And you too!

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
jaman jaman jaman kama mtu hujui lugha usidandiedandie maneno. Jamaa kaenda kwenye birthday ya rafik yake. Alipofika akamwambia happy birthday! Badala ya kusema thank you akamwambia And You Too!
 
Wengine c kutokujua its just that tume crame once u'r given a wish you respond "same to you". Kumbe zingine hazi apply!
 
Ha ha ha ha
nimecheka sana kwa kuunga na tukio liliwahi nipata?!!!

Kwa sasa, no comment.
 
Saa nyingine inatokea mtu unaongea kitu kabla hakija maliza kuprocess kwenye akili,mtu anakwambia hujambo unajibu aksante inatokeaga.
 
Mtu akikwambia i love you nawe humpendi usiseme ‘and you too‘ wala ‘the same to you‘

We piga ‘ i love youtube‘
 
jaman jaman jaman kama mtu hujui lugha usidandiedandie maneno. Jamaa kaenda kwenye birthday ya rafik yake. Alipofika akamwambia happy birthday! Badala ya kusema thank you akamwambia And You Too!
inatokeaga mana hata mim kuna siku nilisalimiwa 'mambo' nkakaa kimya sikujua cha kujibu wakati kila siku nasalimiana na watu hiyo salamu
 
Hii kitu huwa inatokea sana jaman,
Mie juzi nimevunja watu mbavu,
Nilipishana na mama mmoja nilikuwa nimetingwa na mawazo cm ilijiblock,
Hata sikumuona yule mama pemben kulikuwa na watoto wanacheza,mama wa watu akaisalimia hujambo binti,
Wala sikuelewa nikamjibu marahaba na kuendelea na safari yangu hata sijui alinielewaje coz nilikuja kustuka badae sn lol!
Some time sio kutokujua na mawazo pia.
 
hata mimi ishanitokea sana kuitikia marahaba za wakubwa
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom