Akina dada hii siku hizi ni fasheni au?!

image1733812.jpg
tunavaa chochote so long as tumeridhika wenyewe kuwa tuko decent, comfortable and confident
 
zamani ilikua vigumu sana kumuona mwanamke mwenye mimba,ila siku hizi naona kama wanafanya mashindano hivi?!! yaani kila siku lazima niwaone zaidi ya watano,unakuta mwanamke anayo mimba kuuuuuuubwa anazunguka nayo kariakoo!! sa sijui ndio fasheni au?! ........
MP.

Wanacho kukera ni nini hasa. Zamani ulikuwa unaona ila hukujua ni nini, ila sasa kwa sababu umekua ndo maana unatabua kuwa ni mimba na si kitambi.
 
sio fassion ila kuna wale wa kuzaa hadi mayai yaishe tumboni labda hao ndio unakutana nao sana
 
janaa ilikuwaa siku ya wanawakee duniani,uhuruu na haki za wanawake na ujanyasajii wa kijinsia ndo huu tunao kumeaa.
 
  • Thanks
Reactions: bht
janaa ilikuwaa siku ya wanawakee duniani,uhuruu na haki za wanawake na ujanyasajii wa kijinsia ndo huu tunao kumeaa.

Naweza kukuuliza swali juu ya staili yako ya uandishi?
 
hii sijaiona zamani ipi unaongelea, mbona mie tangu zamani naonaga tu wajawazito, kwani kuwa mjamzito ni crime mpaka ujifiche?
 
Hatuoni aibu kabisa sababu ni waume zetu.

Nikuulize swali na wewe
umewahi kumuuliza mama yako kama aliona aibu kukubeba wewe kwa miezi tisa?

Na wewe umeshawahi kumuuliza mama yako?
wengine hatukuzaliwa tulishushwa.
MP.
 
hii sijaiona zamani ipi unaongelea, mbona mie tangu zamani naonaga tu wajawazito, kwani kuwa mjamzito ni crime mpaka ujifiche?

Zamani ipi unaongelea wewe?.
MP.
 
Wanacho kukera ni nini hasa. Zamani ulikuwa unaona ila hukujua ni nini, ila sasa kwa sababu umekua ndo maana unatabua kuwa ni mimba na si kitambi.

Inanikera tumbo kuuuubwa halafu kavaa kivazi cha ajabu.
MP.
 
image1733812.jpg
tunavaa chochote so long as tumeridhika wenyewe kuwa tuko decent, comfortable and confident

Waw..... afadhali umewaelimisha,wanataka tuvae yale maternity marefu mpaka kwenye ankle ambayo yako kama nightdress za zamani halafu chini raba na socks.
Kwa sasa hivi hiyo ni NO.
 
Naangalia ndugu.....ndo burudani yangu hiyo!!!

Hivi hakuna mchezaji siku moja aingie uwanjani na shoka amlengete ugoko Lionel Messi mguu apotee jamani. Huyu dogo utadhani jini, mtu gani hakabiki uwanjano. Kimoyomoyo simpendi kweli ila ndo hivyo tena! Huwa anatuharibia kweli sherehe man utd
 
Waw..... afadhali umewaelimisha,wanataka tuvae yale maternity marefu mpaka kwenye ankle ambayo yako kama nightdress za zamani halafu chini raba na socks.
Kwa sasa hivi hiyo ni NO.

Mbona wakati hamna mimba huwa mnavaa madera?!! kinawashinda ninikuvaa mkiwa nazo .....
MP.
 
Mbona wakati hamna mimba huwa mnavaa madera?!! kinawashinda ninikuvaa mkiwa nazo .....
MP.

Mavazi ni chaguo kuna wanaovaa madera na
wasiovaa pia,na hata kama huwa anavaa akiamua kubadili uvaaji wake ni uhuru wake.
 
Maisha magumu. Zamani ilikua rahisi kumleta mdogo wako nyumbani
akusaidie na kazi mbali mbali wee ukilea mimba.
Sasa hivi mdogo wako yuko chuoni, ana maisha yake mwenyewe.
Inabidi upigane hivo hivo.
 
Mavazi ni chaguo kuna wanaovaa madera na
wasiovaa pia,na hata kama huwa anavaa akiamua kubadili uvaaji wake ni uhuru wake.

Kumbe mnaringia uhuru!! sasa ngoja ni ongee na rizi wani amwambie mshua aliweke kwnye katiba.
MP.
 
Maisha magumu. Zamani ilikua rahisi kumleta mdogo wako nyumbani
akusaidie na kazi mbali mbali wee ukilea mimba.
Sasa hivi mdogo wako yuko chuoni, ana maisha yake mwenyewe.
Inabidi upigane hivo hivo.

Tatizo mnaogopa kubebewa waume zenu, hamna lolote!!
MP.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom