Afisa uhamiaji Mwanza aliyenusurika kuuawa na polisi ashambuliwa kwa nondo!

Mr dhaif upooo
Atakuwa safarini Angel. Lala salama hii kabla ya 2015, only less than 3 yrs remaining na investment ndo anazianza sasa hivi kupitia prince na washikaji zake!!!! Tutakoma mpaka ifike 2015 kila rangi tutaona.
 
Mmhhh!! Hii series kali zaidi ya 24 ya jackbauer, kama vile imeisha kumbe ndo picha linaanza, barlow is down, afisa uhamiaji in hospital, director wa hili picha ni mkaree
 
mambo mchanganyiko. waislamu mbagala kuchoma makanisa. afisa uhamiaji mwanza kunusurika risasi. rpc barlow kuuawa mwanza. siku za nyuma wabunge wa mwanza kushambuliwa mbele ya polisi. nchi haina ulinzi hii.
 
jf pia ni chombo cha hapari,,,,,,,,au hulijui hilo,,,umekariri t,v,redio na magazeti????nao habar huzipatia hapa,maana hapa kila mtu ni mwandishi dadangu

Uko sahihi mkuu,hatuhitaji mavyeti na madigirii hapa hata zomba eti nae anaandika thread wakati hajasomea.
 
Dhaifu alikuwa Mbagala kwa wahanga wa msahafu. Alipofika pale kanisa moja wauumini wakamlilia kilio hadi TBC wakaamua kukata kama kawaida yao. Maana ilikuwa ni embarrassment kwele kwa mkulu wa kaya. Sasa na haya ya Mwanza ndo hali tete zaidi
 
.... wabongo tunashangaa nini wakati huko mbeleni wengine waliozea rumande maana wake zao walikuwa wanawapendeza wakuu.... ndiyo tza yenye amani, lakini tupene pole.
 
Alafu nyie CHADEMA nyieee!! Mmechoma Makanisa, mkakojolea msahafu, mkamkosa Afsa uhamiaji risasi, mmemuua RPC, sasa tena mmempiga manondo Afsa!!

Nasema nyie CHADEMA nyiee!! Subirini tu Mungu hamtupi mja wake!!

(jamani sio maneno yangu ni ya mzee wa G****)
 
Tumechoka na tume za kisanii...Yeye na mwema inabidi wajiuzulu tu maana siyo siri kwamba kazi imewashinda...na huyo Mkuu wake wa kazi ndio hivyo tena DHAIFU!!!!
Nchimbi unda tume plz!!!!!!!!!!!!!!
 
Amelazwa Hospital Gani? Huyo Ofisa wa Uhamiaji mbona anatafutwa sana kawafanyaje watoto wa Mwema?
 
Back
Top Bottom