Ahsante Halima Mdee...

Status
Not open for further replies.
Martin Luther king,JR kwenye hotuba ya 'I SEE THE PROMISED LAND' april 3,1968 memphis,Tennessee alimaanisha huo uozo wako,kumbe ukubwa wa kichwa sio wingi wa makamasi..vichwa vingine vina makamasi sio ubongo ama kweli kila ubongo uko kwenye kichwa ila si kila kichwa kina ubongo!

Kuna tatizo lipi katika hii post yangu? likakupelekea kusema yote hayo?

Kwa heshima napenda kumpa ahsante Mbunge wa Chadema Mheshimiwa Halima Mdee kwa haya:

Mheshimiwa Spika, napenda pia kutoa shukrani za dhati kwa CHADEMA kikiwa chini ya Mtendaji wake mkuu (KATIBU MKUU-TAIFA), Mhe. Wilbroad Peter Slaa. Hakika kila Mtanzania anaona kazi unayoifanya ya kuhakikisha chama chetu kina kuwa juu na Watanzania wote wanatuunga mkono. Mungu akupe uhai, naamini ipo siku tutaifikia Nchi ya Ahadi! - Halima Mdee Bungeni 11-07-2012 .

Soma zaidi: "tutaifikia Nchi ya Ahadi".

Isitoshe, humtendei haki Mchungaji Martin Luther King bila kuweka tite yake, si unaijuwa? au?
 
Hii imetulia big up jembe.IPO SIKU TUTAFIKA NCHI YA AHADI.

Huku?

Ikumbukwe kuwa mafundisho ya Kikristo yanasema "Safari ya wana wa Israeli toka Misri hadi katika nchi ya ahadi, tunaweza kuifananisha na maisha ya kiroho ya kanisa, au tuseme maisha ya kikristo."
Source:
http://www.mwakasege.org/mafundisho/mtendaji/mtendaji-2.htm
 
big up halima hurreeeey chadema umeongea na tumekusikia kabisa tena kwa makini halima you are a hero hawa magamba waseme tuu lakini tutawafundisha tuu wakitugesi gesi kwenye ardhi yetu na hawa wawekezaji

Una uhakika na unayosema? au Halima alikuwa akifikisha ujumbe mkubwa zaidi kwa Slaa?
 
Kwa heshima napenda kumpa ahsante Mbunge wa Chadema Mheshimiwa Halima Mdee kwa haya:

Mheshimiwa Spika, napenda pia kutoa shukrani za dhati kwa CHADEMA kikiwa chini ya Mtendaji wake mkuu (KATIBU MKUU-TAIFA), Mhe. Wilbroad Peter Slaa. Hakika kila Mtanzania anaona kazi unayoifanya ya kuhakikisha chama chetu kina kuwa juu na Watanzania wote wanatuunga mkono. Mungu akupe uhai, naamini ipo siku tutaifikia Nchi ya Ahadi! - Halima Mdee Bungeni 11-07-2012 .

Soma zaidi: "tutaifikia Nchi ya Ahadi".
basics zinapinda....
 
Zomba Leo vipi naona bado unakomaa na thread yako iliyojaa udini huendi kwenye vijiwe vya gahawa?

Sisi huwa tupo Barzani sio kijiweni, kijiwe ni cha bangi na unga.
 
Kwa heshima napenda kumpa ahsante Mbunge wa Chadema Mheshimiwa Halima Mdee kwa haya:

Mheshimiwa Spika, napenda pia kutoa shukrani za dhati kwa CHADEMA kikiwa chini ya Mtendaji wake mkuu (KATIBU MKUU-TAIFA), Mhe. Wilbroad Peter Slaa. Hakika kila Mtanzania anaona kazi unayoifanya ya kuhakikisha chama chetu kina kuwa juu na Watanzania wote wanatuunga mkono. Mungu akupe uhai, naamini ipo siku tutaifikia Nchi ya Ahadi! - Halima Mdee Bungeni 11-07-2012 .

Soma zaidi: "tutaifikia Nchi ya Ahadi".

Ulidhani umeweka jungu kubwa kweli mwenyewe hapo...Halima amezungumza kwenye context ya mapambano anayoyaongoza Dr. Slaa vs polisisiem ndugu yangu
 
ARV hizo, sasa nyie na jamaa zenu wanaokurupuka na kuchukuwa mijanajike ya watu ndio muelewe hiyo.

tupo wengi kweli aisee

sijui kama mtapona aisee, cheni imerefuka mno na inakaribia kujifunga....

shebby
 
Attachments

  • chadomo.jpg
    chadomo.jpg
    33.8 KB · Views: 20
tupo wengi kweli aisee

sijui kama mtapona aisee, cheni imerefuka mno na inakaribia kujifunga....

shebby

Naona uzi umekugusa pazuri mpaka unajaribu kila njia kuuchakachuwa.

"tutaifikia Nchi ya Ahadi!" - Halima Mdee Bungeni 11-07-2012
 
ukitaka akuchukue wewe?

"Safari ya wana wa Israeli toka Misri hadi katika nchi ya ahadi, tunaweza kuifananisha na maisha ya kiroho ya kanisa, au tuseme maisha ya kikristo."
Source:
http://www.mwakasege.org/mafundisho/mtendaji/mtendaji-2.htm
 
ZOMBA BORA UKAFANYE KAZ KWA MZUNGU YA KUTOA MBWA NJE KULIKO KULETA UNAFIKI WA KUSAMBAZA UZUSH hapa hebu kajipatie haraka hiyo kaz maana itakufaa c o kufanya udin udin kama wale mashekhe ubwabwa wa zenj UZUSHI WA CCM KAMPENI ZA 2010 MASARIA YAKE YAMEBAKI KWA ZOMBA. AAaaaaameeen!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom