Akina dada hii siku hizi ni fasheni au?!

zamani ilikua vigumu sana kumuona mwanamke mwenye mimba,ila siku hizi naona kama wanafanya mashindano hivi?!! yaani kila siku lazima niwaone zaidi ya watano,unakuta mwanamke anayo mimba kuuuuuuubwa anazunguka nayo kariakoo!! sa sijui ndio fasheni au?! ........
MP.
Kawaida ukiwa na gari jekundu,kila utapopita utaona magari mekundu mengi!
Kuona wengi wana mimba ujue na wewe either unayo,ama unategemea kuipata!
 
Sina muda mchafu! naona una njaa ya kujaza thread ndo mana unaparamia watu! unanukia marashi ya ulimbukeni kila kona pole sana!

Kwani nani mwenye muda mchafu wa kubishana na asiyejua kuosha k kama ww!!. kaoshe kwanza ndio uje ubishane na mimi.
MP.
 
Kawaida ukiwa na gari jekundu,kila utapopita utaona magari mekundu mengi!
Kuona wengi wana mimba ujue na wewe either unayo,ama unategemea kuipata!

Nategemea kumpa mtu,so njoo nikupe.
MP.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom