Tudokeze kidogoHa ha ha ha
nimecheka sana kwa kuunga na tukio liliwahi nipata?!!!
Kwa sasa, no comment.
inatokeaga mana hata mim kuna siku nilisalimiwa 'mambo' nkakaa kimya sikujua cha kujibu wakati kila siku nasalimiana na watu hiyo salamujaman jaman jaman kama mtu hujui lugha usidandiedandie maneno. Jamaa kaenda kwenye birthday ya rafik yake. Alipofika akamwambia happy birthday! Badala ya kusema thank you akamwambia And You Too!
Mtu akikwambia i love you nawe humpendi usiseme and you too wala the same to you
We piga i love youtube
Hii kitu huwa inatokea sana jaman,
Mie juzi nimevunja watu mbavu,
Nilipishana na mama mmoja nilikuwa nimetingwa na mawazo cm ilijiblock,
Hata sikumuona yule mama pemben kulikuwa na watoto wanacheza,mama wa watu akaisalimia hujambo binti,
Wala sikuelewa nikamjibu marahaba na kuendelea na safari yangu hata sijui alinielewaje coz nilikuja kustuka badae sn lol!
Some time sio kutokujua na mawazo pia.
Dah!kumbe tuko wengi!!hata mimi ishanitokea sana kuitikia marahaba za wakubwa
hahahaha learned we ni balaa "i love you tube"??? Hahaha