Ngumu kuwatenganisha wanawake wa siku hizi na vizinga

fighter19

Member
Jan 6, 2023
33
40
Hawa dada zetu wana hali mbaya ila ukiitizama ni ya kujitakia na ndio maana wengi wao wana tamaa ya fedha. Based on utafiti nilioufanya kwa wanawake ambao ni marafiki zangu.

Ukichukua sample ya wanawake kumi, basi nane au zaidi wanacheza michezo au vikoba. Hapo unakuta katika hao nane, zaidi ya watano wanacheza mchezo mmoja au zaidi ya mmoja ila wakiwa na majina zaidi ya moja. Ukirudi kwenye vikoba napo ni hivyo hivyo vikoba viwili viwili.

Ukichunguza zaidi wenye uwezo wa kumudu hii michezo na vikoba kwa hela zao binafsi hawazidi watatu. So, ndugu zangu wanaume mizinga haikwepeki ndio maana siku hizi ukiomba namba unapewa ila baada ya hapo jiandae na mizinga na ukisha zibeba presha zake za vikoba na michezo, jiandae na mizinga ya bundle, mavazi, simu bado hela ya kula sijui hela nini na nini, list inaendelea nk. Ndio maana kuna wengine huangukia kwenye mikopo ya kausha.

Ndio maana wanawake siku hizi wanajikuta wanafanya mambo ya ajabu sababu tu ya fedha na wengine kutumiwa vibaya kingono hadi huruma.
 
Mambo yao waachie wenyewe. Provided hawakabi mtu, mtu anatoa mwenyewe sio sawa kuwatupia lawama.
 
Yes,
ni mtu na mdogo wake 🐒

R .I. P Laigwanan comrade ENL
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom