zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,910
- Thread starter
- #61
Martin Luther king,JR kwenye hotuba ya 'I SEE THE PROMISED LAND' april 3,1968 memphis,Tennessee alimaanisha huo uozo wako,kumbe ukubwa wa kichwa sio wingi wa makamasi..vichwa vingine vina makamasi sio ubongo ama kweli kila ubongo uko kwenye kichwa ila si kila kichwa kina ubongo!
Kuna tatizo lipi katika hii post yangu? likakupelekea kusema yote hayo?
Kwa heshima napenda kumpa ahsante Mbunge wa Chadema Mheshimiwa Halima Mdee kwa haya:
Mheshimiwa Spika, napenda pia kutoa shukrani za dhati kwa CHADEMA kikiwa chini ya Mtendaji wake mkuu (KATIBU MKUU-TAIFA), Mhe. Wilbroad Peter Slaa. Hakika kila Mtanzania anaona kazi unayoifanya ya kuhakikisha chama chetu kina kuwa juu na Watanzania wote wanatuunga mkono. Mungu akupe uhai, naamini ipo siku tutaifikia Nchi ya Ahadi! - Halima Mdee Bungeni 11-07-2012 .
Soma zaidi: "tutaifikia Nchi ya Ahadi".
Isitoshe, humtendei haki Mchungaji Martin Luther King bila kuweka tite yake, si unaijuwa? au?