Akina dada hii siku hizi ni fasheni au?!

mmmh maprosoo unavyowaona kariakoo wanapuyanga ni kwa ajili ya kujiandaa na maandalizi ya kujifungua kwani siku hizi watu kila kitu wanajitafutia wenyewe hadi glovu na viwembe zaman mambo yote yalikuwa bure na wkunga walikuwa wakizalishia home sa ma mjamzito atatafuta nini kariakoo?

tatizo jingine bora atembee amevaa tineti!! unakuta kavaa kiskini jinsi wakati tumbo kuuuuuubwa.
MP.
 
Mkuu tuheshimu naomba.
unataka tufiche ili nini?

Mwanamke kuwa na ujauzito sio aibu bali baraka.
 
Tatizo ni nini hapo? Hutaki watu wazaane waijaze dunia? Kama na wewe una wako, mpige mimba ngoma iwe droo!
 
zamani ilikua vigumu sana kumuona mwanamke mwenye mimba,ila siku hizi naona kama wanafanya mashindano hivi?!! yaani kila siku lazima niwaone zaidi ya watano,unakuta mwanamke anayo mimba kuuuuuuubwa anazunguka nayo kariakoo!! sa sijui ndio fasheni au?! ........
MP.

Hahahahaha alafu tenite alilovaa ni aibu unakuta kagauni kanafika magotini mtumbo huo hata aibu hakuna
 
Mkuu tuheshimu naomba.
unataka tufiche ili nini?

Mwanamke kuwa na ujauzito sio aibu bali baraka.

Vaeni nguo za heshima jamani sasa unavaa kagauni kanaishia magotini unakuwa kama mwanamitindo au mimba nazo siku hizi zinafanyiwa fasheni
 
Vaeni nguo za heshima jamani sasa unavaa kagauni kanaishia magotini unakuwa kama mwanamitindo au mimba nazo siku hizi zinafanyiwa fasheni

kumbe jee, watu wanafashenia mavazi ya ujauzito Fidel, mbona kawaida kabisa!!!
 
Vaeni nguo za heshima jamani sasa unavaa kagauni kanaishia magotini unakuwa kama mwanamitindo au mimba nazo siku hizi zinafanyiwa fasheni
Yaani hilo ndio tatizo .........kumbe na wewe umeshawashtukia ee? sa sijui wanamtega nani na hili hali ana mtumbo mkuuuuubwa!!!
MP.
 
zamani ilikua vigumu sana kumuona mwanamke mwenye mimba,ila siku hizi naona kama wanafanya mashindano hivi?!! yaani kila siku lazima niwaone zaidi ya watano,unakuta mwanamke anayo mimba kuuuuuuubwa anazunguka nayo kariakoo!! sa sijui ndio fasheni au?! ........
MP.

Sio fashen Maprosoo ila wanatimiza agizo la Mungu kuwa wakaijaze dunia!We huoni takwimu zinaonesha kuwa kuna upungufu mkubwa wa binadamu hasa wa jinsia ya kiume?Waache wazae waijaze dunia, hasa hasa wazae wanaume maana limekuwa tatizo kubwa kweli kweli. Na ikibidi, wanaowapa mimba wapewe elimu itakayowawezesha kujua namna ya kutoa vidume vingi zaidi.
 
kwa hiyo wewe unataka wakienda kkoo au mizunguko mingine waziache nyumbani au?

hahahahaha:eyebrows: .........great thinking!! chukua like hiyo.
MP.
 
kumbe jee, watu wanafashenia mavazi ya ujauzito Fidel, mbona kawaida kabisa!!!

Sasa una mtumbo mkuuuuubwa unavaa kagauni kanaishia magotini unamlingishia nani mtumbo huo? Au anakuwa yeye ndo wakwanza kupata mimba?
 
Sasa una mtumbo mkuuuuubwa unavaa kagauni kanaishia magotini unamlingishia nani mtumbo huo? Au anakuwa yeye ndo wakwanza kupata mimba?

kwani nikivaa refu ndo mimba haionekani?

mimba haifichwi jamani sasa mnavowasema wanawaringishia siwaelewi kabisa mimi...:shock:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom