Anataka awe nyumba ndogo yangu; nifanyeje?

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,025
6,554
Wapendwa habari za majukumu ya kulijenga taifa;
Nikiwa katika pitapita zangu miezi mitatu iliyopita; nikikutana na mwanadada mrembo; nikawa nimekaa naye meza moja. Katika kuongea ongea akanipa historia ya maisha yake. Kikubwa ni kwamba aliolewa lakini tabia ya mume wake kumpa kichapo mara kwa mara aliamua kuomba uamisho kazini na kuhama toka kwenye mji anapoishi mume wake.
Kwa kuwa tuliendelea kuwa na mawasiliano; siku moja akanikaribisha nyumbani kwake; nikakuta amejiandaa kisawasawa; mambo ya kikubwa yakaendelea, jioni nikatoka naye out; haikuishia hapo tukaendelea kama wapenzi. Majuzi ananambia eti anataka anizalie mtoto na anitambulishe hadi kwa ndugu zake.
Nashindwa kumpa ok kwa kuwa mi tayari nina mke; na mume wake bado anambembeleza warudiane. Yeye anadai awezi kurudiana na huyo mwanaume kwa sababu ni mkorofi na anamdunda mara kwa mara; mtoto wa watu ana makovu hadi namuonea huruma. Naomba ushauri wako we unayesoma hii habari.
 
Yaani nyie waume wa ndoa???? Nachotaka kusema kimeshaandikwa sana huku jf itakuwa marudio ila kwa kukusaidia nakukumbusha tuu. Mke wa mtu sumu kaachinjo. Kama umefanikiwa kumgegeda hiyo siku tena kwake bila kubambwa iko siku mtakamatwa na kabla hujatolewa uhai itakuwa aibu kwako, kwa mkeo na watoto na ndugu zako. Acha kulewa na mahaba ya masaa kadhaa hayana tofauti na anayokupa mkeo, pia usikubali kuwa baba huruma, unamhurumia huyo kwa kupigwa na mumewe mkorofi kwani hakumjua kabla hawajaoana? Tosheka na mkeo anaweza kuwa anao wengine kibao kama wewe anawapanga siku ukijastuka ushaukwaa na mkeo ushamuambukiza, shaurilo.
Umewahi kuwaza kuwa unapokuwa katikati ya kumdinya mwanamke mwingine mkeo nae huko aliko anamkatia mtu kiuno??? Fikiri unachomfanyia mtu ukifanyiwa utatabasamu, utacheka , utalia, utapigana au utaua mtu kabisa.
Mwambie huyo mwanamke atafute mtu mwingine ambae si mume wa mtu an aachane na wewe, mgegede mkeo tuu!!!
 
Ukifuata moyo wako ndo utakuwa sahihi. Ila ukikubali kuzaa naye na wewe mkeo atazaa na jamaa mwingine ili muwe sawa. Kwa kwa sasa mkeo naye anagawa nje bado tu kuomba kuzaa nje. Lazima muwe ngoma droo na mkeo.
Mwanamke akizaa nje si ataleta mtoto na kunambia ni wa kwangu? Hilo la mke wangu kuzaa nje sijakupata vizuri mkuu.
 
Ushauri upi tena ndugu yangu wakati tayari una mke
Tunza ndoa yako achana na ndoa za wenzako

Kwa hiyo nichomoe kiaina eh! Huyo mdada anaonesha kunipenda sana; nikimuacha naona kama nitakuwa sijamtendea haki. Ameishanitambulisha kwa marafiki zake wengi kwamba mi ni mtarajiwa wake.
 
Wapendwa habari za majukumu ya kulijenga taifa;
Nikiwa katika pitapita zangu miezi mitatu iliyopita; nikikutana na mwanadada mrembo; nikawa nimekaa naye meza moja. Katika kuongea ongea akanipa historia ya maisha yake. Kikubwa ni kwamba aliolewa lakini tabia ya mume wake kumpa kichapo mara kwa mara aliamua kuomba uamisho kazini na kuhama toka kwenye mji anapoishi mume wake.
Kwa kuwa tuliendelea kuwa na mawasiliano; siku moja akanikaribisha nyumbani kwake; nikakuta amejiandaa kisawasawa; mambo ya kikubwa yakaendelea, jioni nikatoka naye out; haikuishia hapo tukaendelea kama wapenzi. Majuzi ananambia eti anataka anizalie mtoto na anitambulishe hadi kwa ndugu zake.
Nashindwa kumpa ok kwa kuwa mi tayari nina mke; na mume wake bado anambembeleza warudiane. Yeye anadai awezi kurudiana na huyo mwanaume kwa sababu ni mkorofi na anamdunda mara kwa mara; mtoto wa watu ana makovu hadi namuonea huruma. Naomba ushauri wako we unayesoma hii habari.

Shauri yako ..... maamuzi yeyote utakayofanya usimuumize mkeo!!!!
 
Yaani nyie waume wa ndoa???? Nachotaka kusema kimeshaandikwa sana huku jf itakuwa marudio ila kwa kukusaidia nakukumbusha tuu. Mke wa mtu sumu kaachinjo. Kama umefanikiwa kumgegeda hiyo siku tena kwake bila kubambwa iko siku mtakamatwa na kabla hujatolewa uhai itakuwa aibu kwako, kwa mkeo na watoto na ndugu zako. Acha kulewa na mahaba ya masaa kadhaa hayana tofauti na anayokupa mkeo, pia usikubali kuwa baba huruma, unamhurumia huyo kwa kupigwa na mumewe mkorofi kwani hakumjua kabla hawajaoana? Tosheka na mkeo anaweza kuwa anao wengine kibao kama wewe anawapanga siku ukijastuka ushaukwaa na mkeo ushamuambukiza, shaurilo.
Umewahi kuwaza kuwa unapokuwa katikati ya kumdinya mwanamke mwingine mkeo nae huko aliko anamkatia mtu kiuno??? Fikiri unachomfanyia mtu ukifanyiwa utatabasamu, utacheka , utalia, utapigana au utaua mtu kabisa.
Mwambie huyo mwanamke atafute mtu mwingine ambae si mume wa mtu an aachane na wewe, mgegede mkeo tuu!!!

Nimekupata ila inahitaji roho ngumu kukatisha penzi kwa m2 ambaye hajakukorofisha, si m2 tegemezi kwani ana kazi yake tena nzuri tu; ana maisha yake standard,
Ushauri wako nitaufanyia kazi mimi na yeye then majibu nitayaleta hapahapa.
 
Mwanamke akizaa nje si ataleta mtoto na kunambia ni wa kwangu? Hilo la mke wangu kuzaa nje sijakupata vizuri mkuu.

Haya mkuu, wewe elewa vivyohivyo. Ukigegeda nje nawe mkeo atagegedwa nje na masela. How comes ukubali kuwa wewe unapendwa sana na mke wa mtu ili hali una mkeo? Je mkeo hakupendi? Wewe humpendi? Fikiria mpo wangapi? Then chukua hatua.
 
We rafiki yangu unadhalilisha ndoa unataka kuacha mkeo kwa utamu wa bao la siku mmoja?kuwa mwangalifu familia yako kwanza hao makahaba wapo tu..pia yule mke wa mtu angalia usije liwa tigo

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Haya mkuu, wewe elewa vivyohivyo. Ukigegeda nje nawe mkeo atagegedwa nje na masela. How comes ukubali kuwa wewe unapendwa sana na mke wa mtu ili hali una mkeo? Je mkeo hakupendi? Wewe humpendi? Fikiria mpo wangapi? Then chukua hatua.

Huyo sio mke wa m2 - wameishaachana kitambo, anaishi mwenyewe na mume wake yuko dar anaishi kivyake. Kesi ya mke wangu kugegedwa siwezi kuzuia kwa kuwa sishindi naye, nina majukumu yangu ya kikazi na yeye ana majukumu yake ya kikazi. Tunakutana nyumbani kwa ajili ya majukumu ya kifamilia na kindoa.
 
Wapendwa habari za majukumu
ya kulijenga taifa;
Nikiwa katika pitapita zangu miezi mitatu iliyopita; nikikutana na
mwanadada mrembo; nikawa nimekaa naye meza moja. Katika kuongea ongea
akanipa historia ya maisha yake. Kikubwa ni kwamba aliolewa lakini tabia
ya mume wake kumpa kichapo mara kwa mara aliamua kuomba uamisho kazini
na kuhama toka kwenye mji anapoishi mume wake.
Kwa kuwa tuliendelea kuwa na mawasiliano; siku moja akanikaribisha
nyumbani kwake; nikakuta amejiandaa kisawasawa; mambo ya kikubwa
yakaendelea, jioni nikatoka naye out; haikuishia hapo tukaendelea kama
wapenzi. Majuzi ananambia eti anataka anizalie mtoto na anitambulishe
hadi kwa ndugu zake.
Nashindwa kumpa ok kwa kuwa mi tayari nina mke; na mume wake bado
anambembeleza warudiane. Yeye anadai awezi kurudiana na huyo mwanaume
kwa sababu ni mkorofi na anamdunda mara kwa mara; mtoto wa watu ana
makovu hadi namuonea huruma. Naomba ushauri wako we unayesoma hii
habari.

wewe umeamua kuwa mkware.Mbona hukutuomba ushauri kabla hujaanza kulala naye?.Nakuomba usiendelee kutusanifu ila nami najishangaa kukuta naoteza mb zangu kwa post yako.endelea kadri kichwa chako kinavyokuongoza.
 
Hivi unaomba ushauri wa nini?

Kwanza umepima ukimwi? Huyu limama hujui ni mke wa mtu au umekuwa wale mabwege wa kwenye kuenjoy nje na kudhani umepata?

Na mke wako? Omba Mungu mumewe asaikudhuru, watu wengine bwana amekuambia bado kaolewa wewe unataka nini?

Mimi nahisi yeye ndie anakudanganya, labda ndio alifukuzwa na mumewe kwa umalaya.

Amepigwa sana anakupa na stori za matibabu? Maana mpaka aahame mji badi labda na kulazwa alishalazwa. Haya kakitulize na mkeo. Au nae akijua ataenda nje kuwa na bwana kama kawa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom