Anadai yu mrembo sana!

nisikusumbue jamani uendelee na maombi.....
ukishajibiwa mimi na wewe tuzungumze nini naomba uni PM
kwasasa naaanda jimbo kwa ajili ya 2015,ndo majukumu yangu...!gd9t!!!

maombi ni 24/7..hakuna kulala!
isije ikawa jimbo ambalo na mimi naliandaa?.. nitakuPM nikipata majibu
 
Mi ni mwanamke my dear na hawa ni kama wadogo zangu!

ok. kwa hiyo upo karibu na BF wa huyo msichana??
kama umewazoea kiasi, unaweza ku-introduce tu. ni bora huyo dada wa TZ ajue mapema kwamba unga umemwagika
 
Anamwonea huruma wakati mwenzake anajua na hajali???Kama mhusika mwenyewe haimsumbui iweje mwenzetu huyu imsumbue??
Lizzy mpaka naanza kuhisi labda unamjua huyu mdada,tatizo hapa huyu mdada kuna mtu alimuhusia kuhusu bwanake kua na uhusiano na huyu mdada wa huku ndo akaweka hiyo status,tatizo anadhani coz ni mrembo kuliko huyu mdada wa huku bwanake hawezi kucheat wakati wenzie huku wanapanga mpaka kuoana na kuzaaa!!ndo najifikiria nimwambie ukweli ili baadae asije kunilaumu!
 
ok. kwa hiyo upo karibu na BF wa huyo msichana??
kama umewazoea kiasi, unaweza ku-introduce tu. ni bora huyo dada wa TZ ajue mapema kwamba unga umemwagika

Tatizo huyo mdada wa Dar anjisikia sana na kweli ni mrembo wa haja halafu ni kale kakabila ka kule kanda ya ziwa anazile za kujishaua ndo nafikiria ntaanzia wapi!
 
mwambie huyu BF wake, kama yuko serious na mtu wake wa Dar, vinginevyo amuache huyo muuza sura atafute viwanja vingine!
 
anajichoresha kwa nani sasa?
Huyo dada haishi kwa kuogopa watu ndio maana hana wasiwasi.
Nyie ndio mnaopoteza muda kumchora wakati mwenzenu hana tym na nyie. Anafanya mambo yake anavyojua.

Anajichoresha kwa watu tunaojua na pia sitaki lawama kwamba kumbe na mimi nilikua najua kwanini sikumwambia mapema!mana hawa huku wanapanga kuoana Summer hii!
 
duh!
Kumbe ndio imefikia hapo.
Kwahyo huyo jamaa yako na huyo mdada wa fb hawajagombana wala nini?
Tatizo unatoa stori roborobo.
 
yule mhusika hajui nini kinaendelea

Angekua hajui asingeandika haya ''
"kuna mawili hapa; either ulimtongoza, au na yeye he want 2 try wanawake wabaya wakoje coz ama beautiful to a greater extent....." ''
 
Anajichoresha kwa watu tunaojua na pia sitaki lawama kwamba kumbe na mimi nilikua najua kwanini sikumwambia mapema!mana hawa huku wanapanga kuoana Summer hii!

wanaume balaa, angalia usije ukahiribu kila kitu, yaani ndoa ikashindwa kufungika na mwisho mahusiano yote yakavunjika... I can sense something, heartbreak in the mending.. duh
 
duh!
Kumbe ndio imefikia hapo.
Kwahyo huyo jamaa yako na huyo mdada wa fb hawajagombana wala nini?
Tatizo unatoa stori roborobo.

Hajamtamkia direct kama hamtaki but mdada kutwa ndo anapiga simu huku!huyu kaka anasema akirudi TZ ndo atamwambia ukweli,ambayo itakua too late kwamba keshaoa,my dear mi kama mwanamke najisikia vibaya sana ndo mana naomba msaada nifanyeje!
 
aisee, ni balaa..
kama unawajua ndugu wa huyu dada, nakushauri uwatumie hao kuliko kumwambia huyo dada direct, hii itakusaidia hata wewe kujilinda lakini umewapata taarifa. kama huwajui, uwe mvumilivu tu
 
dah!
Nilijua we ni ile jinsia nyingine.
Kati ya mkaka na mdada ni yupi ambaye wewe ni mtu wako wa karibu. Yupi ambaye ulimjua kupitia kwa mwingine?
Na ni ukaribu wa kirafiki tu au kuna undugu.
 
Angekua hajui asingeandika haya ''
"kuna mawili hapa; either ulimtongoza, au na yeye he want 2 try wanawake wabaya wakoje coz ama beautiful to a greater extent....." ''

Hili ndo tatizo kubwa anahisi jamaa alipita tu bahati mbaya kumbe miaka 4 wenzie wako pamoja na ndo wanapanga kuoana kipindi cha Summer!inauma coz huyu mdada kwasababu ya urembo wake anadhani huyu kaka hawezi kumwacha!
 
aisee, ni balaa..
kama unawajua ndugu wa huyu dada, nakushauri uwatumie hao kuliko kumwambia huyo dada direct, hii itakusaidia hata wewe kujilinda lakini umewapata taarifa. kama huwajui, uwe mvumilivu tu

Nawajua kaka zake ntajaribu kuongea nao,asante kwa ushauri Mpendwa!
 
Hili ndo tatizo kubwa anahisi jamaa alipita tu bahati mbaya kumbe miaka 4 wenzie wako pamoja na ndo wanapanga kuoana kipindi cha Summer!inauma coz huyu mdada kwasababu ya urembo wake anadhani huyu kaka hawezi kumwacha!

Kama yuko hapa JF atakua ameshajua.....kama hayupo fanya kumpa link ya hii post as if umekutana nayo tu ukashangaa kwamba inaendana na status yake ili ajisomee mwenyewe!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom