matongo manawa
JF-Expert Member
- Apr 6, 2011
- 336
- 79
- Thread starter
- #21
mbona kama fabricated story?
Kivipi mkuu?
mbona kama fabricated story?
Atakuwa safarini Angel. Lala salama hii kabla ya 2015, only less than 3 yrs remaining na investment ndo anazianza sasa hivi kupitia prince na washikaji zake!!!! Tutakoma mpaka ifike 2015 kila rangi tutaona.Mr dhaif upooo
Mbona haijatangazwa kwenye vyombo vya habari?
Police ime-feli, usalama wa taifa nao umefeli?
jf pia ni chombo cha hapari,,,,,,,,au hulijui hilo,,,umekariri t,v,redio na magazeti????nao habar huzipatia hapa,maana hapa kila mtu ni mwandishi dadangu
Nchimbi unda tume plz!!!!!!!!!!!!!!