Anataka awe nyumba ndogo yangu; nifanyeje?

Ikitokea mimba ikaingia nitafanyaje?
Bro, naomba ukumbuke huyo ni mke wa mtu,,,sio take away.....kuwa makini sana.....utashughulikiwa kaka....kama ni small hse mbona warembo wako kibao tena available........kumbuka UKIMWI upo na UNAKILL....
 
dah! nimependa sana comment yako, wewe una hekima sana, Mungu akubariki! nime-like sana!
Yaani nyie waume wa ndoa???? Nachotaka kusema kimeshaandikwa sana huku jf itakuwa marudio ila kwa kukusaidia nakukumbusha tuu. Mke wa mtu sumu kaachinjo. Kama umefanikiwa kumgegeda hiyo siku tena kwake bila kubambwa iko siku mtakamatwa na kabla hujatolewa uhai itakuwa aibu kwako, kwa mkeo na watoto na ndugu zako. Acha kulewa na mahaba ya masaa kadhaa hayana tofauti na anayokupa mkeo, pia usikubali kuwa baba huruma, unamhurumia huyo kwa kupigwa na mumewe mkorofi kwani hakumjua kabla hawajaoana? Tosheka na mkeo anaweza kuwa anao wengine kibao kama wewe anawapanga siku ukijastuka ushaukwaa na mkeo ushamuambukiza, shaurilo.
Umewahi kuwaza kuwa unapokuwa katikati ya kumdinya mwanamke mwingine mkeo nae huko aliko anamkatia mtu kiuno??? Fikiri unachomfanyia mtu ukifanyiwa utatabasamu, utacheka , utalia, utapigana au utaua mtu kabisa.
Mwambie huyo mwanamke atafute mtu mwingine ambae si mume wa mtu an aachane na wewe, mgegede mkeo tuu!!!
 
Bro, naomba ukumbuke huyo ni mke wa mtu,,,sio take away.....kuwa makini sana.....utashughulikiwa kaka....kama ni small hse mbona warembo wako kibao tena available........kumbuka UKIMWI upo na UNAKILL....

Alishaachana na mume wake nielewe.
Pili hao walembo wengine nakubali wapo, je yeye sio mrembo? Unataka nimwachie nani tunda hilo la ukweli? Ukimwi najua upo na na unaua; kupima kunasaidia sana kujua afya ndo maana sikukurupuka kabla ya kujua afya ya mrembo huyo.
 
Mimba zingine ni kwa bahati mbaya; zingine ni kwa bahati nzuri. Ndo maana kuna kitu kinaitwa mimba zisizotarajiwa.
hahahah hakuna kitu kama hich mimba zote tarajiwa wewe unacheza rafu alafu unaogopa nyekundu???
cha kukushauri mapenzi yenu yashafika mbali itafikia kipindi kuachana iatakuwa kazi bora umuache sasa wakati bado unaweza unless otherwise umepanga awe mke wa 2 na dini na mila zinakuruhusu
 
Dini na mila weka pembeni....
Serikali ya m2 ni kichwa chake .... ndo maana nawatumieni nyie kunipa mawazo ya kuijenga serikali yangu ndani ya kichwa.
Rais wa m2 ni pesa yake ....
 
Dini na mila weka pembeni....
Serikali ya m2 ni kichwa chake .... ndo maana nawatumieni nyie kunipa mawazo ya kuijenga serikali yangu ndani ya kichwa.
Rais wa m2 ni pesa yake ....
ndio nakushauri mkuu achana nae kama hawezi kuwa mke wako wa 2 au unatanka uitunze ndoa yako,mshika ma2 moja humponyoka
 
ndio nakushauri mkuu achana nae kama hawezi kuwa mke wako wa 2 au unatanka uitunze ndoa yako,mshika ma2 moja humponyoka

Nimekupata kiongozi; nashukuru kwa kuutumia mda wako kunishauri mema; ila mkuu niombee niweze kulishinda hilo jaribu.
 
Alishaachana na mume wake nielewe.
Pili hao walembo wengine nakubali wapo, je yeye sio mrembo? Unataka nimwachie nani tunda hilo la ukweli? Ukimwi najua upo na na unaua; kupima kunasaidia sana kujua afya ndo maana sikukurupuka kabla ya kujua afya ya mrembo huyo.

divorce note umeiona?
 
Mhaya na mangumi wapi na wapi? Mi mwili wangu ni wa kazi na mapenzi, bas
hahahahahah!
943573_10151571061608794_1900669788_n.jpg
 
tatizo utekelezaji hapo mmh sisi wanaume tunajijua wenyewe,haya kila la kheri!!!

Kama wote walonishauri nisiendelee na huyo mrembo wanatenda sawa na walivyonishauri; bas ulimwengu unaelekea kubadilika. Lakini wasiwasi wangu ni kwamba theory ni raisi kuliko practical; siamini hata wewe Mndengereko kama ni mkamilifu kiasi hicho - na ndo maana umefika hatua ukasema SISI WANAUME TUNAJIJUA WENYEWE.
Hata wanawake wanajijua wenyewe na mambo yao ya kubeba waume za watu na vijana wadogowadogo.
Hakika kila m2 atateba mzigo wake mwenyewe.
Ila nikwambie kitu rafiki yangu ......
Binafsi nikitenda jambo ambalo nafsi yangu inanisuta, nikilitoa kwa rafiki yangu wa karibu na kulijadidi; kuna namna fulani ya kujisikia kama mzigo wa wazo hilo umepungua. Na hapa JF nawadhamini sana kama marafiki zangu wa karibu sana - ndo maana zigo hili nimelitua kwenu ili mlijadili na kunishauri.
NAWASHUKURUNI SANA WOTE MLOCHANGIA KATIKA MADA HII NA NINAAMINI MAWAZO YENU NITAYAFANYIA KAZI.
 
hahahahahahahaha,,, jamaa unanifurahisha sana....utamu eehh....jaribu kufuatilia bro....uwe huru,,

Nilishaongea na mmoja wa dada zake huyo mrembo akanieleza vilevile kama mdogo wake alivyonieleza. Lakini si unajua tena ndoa za kiswahili zisizokuwa na documentation yoyote?
 
Nilishaongea na mmoja wa dada zake huyo mrembo akanieleza vilevile kama mdogo wake alivyonieleza. Lakini si unajua tena ndoa za kiswahili zisizokuwa na documentation yoyote?
poa kaka,,, ila umpende mkeo,,,, huyo ndo tunu yako......
 
poa kaka,,, ila umpende mkeo,,,, huyo ndo tunu yako......

Nampenda sana ndo maana niko naye kwa zaidi ya miaka 15; kanizalia watoto wazuri, dume na jike; tunaishi kwa amani bila mgogoro.
Angalizo toka kwenye biblia ni kwamba TUISHI NA WAKE ZETU KWA AKILI SANA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom