmi kwenye hafla ya uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020-2023 Issa Gavu, katika Mkutano Mkuu wa Jimbo la Mufindi kusini uliofanyika katika viwanja vya Mbalamaziwa, vifaa hivyo vimewasili nchini wiki hii kutoka nje ya Nchi.

Katika hatua nyingine Wajumbe wa Mufindi kusini wamemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumteua Mbunge wao huyo kuwa Naibu Waziri wa Uchukuzi na wamemshukuru Rais pia kwa kuidhinisha fedha za miradi mbalimbali ambayo inatekelezwa katika jimbo la Mufindi Kusini.

WhatsApp Image 2023-12-16 at 5.05.21 PM.jpeg

Katika hatua nyingine, Wajumbe wa Mkutano Mkuu maalum mbele ya Mgeni Rasmi Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Ndg. Issa Gavu wameadhimia kwa kauli Moja kumchangia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Fomu ya kugombea Urais Mwaka 2025 - 2030.

Aidha, Mjumbe wa halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndg. Issa Gavu amepokea Michango ya kila mjumbe na kila kata katika jimbo la Mufindi Kusini na kukamilisha Jumla ya Tsh. Milioni mbili laki mbili arobaini na Saba mia saba hamsini, (Tsh 2,247,750) za kumchukulia Fomu Ndg . Samia Suluhu Hassan Mgombea Urais 2025 - 2030 kupitia tiketi ya CCM.
 
Attachments

  • GBfihgWW8AAAIEs.jpg
    GBfihgWW8AAAIEs.jpg
    93.2 KB · Views: 3
  • GBfihgVXIAE8NPn.jpg
    GBfihgVXIAE8NPn.jpg
    50.6 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-12-16 at 5.05.22 PM.jpeg
    WhatsApp Image 2023-12-16 at 5.05.22 PM.jpeg
    38.2 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-12-16 at 5.05.23 PM (1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-12-16 at 5.05.23 PM (1).jpeg
    46.6 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-12-16 at 5.05.25 PM.jpeg
    WhatsApp Image 2023-12-16 at 5.05.25 PM.jpeg
    52.5 KB · Views: 3
  • WhatsApp Image 2023-12-16 at 5.05.26 PM.jpeg
    WhatsApp Image 2023-12-16 at 5.05.26 PM.jpeg
    59.1 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-12-16 at 5.05.27 PM (1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-12-16 at 5.05.27 PM (1).jpeg
    52.3 KB · Views: 2

MKUTANO MKUU WA CCM JIMBO LA MUFINDI KUSINI

UWASILISHAJI WA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI (CCM) 2020 - 2023

View attachment 2845167
Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini na Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Mwakiposa Kihenzile tarehe 16 Disemba, 2023 Amewasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi (CCM) mbele ya mgeni rasmi ambaye alikuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Idara ya Oganaizesheni Ndugu Issa Gavu.

Mbunge wa Mufindi Kusini ambeye pia ni Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amekabidhi kontena lenye shehene yenye vifaa mbalimbali vya Hospitali ya Wilaya ya Mufindi vyenye thamani ya Tsh. bilioni 1.8 December 16,2023, vifaa hivyo ni misaada aliyoitafuta yeye mwenyewe kutoka nje ya Nchi.

Mhe. Kihenzile amegawa pia baiskeli kwa Watu wenye mahitaji maalumu katika Jimbo la Mufindi kusini na mitungi ya gesi kwa vikundi vya Mama lishe, mashine ya uzalishaji wa vifaranga zenye thamani ya Tsh. milioni 10, mashine ya kufyetulia matofali yenye thamani ya milioni 15 na amekabidhi pia vyerehani 10 vya kushonea kwa vikundi vya Wanawake pamoja na pikipiki 16 kwa kila Katibu Kata wa Chama Cha Mapinduzi katika Jimbo la Mufindi Kusini.

Vifaa hivyo vimekabidhiwa kwa Wahusika na Mgeni rasmi kwenye hafla ya uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020-2023 Issa Gavu, katika Mkutano Mkuu wa Jimbo la Mufindi kusini uliofanyika katika viwanja vya Mbalamaziwa, vifaa hivyo vimewasili nchini wiki hii kutoka nje ya Nchi.

Katika hatua nyingine Wajumbe wa Mufindi kusini wamemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumteua Mbunge wao huyo kuwa Naibu Waziri wa Uchukuzi na wamemshukuru Rais pia kwa kuidhinisha fedha za miradi mbalimbali ambayo inatekelezwa katika jimbo la Mufindi Kusini.

