babake nasreen
JF-Expert Member
- Oct 30, 2014
- 702
- 490
(1.)Hivi kitendo cha mtu mzima kusema anamshukuru rais Magufuri kwa kuweza kuchagua mkoa wa MBEYA kuwa SEHEMU YA KUPATWA KWA JUA halina uhusiano na akili za watanzania wengi ambao wanadhani Nyerere bado yupo hai?
(2.) Je,hilo halihusiani na CCM kujipatia kura nyingi huko vijijini kutokana na uelewa wa watu hao?
YANI NAJARIBU KUWAZA KAZI KUBWA WALIYONAYO VYAMA VYA UPINZANI NCHI HII...