Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wajieleza kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, kwanini Maalim Seif (ACT) alimuombea kura Tundu Lissu (CHADEMA)

NEC Nguo Zinaanguka Bora Wachutame πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
dw_kiswahili_20200924_11.jpg
 
"wazarendo", "msajiri", "ghafra" "Kifungu cha 11a". Post hiana nukta na kanuni kibao za uandishi umekosea
 
Rungu lipo pale pale, hakuna janja janja. ACT na CHADEMA waenguliwe kwenye mbio za Urais.
UTOTO HUO POSIBLY MSAJILI AMESHAONA UPEPO UNAVYOVUNA SASA ANATAFUTA NAMNA LAKINI SISHAURI AFANYE HIVYO KWANI AMANI YETU INAWEZA KUFUTIKA WITHIN A MINUTES KIZEMBE ZEMBE
 
Walichoandika sio utetezi ni kukubali kosa na kuongeza kosa lingine .Kura ndio huamua nani atashinda !! Sio imani!!! Eti tunaamini Lisu atashinda!! Sababu ya umati unaojaa mikutano yake ya kampeni!! Aisee !!!!!!

Jamani hizi ofisi za vyama havina watu makini

Yaani barua wanaandika kwa msajili ya kumnadi Lisu serious? Mgombea wao Membe waliyemchagua wenyewe kupitia vikao halali vya chama wamempeleka wapi kwa kikao kipi ? kama wamemuondoa ugombea na Ku mu replace na Lisu kikao gani cha vyama cha kikatiba kiliamua hayo?

Msajili hiyo barua ni ushahidi tosha hata clip ukiitupa jalalani haina shida hiyo barua ni official letter Ku confirm kuwa wao wana mnadi Lisu bila idhini ya kamati kuu ,mkutano mkuu wao wala taarifa ya kumuengua Membe kutoka Tume ya uchaguzi

Hiyo barua ni ushahidi tosha wa jinsi Act inavyoendeshwa kienyeji
Maelezo hayo yanatakiwa tu kufanyiwa uamuzi wamekiri na ni kama wanasema come what may!!

Uandishi huo wa barua ni uswahilini hasa

Huna lolote wewe na wenzio isipokuwa HOFU ya UBAMIZWA uchaguzi mkuu kwa CO-OPERATION ya ACT na CDM.
 
In the written ACT wazalendo official letter it is the party now that is endorsing Lisu not individual!!! Read the letter again

ACT wazalendo have their ow Presidential candidate Bernard Membe but in their official letter the party is endorsing Lisu!!!!! It is no longer an individual issue it is a party issue!!

Japo kingereza chako ni cha shida, omba msaada kwa wenzako urudie kusoma alichokiandika MISSILE OF THE NATION halafu wakusaidie kukuelewesha, ndio urudi hapa. Unachosha na arguements zako za chekechea.
 
Back
Top Bottom