Katika hatua nyingine, Wajumbe wa Mkutano Mkuu maalum mbele ya Mgeni Rasmi Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Ndg. Issa Gavu wameadhimia kwa kauli Moja kumchangia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Fomu ya kugombea Urais Mwaka 2025 - 2030.

Aidha, Mjumbe wa halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndg. Issa Gavu amepokea Michango ya kila mjumbe na kila kata katika jimbo la Mufindi Kusini na kukamilisha Jumla ya Tsh. Milioni mbili laki mbili arobaini na Saba mia saba hamsini, (Tsh 2,247,750) za kumchukulia Fomu Ndg . Samia Suluhu Hassan Mgombea Urais 2025 - 2030 kupitia tiketi ya CCM.
Umemfunga mtu kamba mikononi na miguuni halafu bado unatetemeka kwa hofu! Kweli CHADEMA inaitisha CCM!
 
John Magufuli mpaka alipokata moto tulikuwa tunauliza,"Is he the saviour or should we wait for another?"
Kwa hiyo sisi ni watazamaji tu. Hatuna sababu ya kuamini au kutoamini kwamba Samia Suluhu atakuwa rais 2025.
 
Alafu kuna watu wanasema eti Samia hatogombea? Huko CCM siasa ni za kujikomba tu utasikia "atake asitake tutampelekea fomu". Na hiyo 2025 fomu itachapishwa moja tu.

CCM hakuna demokrasia
 
Samia kuna uwezekano mkubwa akawa siyo mgombea. 2025 bado mbali sana, Mungu anaweza kufanya yake.
 
MKUTANO MKUU WA CCM JIMBO LA MUFINDI KUSINI

UWASILISHAJI WA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI (CCM) 2020 - 2023

View attachment 2845167
Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini na Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Mwakiposa Kihenzile tarehe 16 Disemba, 2023 Amewasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi (CCM) mbele ya mgeni rasmi ambaye alikuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Idara ya Oganaizesheni Ndugu Issa Gavu.

Mbunge wa Mufindi Kusini ambeye pia ni Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amekabidhi kontena lenye shehene yenye vifaa mbalimbali vya Hospitali ya Wilaya ya Mufindi vyenye thamani ya Tsh. bilioni 1.8 December 16,2023, vifaa hivyo ni misaada aliyoitafuta yeye mwenyewe kutoka nje ya Nchi.

Mhe. Kihenzile amegawa pia baiskeli kwa Watu wenye mahitaji maalumu katika Jimbo la Mufindi kusini na mitungi ya gesi kwa vikundi vya Mama lishe, mashine ya uzalishaji wa vifaranga zenye thamani ya Tsh. milioni 10, mashine ya kufyetulia matofali yenye thamani ya milioni 15 na amekabidhi pia vyerehani 10 vya kushonea kwa vikundi vya Wanawake pamoja na pikipiki 16 kwa kila Katibu Kata wa Chama Cha Mapinduzi katika Jimbo la Mufindi Kusini.

Vifaa hivyo vimekabidhiwa kwa Wahusika na Mgeni rasmi kwenye hafla ya uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020-2023 Issa Gavu, katika Mkutano Mkuu wa Jimbo la Mufindi kusini uliofanyika katika viwanja vya Mbalamaziwa, vifaa hivyo vimewasili nchini wiki hii kutoka nje ya Nchi.

Katika hatua nyingine Wajumbe wa Mufindi kusini wamemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumteua Mbunge wao huyo kuwa Naibu Waziri wa Uchukuzi na wamemshukuru Rais pia kwa kuidhinisha fedha za miradi mbalimbali ambayo inatekelezwa katika jimbo la Mufindi Kusini.

Katika hatua nyingine, Wajumbe wa Mkutano Mkuu maalum mbele ya Mgeni Rasmi Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Ndg. Issa Gavu wameadhimia kwa kauli Moja kumchangia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Fomu ya kugombea Urais Mwaka 2025 - 2030.

Aidha, Mjumbe wa halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndg. Issa Gavu amepokea Michango ya kila mjumbe na kila kata katika jimbo la Mufindi Kusini na kukamilisha Jumla ya Tsh. Milioni mbili laki mbili arobaini na Saba mia saba hamsini, (Tsh 2,247,750) za kumchukulia Fomu Ndg . Samia Suluhu Hassan Mgombea Urais 2025 - 2030 kupitia tiketi ya CCM.
Hii sasa sijui , ila twende yani uchachuzi ni 2025 October huko, leo mnaanza ,kwani yupo na uhakika kama uchaguzi utafanyika?
 
Wana maono ya mbali sana hawa wana Mufindi Kusini...

Kidumu Chama Cha Mapinduzi
 
Back
Top Bottom