Afisa uhamiaji Mwanza aliyenusurika kuuawa na polisi ashambuliwa kwa nondo!

Hapo sasa ni korasi yake!! inaishia geuza santuli!! tuendelee kunengua! (Laana)
 
kwa mtindo huu siku tutaamka na kusikia mtu kapigwa nondo pale magogoni ndani ya fensi yao!
unayotaka wenzako wakutendee tenda na wewe kwao kwanza
 
Tangu jana nilijua tu something will happen to this guy afisa uhamiaji, now my suspicion has come to the point. Movie ndo imeanza, very soon tutasahau ya akina mwangosi, ulimboka na wengineo

Nami nilihisi hi yo hivyo hivi movie id sason 1episode Ngapi vile
 
Generally, wanaume tunapenda K but askari awe uhamiaji, magereza, polisi, wanamaji, etc wanapenda sana hii kitu sijui ni kwa nini? Au mazoezi ya kivita yanawapasha sana moto wajameni? Ila huko Mwanza inaelekea K za wake wa watu ni tamu sana. Kumbe wote walikuwa viwembe tu!!! Sijui wa nondo utapona!!? Ila nayo imemsaidia maana angekuta naye yuko miongoni mwa yule kimada Dorcas wanasaidia shemeji/mme mwenza upelelezi!!!!
 
Ktk sakata kama hilo ukweli utajulikana na upo ila utafichwa kama mambo mengine ya kitaifa yanavyofanywa! Watatoa kafara mmoja apelekwe mahakamani ili waendeleze kufunga midomo ya watu kwa style ileile ya ....jambo lipo mahakamani... wakati umafia kama huo hautafutiwi dawa ya chanzo chake!!!!! Mungu azidi kuwanusuru wasio na hatia.
 
jamani nashindwa kuelewa hivi huko mwanza kunanini? na jesh la polis linafanya nini? yaani watu wanauana wanaumizana tena kwa kisasi halafu nobody cares yumkin huyu mwanamke alikua ni hawara wa huyu bwana lol!

hilo ndilo linaloonekana lakini kama ilivyo ada litafichwa.
 
Wewe si dada mwenyekiti wa ulinzi na usalama mwanza alikwishasema kuwa wameshagundua kuwa hakuwa dada yake. Taarifa
 
Kamanda Barlow aliuawa jana majambazi kwa kupigwa risasi alipokuwa akimrudisha nyumbani dada yake wakitokea kwenye kikao cha harusi Kati ya saa saba na saa nane usiku.

Nitawajuza zaidi.

Mkuu una uhakika kuwa ni Mambazi????
una uhakika kuwa Mwl Doroth Moses ni Dada wa Marehemu Barlow???
 
Ningependa kusikia kauli za walio mwanza

huyu jamaa alipigwa nondo au hapana?
 
Dhaifu hapo yupo na inteligensia ya kipolisi isiyosaidia hata kamanda mwenyewe anadaiwa kumpa lift mwanamke usiku wa manane kweli hiki nacho kichekesho
 
Hii muvi kali kishenzi, yaani ina ma sterlingi kibao, mapolisi , maafisa uhamiaji na mke wa mtu.
Inaelekea huyo dorcas ni mrembo sana na anatoa vitu swafi sana. Itabidi na mimi niende mwanza nikajaribu bahati yangu manake vita vya panzi......
 
Back
Top Bottom