Ajali ya Dr. Mwakyembe na yatokanayo

Duh hawa mshemeji sasa, sijui vipi.........

Hebu tuambieni...huyu Dr mwakyembe aliahidi vitu gani na ametimiza vingapi.........maana tulishatoka kwenye ajali sasa tuko kwenye vijembe vya ubunge...........marufuku wajomba zangu kujiingiza kwenye siasa huko.........kwi kwi kwi
 
KWELI NIMEJIUZA VYA KUTOSHA, time to go.

Bye wote katika huu mjadala. Tutaonana kunako MAJALIWA.

No way Sikonge Usiondoke Mambo mazuri na mengine magumu yanakuja na tutaitaji watu kama wewe kuchallenge na kuweka sawa, of course na ndugu yetu Mtanzania na pengine ana nia nzuri tu sisi si binadamu? tunapima kile kitokacho tu na siyo cha rohoni. Please vuta subira
 
Ndiyo. Unaweza kulitumia utakavyo. Kwa mfano, kuna siku gari langu liligongwa kwa nyuma na jamaa mmoja kwenye foleni. Alichofanya huyo jamaa ni kwamba alimpigia simu trafiki mmoja pale Oysterbay wakaongea kilugha halafu akaja akapima ajali na kunitia hatiani. Ndiyo polisi wetu hao.

Ndiyo. Kwa mfano ukiwa na hela angalau kidogo unaweza kumtumia polisi utakavyo. Jaribu.

Sidhani na haiwezekani kwamba alipanga hii ajali itokee ili apate nafasi ya kulidhalilisha jeshi la polisi.

nilijua kuna siku yatatimia lakini sikujua ni haraka namna hii. waacheni sisim wakanyagane wenyewe kwa wenyewe, ilikuwa Wangwe ni chadema, Leo Mwakyembe ni CCM, ukweli utajulikana tu, mtauana mwisho kila fisadi ataamua kunywa simu mwenyewe ili amweke mwenzake matatani......Itakuwa CCM ukimmaliza mwenzako utakuwa juuuuuuuuuu
 
hivi, kwenye huu mjadala nimeona ubishi wakutoka kuwa hilo lorry nani kaliona, kumshutumu fisadi lowassa mhusika, public stunt to gain sympathy and votes etc etc etc, mambo mengi mno kufikia point ya mtu mmoja kuona kwamba sasa ni pumba tu inaendelea bola akapumzike.

the matter was simple with the Heading Kutoka kwa Mwakyembe: Press Release ambacho muheshimiwa anasema ya kwamba maelezo ya report ya polisi yanaupoteza Umma na ukweli wenyewe, kataja vipengele vyake ambavyo polisi wamejitungia na kataka kutueleza ajali ilivyokua kama abiria aliyekua ndani ya gari na sababu za kupinduka kwake na lile lorry kukimbia, na lile lorry kupelekea bodi gari lake. lorry alijamgusa ila dereva alikua anampelekea mtu yeyote atakwepa na ndio wakapinduka. sasa kama unaakili timamu kweli iwaje uulize lorry gani au usomi kilichoandikwa hapo juu. yeye mwenyewe muhusika anasema ajli ni ajali, na alijua ni ajali ya kawaida tu ingawa mambo yenyewe yalikuwa ni kama ya kwenye cinema. uongo uliofuatia ndio umemfanya kuamini ya kwamba kuna namna kwa nini upotoshe Jamii. kumbukeni sasa hivi ni ajali nane za wabunge tangia issue ya Richmond Ianze nne waliopona wamesema kulikuwa na ma-lorry, again what a coincidence uoni kuna namna hapo bila kushutumu mtu LOOO!

Mungu Ibariki Tanznania
 
Last edited by a moderator:
hivi, kwenye huu mjadala nimeona ubishi wakutoka kuwa hilo lorry nani kaliona, kumshutumu fisadi lowassa mhusika, public stunt to gain sympathy and votes etc etc etc, mambo mengi mno kufikia point ya mtu mmoja kuona kwamba sasa ni pumba tu inaendelea bola akapumzike.

the matter was simple with the Heading Kutoka kwa Mwakyembe: Press Release ambacho muheshimiwa anasema ya kwamba maelezo ya report ya polisi yanaupoteza Umma na ukweli wenyewe, kataja vipengele vyake ambavyo polisi wamejitungia na kataka kutueleza ajali ilivyokua kama abiria aliyekua ndani ya gari na sababu za kupinduka kwake na lile lorry kukimbia, na lile lorry kupelekea bodi gari lake. lorry alijamgusa ila dereva alikua anampelekea mtu yeyote atakwepa na ndio wakapinduka. sasa kama unaakili timamu kweli iwaje uulize lorry gani au usomi kilichoandikwa hapo juu. yeye mwenyewe muhusika anasema ajli ni ajali, na alijua ni ajali ya kawaida tu ingawa mambo yenyewe yalikuwa ni kama ya kwenye cinema. uongo uliofuatia ndio umemfanya kuamini ya kwamba kuna namna kwa nini upotoshe Jamii. kumbukeni sasa hivi ni ajali nane za wabunge tangia issue ya Richmond Ianze nne waliopona wamesema kulikuwa na ma-lorry, again what a coincidence uoni namna hapo bila kushutumu mtu LOOO!

Mungu Ibariki Tanznania

Mwakyembe hajafanyia lolote wanakyela ,inabidi wananchi wamwajibishe kwa kufeili kwake kutimiza ilani zake za uchaguzi za mwaka 2005.
 
Mwakyembe hajafanyia lolote wanakyela ,inabidi wananchi wamwajibishe kwa kufeili kwake kutimiza ilani zake za uchaguzi za mwaka 2005.

then you need to post a new topic about how useless he has been there in Kyela and what promises he hasn't delivered. but on here he has post his report to discredit the police report that made him think the accident doesn't add up. i guess on his perspective we should know what really happened and not being fed on Propaganda.

however if you have other issues and questions that u think he should be accounted for outside his report, write Jamii Forum participants will come if its worth their time but don't change the subject matter that is my only concern and nothing else. its freedom of speech and a free site to post your concerns about Mr. Mwakyembe, but i hate clever spinners like you coming in and trying to steer people away from the subject matter. In my opinion it was a plan to eliminate him, and how is he supposed to help Kyela that much if Edward Lowassa and co are helping themselves with those assets like i said post up, and we will weigh your concerns we are open minded people not fixed on single a view. Moreover we listen careful to those who raise issues that concerns us WATANZANIA.

Mungu Ibariki Tanzania
 
Last edited by a moderator:
No way Sikonge Usiondoke Mambo mazuri na mengine magumu yanakuja na tutaitaji watu kama wewe kuchallenge na kuweka sawa, of course na ndugu yetu Mtanzania na pengine ana nia nzuri tu sisi si binadamu? tunapima kile kitokacho tu na siyo cha rohoni. Please vuta subira

Shalom,

Nimeamua kufuata ushauri wako wa kuachana na mambo ya Kyela, na hivyo kuanza kufuatilia sasa mambo ya Sikonge. Kutoka Kyela nimepata somo zuri sana. Nitakuwa nanyi tena kwenye mwezi wa nane, mara wadhamini wangu wakitoka likizo (maana inasemekana najiuza mie!!! :) te tee).
Hivyo, hadi uchaguzi Mwakani, nitakuwepo sana hapa kupiga debe. Nimeomba mwenyewe Mods wanifungie IP yangu maana mkono mmoja unaanza kuelemewa. Haya mambo ya Siasa kwakweli yanauma na unaamua kumalizia hasira zako na muda unakwenda. Nimeingia hapa kuvuta KESI ya babu Seya na kijarida cha Cheche na kuamua kukujibu.

Nitakuwa naingia kwa nadra na kuchungulia nini kinaendelea na labda nikiona jambo muhimu sana la kusaidia au kuchangia, basi nitatokea. Vinginevyo, tuonane mwezi wa 8 tuanze Kumkoma nyani hasa hasa kwa Mchele na Pumba. Nawahi majukumu.
 
Umeamua la maana na itakuwa vizuri kama wote tutamwachia ndugu yetu mwaka wake mmoja uliobaki afanye kazi kuto kwenye jimbo lake na kwa mambo ya taifa tukisubiri mwakani tukamchallenge na kumpima.

All the best
 
Dk. Harrison G. Mwakyembe uguwa pole kaka yetu , lakini tahadhari jiti na mamcho.hao watu wananguvu ya kuitikisha serekali na nchi hawatoshindwa kukushuhulikia wewe pale watakapo amuwa kufanya hivyo kwa mara nyingine.
 
then you need to post a new topic about how useless he has been there in Kyela and what promises he hasn't delivered. but on here he has post his report to discredit the police report that made him think the accident doesn't add up. i guess on his perspective we should know what really happened and not being fed on Propaganda.

however if you have other issues and questions that u think he should be accounted for outside his report, write Jamii Forum participants will come if its worth their time but don't change the subject matter that is my only concern and nothing else. its freedom of speech and a free site to post your concerns about Mr. Mwakyembe, but i hate clever spinners like you coming in and trying to steer people away from the subject matter. In my opinion it was a plan to eliminate him, and how is he supposed to help Kyela that much if Edward Lowassa and co are helping themselves with those assets like i said post up, and we will weigh your concerns we are open minded people not fixed on single a view. Moreover we listen careful to those who raise issues that concerns us WATANZANIA.

Mungu Ibariki Tanzania

Very Good points JC! Thank you.
 
hii ajali mpaka sasa kama bado ni kitendawili ila tumuachie mungu ndie anajua
 
Mheshimiwa Harrison Mwakyembe katika ajali hii na anavyoeleza , inaonekana alikuwa anaandamwa sana, je hivi nani alikuwa anapanga.mtukio dhidi yake??

Kwa maelezo ya Mwakyembe na dereva wake haionekani kama ni mpango uliosukwa...

Madereva wengi wa malori ya masafa marefu huwa wamependeza ama kwa pombe au ganja...

Na kama ilikuwa ni usiku, huenda pia dereva wa lori alikuwa kabeba mzigo wa thamani na mbwembwe za dereva wa Mwakyembe zikamuogopesha na kudhani anataka kutekwa na mzigo hivyo ikabidi ajihami...
 
What was soo important about him anyway, ilikuwa ajali ya kawaida tu kama ilivyotokea kwa mkurugenzi wa tbc.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom