Wimbo gani wa 'Happy birthday' unaukubali zaidi?

KENGE 01

JF-Expert Member
Mar 12, 2021
1,592
3,839
Na kenge,

Ni kawaida wasanii kutunga nyimbo,tungo na shairi kuhusu siku ya kuzaliwa 'Happy birthday'
.:
Kwakuwa siku hii ni moja tu maishani na watu husherekea kwa furaha siku hii adhimu ya kuzaliwa.
.
.
Baadhi ya nyimbo kali za muda wote kuhusu happy birthday ni:
:
1.Solid Ground Family-Happy birthday.

Kundi linaundwa na jamaa watatu walikuja na mkwaju mkali sana wa HBD baada ya hapo sijui walipotelea wapi miaka ya nyuma.
download.jpeg

2.Harmonize-Happy bithday.

Wengine wanaita Jeshi,wengine konde boy,Wengine Rajabu yote yake.Mwamba hakuwa nyuma.Wakati anatoka na Wolper alimuimbia nyimbo nzuri sana ya happy Birthday.Na siku ya kuzaliwa ya mlimbwende huyo ilipofika alimuimbia live huku sherehe ikiuzuliwa na watu wake wa karibu kipindi hicho kama Diamond na Rayvanny.Konde alikamata hisia za watu kwa tungo na mziki mzuri.Hakika mkwaju ule ni mzuri.
download (2).jpeg

3.Ommy Dimpoz - Happy Birthday

Mwamba huyu poz kwa poz PKP nani asiemjua kwa mikwaju yake mikali toka enzi za nainai,wanjera au Me&you aliyomshirikisha Vanessa Mdee na kupelekea vanessa akubalike.Akahamia Rockstar chini ya mwanadada Seven lebo iyo alikuwepo Alikiba wakatoa mkwaju wa Kajiandae ambao nao ulitikisa sana.Sasa Ommy Dimpoz akaja na Album yake ya Dedication hivi karibuni ambapo kuna mkwaju wa Happy Birthday mzuri sana
download (5).jpeg

4.Rayvanny-Happy Birthday.

Mnyakyusa huyu mwenye kipaji cha pekee maarufu kama Chui.Alikuja na mkwaju wake wa 'Happy birthday' hakika ni wimbo mzuri sana.

Wengine.
•Neema Loi-heri ya kuzaliwa
•Sholo mwamba-Happy birthday
•Iddy Mavoice-Happy Birthday

Kwako ni wimbo gani wa HAPPY BITHDAY Unaukubali zaidi?
 
Na kenge,

Ni kawaida wasanii kutunga nyimbo,tungo na shairi kuhusu siku ya kuzaliwa 'Happy birthday'
.:
Kwakuwa siku hii ni moja tu maishani na watu husherekea kwa furaha siku hii adhimu ya kuzaliwa.
.
.
Baadhi ya nyimbo kali za muda wote kuhusu happy birthday ni:
:
1.Solid Ground Family-Happy birthday.

Kundi linaundwa na jamaa watatu walikuja na mkwaju mkali sana wa HBD baada ya hapo sijui walipotelea wapi miaka ya nyuma.
View attachment 2653720

View attachment 2653746

View attachment 2653724

Namba 1 ni funga kazi..."Solid ground family"
 
Maarifa - happy birthday

Young killer - happy birthday

Zote hizo mbili nazikubali

Back
Top Bottom