Ahsante Halima Mdee...

Status
Not open for further replies.

zomba

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
17,240
3,910
Kwa heshima napenda kumpa ahsante Mbunge wa Chadema Mheshimiwa Halima Mdee kwa haya:

Mheshimiwa Spika, napenda pia kutoa shukrani za dhati kwa CHADEMA kikiwa chini ya Mtendaji wake mkuu (KATIBU MKUU-TAIFA), Mhe. Wilbroad Peter Slaa. Hakika kila Mtanzania anaona kazi unayoifanya ya kuhakikisha chama chetu kina kuwa juu na Watanzania wote wanatuunga mkono. Mungu akupe uhai, naamini ipo siku tutaifikia Nchi ya Ahadi! - Halima Mdee Bungeni 11-07-2012 .

Soma zaidi: "tutaifikia Nchi ya Ahadi".
 
Mbona hii asante yako imekaa kisharishari?
 
Hujayapenda maneno ya Mheshimiwa Halima Mdee au vipi?
Rais ambaye JK anaweza kujipima naye ni Ali Hassan Mwinyi labda na Mkapa kidogo. Rais wa kwanza Mwl. Nyerere pamoja na kutokuwepo rasilimali nyingi wakati huo alijenga kiwanda karibia kila mkoa. Alijenga nyumba za serikali ambazo wezi Mkapa na Magufuli wamekuja kuuza, alijenga bandari Dar, Tanga, Mtwaraxxd, Mwanza, ALIONGOZA SERIKALI YENYE NIDHAMU AMBAYO RUSHWA ILIKUWA NI MWIKO. Alileta umoja wa kitaifa kwa kuongoza serikali bila kujali dini wala. Wakati wake elimu ilikuwa inatolewa bure tena kwa ubora wa hali ya juu. Wakati wake shule zilikuwa na vifaa na waalimu. Wakati wa Kikwete elimu katika shule za msingi na sekondari imekuwa na mzaha tu.
 
zomba,mkuu udini ni sehemu yako ya maisha?Kazi kweli kweli
 
Last edited by a moderator:
sheria za jf zirekebishwe..watu wenye upeo mdogo wavuliwe membership,sasa ndo nini hapo?

Lakini hii njemba siielewi-elewi. hizi links za Mwl. Mwakasege ni very deep teachings. Anachokoachokonoaje huku?
.great Zombie!
 
Rais ambaye JK anaweza kujipima naye ni Ali Hassan Mwinyi labda na Mkapa kidogo. Rais wa kwanza Mwl. Nyerere pamoja na kutokuwepo rasilimali nyingi wakati huo alijenga kiwanda karibia kila mkoa. Alijenga nyumba za serikali ambazo wezi Mkapa na Magufuli wamekuja kuuza, alijenga bandari Dar, Tanga, Mtwaraxxd, Mwanza, ALIONGOZA SERIKALI YENYE NIDHAMU AMBAYO RUSHWA ILIKUWA NI MWIKO. Alileta umoja wa kitaifa kwa kuongoza serikali bila kujali dini wala. Wakati wake elimu ilikuwa inatolewa bure tena kwa ubora wa hali ya juu. Wakati wake shule zilikuwa na vifaa na waalimu. Wakati wa Kikwete elimu katika shule za msingi na sekondari imekuwa na mzaha tu.

Mkuu hujamalizia kwamba Mwalimu alifanya hayo yote bila kugusa dhahabu wala tanzanite wala gesi.. Ya ardhini aliyalinda kwa nguvu zake zote kwani alipenda vizazi vyetu wenyewe ndio tuje kuchimba baada ya kupata utaalam na nyenzo na mitaji ya kutosha..
 
Kwa heshima napenda kumpa ahsante Mbunge wa Chadema Mheshimiwa Halima Mdee kwa haya:

Mheshimiwa Spika, napenda pia kutoa shukrani za dhati kwa CHADEMA kikiwa chini ya Mtendaji wake mkuu (KATIBU MKUU-TAIFA), Mhe. Wilbroad Peter Slaa. Hakika kila Mtanzania anaona kazi unayoifanya ya kuhakikisha chama chetu kina kuwa juu na Watanzania wote wanatuunga mkono. Mungu akupe uhai, naamini ipo siku tutaifikia Nchi ya Ahadi! - Halima Mdee Bungeni 11-07-2012 .

Soma zaidi: "tutaifikia Nchi ya Ahadi".

Miss Zomba,

Whatever you have been chewing,drinking,sniffing or smoking kindly share with us.....you seem to be highly intoxicated!
 
Yes Tanzania yenye neema tuliyoahidiwa na watawala wasio na dhamira ya dhati ya kutufikisha huko,
chini ya kiongozi mwenye dhamira ya dhati kama Dr Slaa tutaifikia tu."BIG UP kamanda Halima Mdee"
 
Kwa heshima napenda kumpa ahsante Mbunge wa Chadema Mheshimiwa Halima Mdee kwa haya:

Mheshimiwa Spika, napenda pia kutoa shukrani za dhati kwa CHADEMA kikiwa chini ya Mtendaji wake mkuu (KATIBU MKUU-TAIFA), Mhe. Wilbroad Peter Slaa. Hakika kila Mtanzania anaona kazi unayoifanya ya kuhakikisha chama chetu kina kuwa juu na Watanzania wote wanatuunga mkono. Mungu akupe uhai, naamini ipo siku tutaifikia Nchi ya Ahadi! - Halima Mdee Bungeni 11-07-2012 .

Soma zaidi: "tutaifikia Nchi ya Ahadi".
Tutafika tu
 
​kama bado unaumwa na kichwa ninazo panadol
Kwa heshima napenda kumpa ahsante Mbunge wa Chadema Mheshimiwa Halima Mdee kwa haya:

Mheshimiwa Spika, napenda pia kutoa shukrani za dhati kwa CHADEMA kikiwa chini ya Mtendaji wake mkuu (KATIBU MKUU-TAIFA), Mhe. Wilbroad Peter Slaa. Hakika kila Mtanzania anaona kazi unayoifanya ya kuhakikisha chama chetu kina kuwa juu na Watanzania wote wanatuunga mkono. Mungu akupe uhai, naamini ipo siku tutaifikia Nchi ya Ahadi! - Halima Mdee Bungeni 11-07-2012 .

Soma zaidi: "tutaifikia Nchi ya Ahadi".
 
huyu jamaa haeleweki atapinga kila kitu chadema ila kama kinahusisha jina halima,yusuph,ally,said hata kama ni kibaya hasemi.
nafikiri anaumwa ugojwa unaoitwa islamophobia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom