Ajali ya Dr. Mwakyembe na yatokanayo

Eti fanya kampeni JF; toka lini JF ikachagua wabunge Tanzania?

Mwingine anashangaa mimi kuwa online wakati niko Kyela; elewa professions za watu kabla ya kuja na statement kama hiyo. Niko connected popote ninapokuwa na hilo ndilo boksi langu.

Mimi nahangaika na mambo yangu na wala sina sababu za kwenda kuzunguka vijijini. Nimekuambia sigombei ubunge na hata ningekuwa nagombea uchaguzi ni mwaka kesho.

Mwakyembe jina kubwa; sawa na kipimo kama ni jina kubwa ni mwakani 2010. Kipimo cha jina kubwa sio kwenye TZ au kuongelewa JF. Kipimo cha kazi zake za miaka hii mitano ni 2010.

Kwa mnao ni beep kupitia namba yangu ya UK baada ya kuwaambia niko Kyela, acha ujinga huo. Wale ninaotaka kuwasiliana nao wana namba yangu ya TZ. Hiyo namba ya UK kwa hapa napokea simu za kazini tu.

Kama ni Mwakyembe nilishampa pole na hata sasa namwombea apone kabisa na kuendelea na kazi zake. Sina ugomvi na Mwakyembe as a person, nina matatizo na utendaji wake kama mbunge wa Kyela.

Ghafla kuwaambieni niko Kyela naona mmepanic! Kazi kweli kweli kwenye hizi siasa za TZ. heri wengine tuendelee na boksi letu.
 
Kama kweli Mtanzania unahamu ya ubunge Kyela, basi mwaga dataz zako hapa tuone kama unaviweza viatu vya shujaa Mwakyembe. Hilo brother wetu au dada yetu Mtanzania unayeishi Uingereza huwezi kulikwepa: Mwakyembe is a house-hold name in Tanzania whether you or RC Mwakipesile likes it or not! Lete dataz hapa tukuone na tukupe support au tukutose mapema uokoe fedha zako hizo unazozisotea Uingereza kwenye baridi na maisha magumu! Ikiwa CV yako ni ya ki-Nchimbi Nchimbi na doctorate za vyuo feki, count me out! Vilevile kama uko Uingereza na unaosha dishes mahotelini ili kusurvive na kuwekeza huku nyumbani, vilevile count me out!

Ijabu Issa,

Nimekusikia mkuu, ila sihitaji kumwaga chochote JF. Mimi sijasoma na sio doctor, ninaosha sifuria zangu na ndio zinanifanya niweze kufanya ninayofanya. Siamini kama CV ndio zinafanya kazi; naamini elimu ni muhimu lakini utendaji sio elimu. Elimu inasaidia tu mtu mwenye uwezo kufanya mambo yake kwa ufanisi zaidi.

Kama mtu anataka support ya mtu mwenye mawazo yako; huyo mtu kashindwa hata kabla ya kuanza kampeni.

Kama Mwakyembe ni kiatu kikubwa hivyo basi atashinda ushindi wa Sunami 2010 na wote tutakuwa hapa JF kushuhudia. Ila akiwekwa chini, msije mkatoroka JF au kubadilisha majina.
 
Tukiweka data hapa mnafuta. wengine hata mkilog hamonekani sawa hii niyo TZ bwana- tunaona post imeinga bali hatuwaoni mkining'inia

Ukiona ujumbe unatokea na humuoni mwandishi, basi lazima ufahamu kuwa huyo ni Mod wa JF na kwa taarifa yako wako wengi. Wanaweza kuingia hapa kwa majina yao ya kazi na majina yao ya kweli na wanaweza kuzuka bila ya sisi kuwaona. Hili sintakushambulia kwani hata mimi mwanzo sikuelewa ila kwa haraka nikawa nimelishtukia kuwa watakuwa Mods wanaingia kimya kimya na kuandika (bila ku-log in majina yao) na wakati mwingine huwa wanaamua kufuta baadhi ya habari au kuzirekebisha.

Shalom, ukiandika kitu, weka data za kusuport swala hilo. Wee ni kupinga tu bila kithibitisho chochote kile.

Watu wa Kyela, jana niliwasiliana na ndugu yangu yaani Mwenyekiti wa UV-CCM wa Mkoa wa Tabora. Nilifurahi kwani hatimaye nimempata homeboy tutakayeweza kujadili nini tufanye kule kwetu kuisaidia Tanzania/Tabora/Sikonge yetu. Mtanzania, kama uko Kyela, msalimia Mlalahoi na ukipata nafasi basi usikose kufika Sikonge uje tuonane. Vinginevyo kama nikipata nafasi, ntaja huko Kyela.

Mtanzania, SOMA PM.
 
Last edited:
Nsesi,

Naona huyu kijana wa UK aliyepewa hizo milioni 400 na Lowassa, anawapa homa ya matumbo. Mnaona upambe wenu unaota majani. Nikipata simu yake, basi ntawasiliana naye na kumwabia agombee tu ili wenye wivu MJINYONGE.

Hakuna watu siwapendi kama JOBLESS anayejipa kazi ya kuwa Mpambe. Mwakajana nikiwa Tabora nikaona Msomali mmoja, kila sehemu anayokwenda kazungukwa na watu na mwisho nikaambiwa kuwa huyo ndiyo Rage. Next day Rage huyo tukasafiri naye kwa ndege kuja Dar kutoka Tabora. Tukiwa tunaelekea Kigoma, nikasikia dada mmoja akiomba kazi ya kuwa Mpambe wa Rage mwaka 2010 wakati wa uchaguzi. Tulivyofika Dar ndiyo nikaishiwa nguvu kabisa. Alizungukwa na watu kibao hadi unaanza kujiuliza hivi jamaa ni Lulu? Mwisho wa siku nikajikumbusha nilichokiona Tabora. Alifika na wapambe wake kwenye Restaurant, wakaagiza vinywaji na keki. Cha ajabu ilipokuja KULIPA, nikaona jinsi WANAVYONYWEA. Rage akalipa na jamaa furaha zikaanza kuonekana usoni. Hawa wa Dar nikajua na wao ni walewale WALA VYA BURE. Na Mafisadi kwa njia hii, wataendela sana kuila Tanzania. Wapambe ni watu wa OVYO kuzidi hata CCM wenyewe maana wao lazima walinde MABWANA wao waendelee kuwepo madarakani ili na wao wale. Kama hawa nasikia sasa wanaitwa Janjaweed wa CCM. Hawa ni WAOVU kuzidi hata Rostam Aziz/Lowassa na mtandao kwa ujumla.
 
Last edited:
Ijabu Issa,

Nimekusikia mkuu, ila sihitaji kumwaga chochote JF. Mimi sijasoma na sio doctor, ninaosha sifuria zangu na ndio zinanifanya niweze kufanya ninayofanya. Siamini kama CV ndio zinafanya kazi; naamini elimu ni muhimu lakini utendaji sio elimu. Elimu inasaidia tu mtu mwenye uwezo kufanya mambo yake kwa ufanisi zaidi.

Kama mtu anataka support ya mtu mwenye mawazo yako; huyo mtu kashindwa hata kabla ya kuanza kampeni.

Kama Mwakyembe ni kiatu kikubwa hivyo basi atashinda ushindi wa Sunami 2010 na wote tutakuwa hapa JF kushuhudia. Ila akiwekwa chini, msije mkatoroka JF au kubadilisha majina.

Mtanzania,

Huyu Ijabu naona atakuwa ni mtu anayedandia train la ICE kwa mbele. Hii huwa ni mbaya sana sana. Na kibaya zaidi inaonyesha kuwa ni WAKUJA fulani hivi. Kwenye Mtandao ukikaa sana, unaweza kujua WHO IS WHO. Kama hilo huwezi kuliona na kuanza kudai data za mtu basi wee IQ yako haihitajiki kupimwa.

Ijabu, tulia humu ndani. Angalia maneno ya watu jinsi wanavyoandika. Subiri wakichokozwa uone jinsi wanavyojibu na hapo utapata jibu kuwa hawa ni watu wa aina gani. Huhitaji kudai mtu akumwagie data zake hapa. Na hata akikumwagia, basi atakupa data feki kama ana akili. Kwa sisi Wakristo, Yesu anasema, ukienda kwenye sherehe, kama una akili, utakaa nyuma ili baadaye mwenye sherehe aje akuopowe na kukuweka mbele. Mbaya ni kujipeleka mbele na baadaye unaambiwa " Mpishe mzee akae, na ukija muona mzee mwenyewe kumbe mtoto mdogo kama Messi, ila ana jina lake na utoto wake huo..." Hapo mzee mzima unarudi nyuma kwa aibu.

Ijabu, karibu JF, The Home of Great Thinkers. So, THINK!!!!
 
Sikonge,

Si umeona inaelekea wanamwogopa kweli huyo kijana; wamepata kiwewe.

Waliogombea ubunge Kyela 2005 : Mwakyembe, Mwakabumbe, Vicent Mwamakimbula,
Gabriel Mwakalinga, Christom Mwakalinga, Mzee Mwaisaka, Japhet Mwakasumi, John Mwakipesile, Rhoda Mwamunyange na marehemu Kipepe (RIP). Majina magumu hayo sijui kama sijakosea.

Tisa bado wapo hai na wanakaribishwa tena kwenye mchuano.
 
Dah,
Mtanzania, sikuwa nafuatilia kujua kama Marehemu Samson Kipepe aligombea Kyela. Kijana yule pamoja na kujiingiza sana kwenye Siasa hadi kusahau kuwa CCM siyo mama, bado tutam-miss sana kwa mengi, hasa tuliomfahamu kabla hajaanza kuwa CCM/Mwanasiasa. Mungu ampe mapumzisho mema.

Duu ila hizo Mwa..... Hadi zinaleta RAHA!!!!

Uchaguzi ujao naona watakuwa watu wengi wanagombea na wengine watakuja kwa ajili ya kupinga wapinzani wa Dr. Amini usiamini watu kama akina Nsesi, Shalom na Mtindi, nao watachukua form na kuanza kupakazia wagombea wenzao ili kumsafishia Dr njia. Ngoja tuwatakie kila la kheri.
 
LazarosMtindi yumo kwenye hayo majina kwi kwi kwi!!!

Utafikiri umejua, kwenye hiyo list kuna wengine walipandikizwa ili kuharibu kura za upande pinzani. Ilikuwa mbinu kama ile ya kushindwa kwa Maxi kule Busanda.

Hata mimi nilipoandika jina la Kipepe nikasikitika sana; wote tunaelekea hukohuko kwenye ghetto la haki.
 
Nsesi,

Naona huyu kijana wa UK aliyepewa hizo milioni 400 na Lowassa, anawapa homa ya matumbo. Mnaona upambe wenu unaota majani. Nikipata simu yake, basi ntawasiliana naye na kumwabia agombee tu ili wenye wivu MJINYONGE.

Hakuna watu siwapendi kama JOBLESS anayejipa kazi ya kuwa Mpambe. Mwakajana nikiwa Tabora nikaona Msomali mmoja, kila sehemu anayokwenda kazungukwa na watu na mwisho nikaambiwa kuwa huyo ndiyo Rage. Next day Rage huyo tukasafiri naye kwa ndege kuja Dar kutoka Tabora. Tukiwa tunaelekea Kigoma, nikasikia dada mmoja akiomba kazi ya kuwa Mpambe wa Rage mwaka 2010 wakati wa uchaguzi. Tulivyofika Dar ndiyo nikaishiwa nguvu kabisa. Alizungukwa na watu kibao hadi unaanza kujiuliza hivi jamaa ni Lulu? Mwisho wa siku nikajikumbusha nilichokiona Tabora. Alifika na wapambe wake kwenye Restaurant, wakaagiza vinywaji na keki. Cha ajabu ilipokuja KULIPA, nikaona jinsi WANAVYONYWEA. Rage akalipa na jamaa furaha zikaanza kuonekana usoni. Hawa wa Dar nikajua na wao ni walewale WALA VYA BURE. Na Mafisadi kwa njia hii, wataendela sana kuila Tanzania. Wapambe ni watu wa OVYO kuzidi hata CCM wenyewe maana wao lazima walinde MABWANA wao waendelee kuwepo madarakani ili na wao wale. Kama hawa nasikia sasa wanaitwa Janjaweed wa CCM. Hawa ni WAOVU kuzidi hata Rostam Aziz/Lowassa na mtandao kwa ujumla.

Unawamaliza wenzio kiaina du! si ndio wale wa jana nilikunywa chai na fulani, mara oooh nilikuwa naongea na mbunge fulani akanipa data ooh nipo na waziri mama yangu wafwa!
 
Unawamaliza wenzio kiaina du! si ndio wale wa jana nilikunywa chai na fulani, mara oooh nilikuwa naongea na mbunge fulani akanipa data ooh nipo na waziri mama yangu wafwa!

Shalom,

Mie ni MWENZAO. Unaposema "unawamaliza wenzio", inakuwa tungo tata maana inaonekana na mie ni Mpambe fulani hivi. Mie huku Sikonge, kwanza na mbunge wangu wala hatupikiki. Kunguru yule, nafikiri mwakani atazikwa kwenye kaburi la Sahau kutoka kwenye dunia ya SIASA. Namuombea maisha mema huko kwake Mole alikojenga na akaishi salama. Ikibidi apotelee mbali kabisaaa kule NTANKWA (broo, ni mbali kulee!!).

Shalom, nina uhakika hawa jamaa husema kabisaa hayo uliyoyasema hapo juu. Nina uhakika hujisifu kuwa "ahh yule Rage ni rafiki yangu".

Kuna jamaa tukiwa pale Airport Tabora, alinitambulisha kwake, na Rage kama mwenyeji wa pale Tabora na alinikuta pale airport, nilitegemea kuwa atanisalimia walau kujua mie Sikonge yupi, jamaa akala ngumu. Na mie nikajikausha vilevile na kuendelea na hamsini zangu bila kujali nani yuko pale. Nafikiri yule kijana alishangaa kuwa "simpapatikii Rage". Hata tulipofika, nilimwacha na wapambe wake ingawa ukweli ni kuwa kuna jamaa yangu mmoja wanafamiana sana kikazi.

Shalom, kwa harakaharaka nikagundua kuwa hawa watu wanaishi kwa kusujudiwa. Alipoona sifanyi hivyo, akapandisha mapazia. Nina imani ndiyo hawa Wabunge ambao wakishinda, unaona kabadilika. Si kweli kuwa kabadilika ila alikuwa hivyo tangu zamani, ila tu Wanyamwezi hamkutaka kuliona hilo. Ngurumo aliimba "mwenye mapenzi haoni, ingawa macho anayo.."
 
Pole sana na huyo mbunge wenu mimi wala simjui!

sikonge hebu nipe kidogo kwa nini unafuatilia sana ya kyela sasa si ungekazana na ya tabora!

Ukienda kumtembelea Mtz mwambie mimi port wake namsalimu pia mkumbushe kuwa ile shule yetu nzuri ya Rungwe akaitembelee kabla ajarudi UK. MImi nimepita juzui juzi nilitaka kulia akienda atajua tu kwa nini nasema.

baadae ngoja niwahi kwenye maombi mlokole mimi believe me sitawasahu
 
Mtanzania salamu atapata hapahapa wavuni. Ya Tabora ntaanza kufuatilia na leo nitapunguza sana kuonekana kwenye maswala ya Kyela kama hilo litakupa RAHA. Nitapotea kwa muda na kubaki nachungulia.

Sikonge mbunge wetu anaitwa Saidi Nkumba Huhitaji kumfahamu kwani ni fisi fulani hivi. Ukimtisha kidogo anarudi nyuma. Alikuwa anashinda kwa sababu tu baba yake alikuwa Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Tabora. Ila sasa hayupo tena.

Siku akija mbunge wetu kuwa mtu anayetumia mtandao kama Mwakyembe, nitaadimika kabisa na zaidi ntakuwa naonekana huko kwetu tu. Ila kwa sababu Kyela ni watani wangu na ndugu zangu wa damu, basi milele nitakuwa nanyi.
 
Pathetic! Hatuna la maana kuongea - ni umbea, udaku, usukununu na ujinga usiotusaidia wana JF ila ego ya wachache wanaodhani ukikesha kujibu hoja hapa, umefanikiwa, umejiuza vya kutosha!
 
Mkuu Jabu,

Ni kweli inachosha watu kutumwagia majungu kwenye forum inayotegemewa kujadili mambo ya maana, eti kisa wanataka ubunge huko kwao kyela!

Kyela leo hii watu wako huru kuwekeza tofauti na ilivyokuwa miaka mitatu tu iliyopita, kina Mtanzania wamekalia majungu tu hapa, eti Mwakyembe anawazuia, ajabu sana.

Huyo Mwanjala ambaye Mtanzania amekazana kumtolea mfano, anakimbia kivuli chake mwenyewe baada ya kuona amejirahisi mno, mbona hatuelezwi kwa nini ameikimbia hata nyumba yake ya kunduchi mtongani iliyo jirani na ya mjomba wake huyo, Mwakyembe, au nako alimfukuza!

Pale MECCO ni kampuni ya ujenzi, sasa kama halipi ushuru wa maegesho wamuangalie tu kwa sababu ni mpwa wa mwakyembe, Mtanzania acha ubabaishaji na kudanganya watu hapa.

Kama kweli leo hii uko kyela basi ni vema ukaenda vijijini kwa wananchi kufanya kampeni zako badala ya kutumia nguvu nyingi hapa JF kwani hapatakusaidia, wenzio hawakuwahi kuwa na mazingira murua kama hayo wanapoingia kwenye ubunge, wala kuwekeza, leo mnao huo uhuru ndio maana mnabwabwaja hapa, pole sana!

Mkuu Nsesi
Salaam zako baba.
Kama sikosei,nafikir fani yako ni mwanasheria.

Umekuwa mbishi sana .Ata vitu vya ukweli ambavyovinaelezwa hapa unabisha.
Sasa wewe tukuweke kwenye group gani.

Jf umeikuta na hauwezi kuwazuia watu kumwaga hoja zao hapa.Eti nendeni mkagombee kyela.mara ohoo mko kwenye kampeni.Upuuzi mtupu.Kma wako kwenye Kampeni,basi nawewe na kaka yako mwakyembe ingia kwenye kampeni.Usiwafunge watu hoja zao.Hayo ni mambo ambayo hatuyataki hapa.
 
Pathetic! Hatuna la maana kuongea - ni umbea, udaku, usukununu na ujinga usiotusaidia wana JF ila ego ya wachache wanaodhani ukikesha kujibu hoja hapa, umefanikiwa, umejiuza vya kutosha!

KWELI NIMEJIUZA VYA KUTOSHA, time to go.

Bye wote katika huu mjadala. Tutaonana kunako MAJALIWA.
 
Last edited:
Mtanzania,

Huyu Ijabu naona atakuwa ni mtu anayedandia train la ICE kwa mbele. Hii huwa ni mbaya sana sana. Na kibaya zaidi inaonyesha kuwa ni WAKUJA fulani hivi. Kwenye Mtandao ukikaa sana, unaweza kujua WHO IS WHO. Kama hilo huwezi kuliona na kuanza kudai data za mtu basi wee IQ yako haihitajiki kupimwa.

Ijabu, tulia humu ndani. Angalia maneno ya watu jinsi wanavyoandika. Subiri wakichokozwa uone jinsi wanavyojibu na hapo utapata jibu kuwa hawa ni watu wa aina gani. Huhitaji kudai mtu akumwagie data zake hapa. Na hata akikumwagia, basi atakupa data feki kama ana akili. Kwa sisi Wakristo, Yesu anasema, ukienda kwenye sherehe, kama una akili, utakaa nyuma ili baadaye mwenye sherehe aje akuopowe na kukuweka mbele. Mbaya ni kujipeleka mbele na baadaye unaambiwa " Mpishe mzee akae, na ukija muona mzee mwenyewe kumbe mtoto mdogo kama Messi, ila ana jina lake na utoto wake huo..." Hapo mzee mzima unarudi nyuma kwa aibu.

Ijabu, karibu JF, The Home of Great Thinkers. So, THINK!!!!

Mkuu Sikonge.
Huyo Nsesi ni moja kati ya watakaochukua form za ubunge 2010.Lakini kwa Lengo la kumsafisha DR.

Kuna jamaa mwingine yuko pale Kyela anaitwa Ally KINANASI.Yeye alisaidiwa na DR kukopa tsh 80m kutoka bank ya CRDB.Huyu ndiye anayeshinda naye kijiweni akiwa kyela.Halafu huyu bwana anajulikana kwa jina la shemeji wa wilaya kutokana na tabia yake ya ufuska.

Kuna Jambazi mwingine kwa jina anaitwa Ezoroni.Yeye alisaidiwa na DR kupata trecta la mkopo.Huyu Bwana ni Jambazi kwelikweli.Ndiye aliyeiba kwa Prof.Mwandosya Computer Mbili na alikwenda kuziuza kyela.Huyu ni moja kati ya watu wake sana na DR.

Mwingine ambaye hajui afanyalo,ni yule Gabriel Mwakalinga aliyechukua form za kugombea ubunge 2005.Yeye ameingia mkenge kwa mwakyembe.Pamoja na exposure yake,lakini kwa sasa anaanza kushabikia ujinga.Tayari amewekwa kwenye kiganja na DR.Kwamba atamsaidia kuwa diwani wa kata ya kyela mjini

Amesahau kuwa aliwahi kutoroka na Tsh 100m za Kajumulo alipotoka Marekani.
Hao ndio walioshika kampeni za DR 2010.

Kuna mjinga mwingine anatoka IKOLO anaitwa Emmanuel Kinundu.Huyo Bwana,sio tu kwamba ni mjinga,bali piacni mtupu wa elimu kichwani.Amejaa na umwakyembe kila mahali na mpaka anatia hurumu.

Amekuwa akipita kila mahali na kuwaambia watu kuwa kunapesa za mafisadi zimeingia hapa kyela.
Wakati DR anakula maisha yake kwenye ghorofa lake la kifahali pale kunduchi,ambalo amejenga kutokana na pesa za KDF,yeye Emmanuel hapati usingizi.

Pole sana bwana Emmanuel Kinundu.
 
- Yaani hii thread bwana ninaizimia sana kuacha tu madogo madogo ya nje ya ishu hapa na pale, maana nyani anakomwa mchana kweupee, siwezi kulala bila kuingia hapa jamani wakuu tupeni elimu ya Kyela, safi sana, ila tuwakumbushe wananchi wa Kyela yale mambo yakusema na "....uju akalyepo panandi.....", safari hii hakuna muangalie record na sifa za wagombea.

- Haya wekeni vitu wakuu, I love this thread duh! kuanzia kesho nitaanza kuwasukumia wakulu waone maana ya kumkoma nyani.

Respect.

FMEs!
 
Mtanzania,
Hadi sasa hivi nimesoma hoja zako nyingi na kuzipima na huyo ndugu yetu Shalom.. Kusema kweli ni somo zuri sana iwe limechukuliwa kama ni kujitangaza kwa uchaguzi wa mwaka 2010 au vinginevyo, lakini nakuomba sana kama unaweza kumvuta huyo Kijana anayegombea Kyela ajiunge hapa JF kwa jina lolote lile tumbatize na apate baraka zetu...Laa sivyo mkuu Mwakyembe bado ni kipenzi changu kwa sababu nafahamu mazuri yake kwa Taifa langu..ni kama namwona kiongozi wa kesho kasimama mbele yangu pamoja na hizo dharau zake, lakini kama ni mtu anayesimamia maslahi ya taifa na kuwadharau wale wanaojisikia kuwa wao ndio waliobarikiwa.. basi siku zote Mwakyembe atakuwa mfano bora kwangu..
Na Shalom, mkuu nakuomba zungumza na Mwakyembe mwambie tunamhitaji hapa, apitie tu kuangalia yanayoajiri..
Nasema hivi kwa sababu mifano mingi dhidi yake nimeiona..Mwakyembe hapindwi na Mtandao wote, ni mtu anayetakiwa kuondolewa hata kesho kwa sababu ni sumu kubwa ya mafisadi ambao hata siku aliposimama bungeni na kuisoma ile report walisema anasimama kwa madaha na kujisikia!... Guys jamaa kafanya kazi kubwa kwa nini asijisifie na kuwadharau wale walioliweka taifa letu deni lisilokwisha!.. Ni lini Mwakyembe anatakiwa kufurahia matunda ya kazi yake ikiwa akicheka na kujisifia inaomnekana kuwa ni dharau..
Hivyo nakuomba sana mwambie huyo kijana ajitokeze hapa na tupate kufahamu anasimama upande gani..Je, kama atashinda ataweza kufidia nafasi ya Mwakyembe Kitaifa ama kuendeleza mazuri ya Mwakyembe kitaifa, na upi msimamo wake ktk maswala ya Mafisadi...Trust me, Kama hatajipanga vizuri kuhusiana na uwezo wake ktk maswala haya Mwakyembe atammaliza - Jamaa kisha jenga jina kwa walalahoi..
Kisha huyo mfanyabiashara Mwanjala inakuwaje kila mara yeye yupo ktk maswala ya siasa za Mbeya!..Is he a lobbyist?
 
Back
Top Bottom