James Mbatia ( Mama Tanzania) ametangazwa na CHADEMA kuwa atakuwepo kwenye Mkutano wa Dkt Slaa

Mabango ya Chadema yanayotangaza Watu maarufu watakaohudhuria Mkutano wa Dr Slaa pale Temeke yamemuorodhesha pia mwenyekiti wa zamani wa Nccr James Mbatia aka Mama Tanzania

Mbatia amekuwa kimya kwa kipindi kirefu na bado haijajulikana kilichomuibua ni Dr Slaa au Chadema

Jumaa kareem!

Mwambieni Mama Tanzania aache udalali
 
Ndio kick yenu ya kufufukia kisiasa bila ya kujali kwamba huu uwekezaji ni muhimu sana kwa maendeleo ya nchi yetu.
Nyie CCM ndio mmewapa opportunity hao Opposition....
Hata wao wanakubali kwamba huo uwekezaji ni muhimu kwa mustakabali wa maendeleo ya Nchi na Taifa kwa ujumla.
ISSUE ni huo mkataba wa kibwege mnaong'ang'ania upite iwe jua iwe mvua.
Mnashangaza sana....waambie na wenzako....changishaneni mrudishe hela za watu mlizokula maana najua hazipo.
Safari hii mnalo mlizoea sana.
 
Mbona unaleta uchonganishi wa kisiasa. Mkutano kaitisha Dr. Slaa kamwalika Mama Tanzania. Sasa nakuuliza CHADEMA inahusikaje hapo kwa mfano!
 
Mabango ya Chadema yanayotangaza Watu maarufu watakaohudhuria Mkutano wa Dr Slaa pale Temeke yamemuorodhesha pia mwenyekiti wa zamani wa Nccr James Mbatia aka Mama Tanzania

Mbatia amekuwa kimya kwa kipindi kirefu na bado haijajulikana kilichomuibua ni Dr Slaa au Chadema

Jumaa kareem!
Nakukaribisha na wewe Jo🤔
 
Ndio kick yenu ya kufufukia kisiasa bila ya kujali kwamba huu uwekezaji ni muhimu sana kwa maendeleo ya nchi yetu.
Wakati wa RAHCO, TANESCO ya Msouth a.k.a nyavuni group a.k.a Netgroup solutions,Akina TTCl,ubinafsishaji viwanda vya mwamba Baba wa taifa,.Je vipindi vyote hivi umekuwa na umri gani🤔.Hayo ni kwa uchache tu.Mwenye kuweza kuongezea huyu mwamba madini hapa,kwani sote ni Watanzania hatuna budi kuyajua ya kwetu na kushirikikishana na sio kuburuzana🤸🚶🚶
 
Mabango ya Chadema yanayotangaza Watu maarufu watakaohudhuria Mkutano wa Dr Slaa pale Temeke yamemuorodhesha pia mwenyekiti wa zamani wa Nccr James Mbatia aka Mama Tanzania

Mbatia amekuwa kimya kwa kipindi kirefu na bado haijajulikana kilichomuibua ni Dr Slaa au Chadema

Jumaa kareem!
Ni makosa kulipa suala la bandari sura ya kichama cha siasa, hususan CHADEMA. Kufanya hivyo kunawatenga wale ambao si wana-CHADEMA lakini hawakubaliani na mkataba wa bandari. Kunadhoofisha upinzani wa mkataba. Wakati huu inafaa kuunganisha juhudi wote tunaopinga mkataba, bila kujali chama chako cha siasa, dini yako, au wapi unatoka hapa nchini Tanzania. Kitu pekee cha kututenganisha kiwe kukubaliana au kutokubaliana na mkataba. Nasaha yangu kwa viongozi walio mstari wa mbele wa kupinga mkataba ni kwamba waondoe viashiria vyote vya kichama, hata kama viongozi wote hao wanatoka chama kimoja cha siasa. Binafsi, si mwanachama wa CHADEMA lakini napinga mkataba wa bandari.
 
Kimsingi mama Tanzania angeingia CHADEMA achukue jimbo la Vunjo chap
 
Wakati wa RAHCO, TANESCO ya Msouth a.k.a nyavuni group a.k.a Netgroup solutions,Akina TTCl,ubinafsishaji viwanda vya mwamba Baba wa taifa,.Je vipindi vyote hivi umekuwa na umri gani🤔.Hayo ni kwa uchache tu.Mwenye kuweza kuongezea huyu mwamba madini hapa,kwani sote ni Watanzania hatuna budi kuyajua ya kwetu na kushirikikishana na sio kuburuzana🤸🚶🚶
Jamaa wanapiga mnada nchi yetu kama utani
 
Mbona unaleta uchonganishi wa kisiasa. Mkutano kaitisha Dr. Slaa kamwalika Mama Tanzania. Sasa nakuuliza CHADEMA inahusikaje hapo kwa mfano!
Nimekwazika sana hawa CDM wanadandia fursa tu, watu wamepambana kule clubhouse wamejichanga kweli kweli wakiwa kama sauti ya Watanzania leo chadema wanakuja kujihusisha
 
Mabango ya Chadema yanayotangaza Watu maarufu watakaohudhuria Mkutano wa Dr Slaa pale Temeke yamemuorodhesha pia mwenyekiti wa zamani wa Nccr James Mbatia aka Mama Tanzania

Mbatia amekuwa kimya kwa kipindi kirefu na bado haijajulikana kilichomuibua ni Dr Slaa au Chadema

Jumaa kareem!
Wote hao wanataka kuja Chadema hembu Mbowe wasikilize wanataka nini na wape masharti nafuu.
 
Ni makosa kulipa suala la bandari sura ya kichama cha siasa, hususan CHADEMA. Kufanya hivyo kunawatenga wale ambao si wana-CHADEMA lakini hawakubaliani na mkataba wa bandari. Kunadhoofisha upinzani wa mkataba. Wakati huu inafaa kuunganisha juhudi wote tunaopinga mkataba, bila kujali chama chako cha siasa, dini yako, au wapi unatoka hapa nchini Tanzania. Kitu pekee cha kututenganisha kiwe kukubaliana au kutokubaliana na mkataba. Nasaha yangu kwa viongozi walio mstari wa mbele wa kupinga mkataba ni kwamba waondoe viashiria vyote vya kichama, hata kama viongozi wote hao wanatoka chama kimoja cha siasa. Binafsi, si mwanachama wa CHADEMA lakini napinga mkataba wa bandari.
Siasa haipo hivyo mkuu
 
Back
Top Bottom