sijui wanaishi vipi kwenye jamii hapo arusha.
Wanabodi
Wanachama watatu waliopeleka pingamizi la ushindi wa Lema mahakamani na kupelekea kuvuliwa ubunge wa kamada wetu wanstahili adhabu. watu hawa pamoja na kutambua kuwa tofuti ya kura kati ya batlida na lema ilikuwa zaidi ya 20,000 kwa jeuri ya kifisadi waliweza kupeleka shauri hilo mahakani ambako hukumu tata na ya kumkomoa Lema ilitolewa.
Nawashauli watu wa Arusha na watanzania kwa ujumla na umoja wetu, kwamba kama vile ambavyo tunavyowazomea kwa kupigwa yowe wote wanaovaa nguo za kijani (Uniform za Magamba) kama wezi wa nchi hii, tuwazomee na kuwatenga watu hawa watatu. Hii itakuwa adhabu tosha ya nguvu ya umma kwa watu waliopata pesa zetu kifisadi na kuzitumia kifisadi kutukandamiza
nawasilisha
Siungi mkono hoja, tuache sheria ichukue mkondo wake. Kuwazomea hakusaidii,
Wafanyieni ile kitu udongo inapenda.
Wanabodi
Wanachama watatu waliopeleka pingamizi la ushindi wa Lema mahakamani na kupelekea kuvuliwa ubunge wa kamada wetu wanstahili adhabu. watu hawa pamoja na kutambua kuwa tofuti ya kura kati ya batlida na lema ilikuwa zaidi ya 20,000 kwa jeuri ya kifisadi waliweza kupeleka shauri hilo mahakani ambako hukumu tata na ya kumkomoa Lema ilitolewa.
Nawashauli watu wa Arusha na watanzania kwa ujumla na umoja wetu, kwamba kama vile ambavyo tunavyowazomea kwa kupigwa yowe wote wanaovaa nguo za kijani (Uniform za Magamba) kama wezi wa nchi hii, tuwazomee na kuwatenga watu hawa watatu. Hii itakuwa adhabu tosha ya nguvu ya umma kwa watu waliopata pesa zetu kifisadi na kuzitumia kifisadi kutukandamiza
nawasilisha
weka majina na picha zao sio wote tunawafahamu
Adhabu yao ni AIBU, hakuna adhabu zaidi. Uzuri wa adhabu ya AIBU ni kila siku zinavyoenda ndo adhabu inakuwa kubwa.
Kwa mtazamo wangu wa kulaumiwa ni Serikali pamoja na Hakimu (Idara ya Mahakama) ndio waliohusika kaika kutoa hukumu ile.
Walipindisha Sheria kwa manufaa binafsi na ya Kiitikadi yaani kukomoana.
Tuwazomee Askari Polisi, Mahakimu wote, na kila gari la Serikali likipita lenye bendera ya Taifa.
MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
wajinga dunian hawawez isha hawa wadiliwe papendikula kwa ujinga na ushenz wao walioufanya.wapotezewe 4ever!