Hata mimi sijaexpect wewe kuelewa busara ya siasa za adabu na ustaarabu...lakini najua wapiga kura wa Tanzania mnaowaita mbumbumbu akiwemo mama yangu wanaelewa sana uzito wa busara hizo...sasa kama unadhani kuna mtu anaweza kuchukua nchi hii kwa kura za watu wa aina yako mliojawa na chuki na hulka ya magomvi, then nawatakia mafanikio mema hiyo jumapili...
wewe Omar,
mtu mwenye chuki za wazi kabisa dhidi ya wakatoliki, wachaga, wakurya, watu wa musoma, watu wa mbeya, watu wa karatu, o let's say it all, watu wote ambao sio mafisadi kama wewe. Utaweza vipi kujua siasa za kistaarabu?