Elections 2010 Alichosema jana mgombea ubunge wa chadema jimbo la temeke hakistahili .

Hata mimi sijaexpect wewe kuelewa busara ya siasa za adabu na ustaarabu...lakini najua wapiga kura wa Tanzania mnaowaita mbumbumbu akiwemo mama yangu wanaelewa sana uzito wa busara hizo...sasa kama unadhani kuna mtu anaweza kuchukua nchi hii kwa kura za watu wa aina yako mliojawa na chuki na hulka ya magomvi, then nawatakia mafanikio mema hiyo jumapili...

wewe Omar,

mtu mwenye chuki za wazi kabisa dhidi ya wakatoliki, wachaga, wakurya, watu wa musoma, watu wa mbeya, watu wa karatu, o let's say it all, watu wote ambao sio mafisadi kama wewe. Utaweza vipi kujua siasa za kistaarabu?
 
It's unfortunate; definetely not part of the CHADEMA campaign strategy. Lakini ndiyo hivyo kwenye msafara wa ......... na nanihi pia wapo.....!
 
Hata mimi sijaexpect wewe kuelewa busara ya siasa za adabu na ustaarabu...lakini najua wapiga kura wa Tanzania mnaowaita mbumbumbu akiwemo mama yangu wanaelewa sana uzito wa busara hizo...sasa kama unadhani kuna mtu anaweza kuchukua nchi hii kwa kura za watu wa aina yako mliojawa na chuki na hulka ya magomvi, then nawatakia mafanikio mema hiyo jumapili...

Wewe ni mdini na mkabila mkubwa! Chuki yako kwa wasiowaislam iko wazi, hutaki kutusikia sisi wachaga na watu wa mikoa ya Kaskazini, Mbeya, Mwanza na sehemu zote watu wa aina yako wasikukowepo

Pole sana! Usiache kumpigia kura Dr Slaa na kushawishi wale waliokaribu nao! Acha ushamba wa kidini
 
umenunuliwa?

nakuuliza umenunuliwa?

nijibu basi mbona kimya!!!!!?
 
Siku zote inajulikana wewe na familia yako ni ccm damu damu, kwamba mama yako hataki kuwaona zitto kabwe na "mwanae Dr. Slaa" sio habari kabisa, kwani kwa mantiki ya kilichotokea jana, hakuna jambo jipya alilozungumza Dr.Slaa linalomhusu jk. Yote aliyoyasema jana ameyasema kila mahala alipokwenda tangu kampeni zimeanza. Ukiacha sera ya usalama ambayo aliizungumzia jana kwa mara ya kwanza mengine yote yalikuwa ni marudio tu. Alizungumzia pia ufisadi uliofanywa na ccm kwenye ujenzi wa matundu ya vyoo vya shule bagamoyo, na inajulikana kwamba alishamtaja jk kwenye list of shame tangu 2007 sasa utaona kuwa mama yako sio mkweli ama la unausemea moyo wa mama!

Ni kweli mama yangu kwa miaka mingi hakuwa anaamini kuwa Tanzania bila ya CCM inawezekana. Na pia ile fikira kuwa upinzani ni longolongo na watu wa vurugu alikuwa nayo pia.

Lakini katika miaka takribani mitatu sasa amekuwa na shauku kubwa ya kujua kuhusu CHADEMA na haswa waliokuwa wakimvutia ni Zitto na Dr Slaa. Mama yangu ni conservative kama walivyo wazazi wengi lakini naweza kusema hadi kufikia jana, naye alikuwa kama mama na baba za wengine humu ambao walikuwa tayari kuchughulia huko kwengine kuna nini. Na hawa ndio kama wale aliwaita Prof Lwaitama aliwaita CCM wafu. Walianza kuitika wito wa mabadiliko lakini hizi wiki mbili za mwisho, nadhani wengi watarudi shimoni walipozoea...

Sasa kama mnadhani CCM itaondoka kwa jazba, machungu na hasira za wajanja wa mjini na sio hawa mnaowaona kama mbumbmumbu wa Tanzania ambao ni zaidi ya asilimi 70, basi ni wazi kuna haja ya kuangalia mikakati yenu upya mara baada ya kusikia sauti ya hawa mbumbumbu mnaowadharau come to Sunday 31st 2010.....
 
Mnanikumbusha article ya Generali Ulimwengu-Kukosa haya huzaa aibu na mwishowe Hatari.....jikumbushe hapo chini
"
Inaelekea kila tunapomwona mwenzetu ana dalili za kupata kichaa, kavua nguo na kuingia mtaani, tumesahau kwamba tunachotakiwa kufanya ni kumkamata na kumrejesha ndani, kumfunga kamba na kumtafutia matibabu mwafaka.
Badala ya kufanya hivyo, nasi tunavua nguo zetu na kumfuata huko huko mtaani tukiwa kama yeye. Ndiyo maana nasema tena, kwamba nchi hii inaanza kuonekana kama kijiji kisichokuwa na wazee, ambao watoto ndio wanaendesha mambo, lakini watoto wenyewe ndio hao hao waliotakiwa kuwa wazee wa kijiji chetu. Tutakuwa wageni wa nani"

It is GOOD Quote. Jenerali alichokisema ni sahihi kabisa, maana baada ya matusi ya yule mgombea ubunge wa Temeke kwa tiketi ya Chadema, Binafsi nilitegemea Dr Slaa angelijaribu ku-neutralize yale matamshi kwa njia moja au nyingine mfano kwa kusema kijana acha Jazba na kumtaka asitoe matusi tena kama hayo, lakini hilo halikufanyika na linasadifu kwa 100% na hiyo quote ya Ulimwengu kuwa wattoto wameachiwa kuwa ndio wazee wa kijiji chetu, matokeo ndio haya. Ndio maana bado naamini huyu jamaa KAPANDIKIZWA KWA LENGO MAALUMU. Maana hakukuwa na haja ya kutukana kama alivyofanya ukizingatia huu ni muda wa lala salama ambapo KOSA moja tu litagharim siku 87 zilizopita za kampeni
 
Mbona mamake yuko kwenye mabango yake? Yeye mwenyewe kamuingiza kwenye uchaguzi..!
 
hivi kusema uzinzi wa dr slaa kafundishwa na mama yake ni sawa ?

hapa too low mm naamini dr slaa mwenyewe na mama yake namheshimu hadi nipate ushahidi wa kuthibitisha hivyo?
 
Tuache ushabiki alichokifanya mgombea yule wa CHADEMA ni upuuzi. Naamini kauli ile itachukuliwa advantage kwa CCM kumkandamiza Dr. SLAA. Any way haina shida kwenye siasa hayo yapo, mbona mgombea wa CCM amempiga OCD Maswa lakini issue ni baridi tu hakuna so wala nini. Hiyo ndiyo siasa.
 
Ni kweli mama yangu kwa miaka mingi hakuwa anaamini kuwa Tanzania bila ya CCM inawezekana. Na pia ile fikira kuwa upinzani ni longolongo na watu wa vurugu alikuwa nayo pia.

Lakini katika miaka takribani mitatu sasa amekuwa na shauku kubwa ya kujua kuhusu CHADEMA na haswa waliokuwa wakimvutia ni Zitto na Dr Slaa. Mama yangu ni conservative kama walivyo wazazi wengi lakini naweza kusema hadi kufikia jana, naye alikuwa kama mama na baba za wengine humu ambao walikuwa tayari kuchughulia huko kwengine kuna nini. Na hawa ndio kama wale aliwaita Prof Lwaitama aliwaita CCM wafu. Walianza kuitika wito wa mabadiliko lakini hizi wiki mbili za mwisho, nadhani wengi watarudi shimoni walipozoea...

Sasa kama mnadhani CCM itaondoka kwa jazba, machungu na hasira za wajanja wa mjini na sio hawa mnaowaona kama mbumbmumbu wa Tanzania ambao ni zaidi ya asilimi 70, basi ni wazi kuna haja ya kuangalia mikakati yenu upya mara baada ya kusikia sauti ya hawa mbumbumbu mnaowadharau come to Sunday 31st 2010.....

We Omari acha kuzuga watu
Tunakujua wewe ni CCM na mdini mkubwa (Mujahdin). And so is the gang around you!

Mimi napatikana sana hapo Mambo club, Morogoro. Karibu jioni moja tupate kilaji.
 
hivi kusema uzinzi wa dr slaa kafundishwa na mama yake ni sawa ?

hapa too low mm naamini dr slaa mwenyewe na mama yake namheshimu hadi nipate ushahidi wa kuthibitisha hivyo?

itabidi haya umuulize mzee mwenye wake na vimada 20 (kikwete) au wewe unaonaje mtani?
 
hivi kusema uzinzi wa dr slaa kafundishwa na mama yake ni sawa ?

hapa too low mm naamini dr slaa mwenyewe na mama yake namheshimu hadi nipate ushahidi wa kuthibitisha hivyo?

Deformed Mentally! Nikisema Kikwete Kuanguka Kafundishwa na Familia yake ya akina Kinana! Itakuwa Uwongo?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom